Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Sio kila bikra kajitunza wengine wanakosa tu nafasi za kuliwa mitaani ndiomaana wakifika chuo vijana wanazinyofoa vibaya mno!
Bikira ni kiashiria cha maadili mema na uthubutu wa mwanamke kujitunza, na used ni kiashiria cha mwanamke kushindwa kudhibiti tamaa. Huo ni ukweli ambao unajisimamia wenyewe bila maelezo mengi, ukitaka kubadilisha narrative hauwezi kukosa kisingizio.
 
Hii sio kweli, mtoto akifika 18, 20 na bikra yake kajitunza, mpeni maua yake. 😁
Darasa la sita tutoto tunaanza kushikana ba kunyonyana NIDO twenyewe. Sasa kakiweza kukatiza mpaka 20 huko basi kapewe maua yake.
Huyo hajawahi kuiongelea vizuri bikira. Kikiguswa kipengere cha bikira she always twist narrative to downgrade a virginity.
 
Mbaya zaidi ni kuwa retirement plan. Unahustle wakati agemate wako anakitombesha sana. Halafu ukijipata wakati yeye ameshaanza kuchoka ndio anakuja na sound za "sasa hivi najitambua nataka real man wa kufanya nae maisha" .
Hivi wanawake wanawatongoza eenhe?

Jibu kama umeelewa maana ya swali langu.

To be fair, wanaume ndio mnaotongoza… Mnawalaumu wanawake kwa kuwakubali?
 
Bikira ni kiashiria cha maadili mema na uthubutu wa mwanamke kujitunza, na used ni kiashiria cha mwanamke kushindwa kudhibiti tamaa. Huo ni ukweli ambao unajisimamia wenyewe bila maelezo mengi, ukitaka kubadilisha narrative hauwezi kukosa kisingizio.
Sawa we shikilia unaloona ni sahihi kwako! Tuachane na exceptions..
 
Hivi wanawake wanawatongoza eenhe?

Jibu kama umeelewa maana ya swali langu.

To be fair, wanaume ndio mnaotongoza… Mnawalaumu wanawake kwa kuwakubali?
Wanawake wanatongoza sema sio ile direct approach kama tunavyofanya wanaume, ni kama kuna mazingira anayatengeneza au manipulations fulani anafanya ili mwanaume aanze kufunguka au anase kwenye mtego
 
Huyo hajawahi kuiongelea vizuri bikira. Kikiguswa kipengere cha bikira she always twist narrative to downgrade a virginity.
Niiongelee vizuri kwa lipi hasa? Haina faida yoyote zaidi ya kuwapa ahueni wanaume mnaoogopa kupigwa matukio tu! Mwanaume insecured ambaye ana wasiwasi utakuja kuwa juu yake ndio ana mindset za namna hii so ni mtazamo wako huo!
 
Hakuna insecurity yoyote, ni natural judgemental course ya kawaida kabisa. Sexual past life ya mwanamke inazingatiwa na mwanaume yoyote. Ingawa mnapinga lakini ni ukweli ambao hata nyie wenyewe mnaujua, ndio maana hata mkiulizwa namba ya body count huwa hamsemi ukweli
 
Bahati mbaya females tunatafuta mtu mwenye " resources " as a long term partner, sababu tunahitaji kuinvest hizo resources to our offsprings! Ni trait tunayoshare na female wengine......sasa wewe tafuta mwanamke " utakayeanza" nae maisha from scratch kama utampata...ukimpata ujue kashaona " potential " yako akisubiri kidogo....eti hivi hivi huna A wala B umpate nani...!

Virginity without emotional maturity,emotional intelligence confidence/ goals, physical attraction....is NOTHING!...at least modern men think so...!...kwanza hao virgin mnawatoa wapi? Lol, mnaambiwa mraise standards more like muwe na UNREALISTIC EXPECTATIONS.....kwanza huyu Natafuta Ajira tangia aanze ku preach bikira, sijui low body count kuna wana JF wanaume hata watano tu wamekutana na hizo bikira???, njooni mutoe ushuhuda hapa....kama sio kumpa reality of how the real world is, then sijui....manake, he is living in his own world, kampata bikira kijijini alisema Manyara..basi wanaume wote muende Manyara..lol...kabinti huna emotional connection nako, ungekuwa nayo usingemuita financial vampire..mpuuzi we!

Nilikuwepo!
 
Mimi nimekutana nayo na ninae ka kigori kangu😀 mama mkwe

Siwezi kuja kulipia mahali binti aliyetobolewa na mwingine.
 
Mtoa mada uko sahihi
Wakija na kigezo cha well financially
Basi men kama itakupendeza nawe weka standards zako, ukishakuwa well Fin,
Wanawake wanafikiri ni wao tu ndio wenye haki ya kuwa na standards, na mwanaume hana haki hiyo. Kwamba mwanamke awe na taste na class ya mwanaume anaemtaka lakini mwanaume anatakiwa ku-settle na mwanamke katika hali yoyote atakayomkutana nayo. Mwanamke akiwa na standards anaijua thamani yake, mwanaume akiwa na standards ni misogynist
 
We si umekariri muda wote vita⚔️😂

Kuna muda natulia navua pichu mwenyewe🤣

Jox😁
Sijakariri, huoni naishi na wewe kwa akili 😄😄
Wewe bahari mimi meli, I swing na mood yako, ukifurahi nimo, visu simo, ukinuna simo, makopa ya mood nimo simo 🤣, ukitibuka kabisa as well natibuka 😂
 
Unaitikia tu kama kipofu! Ngoja bwana mkubwa awaongozee mpaka familia zenu!
Hamna hizi ni dondoo tu za maisha 🤣
We si umekariri muda wote vita⚔️😂

Kuna muda natulia navua pichu mwenyewe🤣

Timbwili lipo nikirudi home, labda nikukute umevua mwenyewe ikiwa unajua nikikuona pichuless ndo silaha ya mwisho yako 🤣
 
Ukisikia mtu anasema wanawake wengi wanaolewa na mwanaume wasiempenda, usifikiri anachekesha. Uhalisia ni kwamba, mwanaune anaoa mwanamke anaempenda, mwanamke anaolewa na mwanaume ambae yupo tayari. Utakapoweka maisha yako kwenye mstari wanawake watakuona na watakujia na mitego ya kila mamna wakunase. Hautajua nani shetani nani malaika maana wote watakujia na tabasamu.

Watakuendea kwa mchungaji, watakuendea kwa mganga, watajifanya wema kwa wazazi wako, watawachangamkia marafiki zako n.k. Women are opportunistics. They can't engage where there is no benefits.

As a man, your value skyrockets with every level you attain. When you rise to the top you bacome the prize. Don't hand your commitment to any woman who flashes smiles and curves. Fvck her if you must, but keep looking for value.

Usijali sana masuala ya kutaka kupendwa. Hakuna upendo wa bure kwa mwanaume hapa duniani. There is no unconditional love for a man. As a man you will be loved on condition that you're able to provide and protect.

Sio vibaya kupendwa lakini sio kitu cha kulilia au cha lazima. As a man just focus to be a man no one can ignore. Masuala ya kutaka kupendwa waachie wanawake na watoto.

Vet ruthlessly, you didn't build your life to throw it away on a liability. Check her past. Past is not just a past, it's a pattern of habits and behavior, and the strong predictor of future loyalty. Judge a woman harshly and ruthlessly based on her past.

Kumbuka hata utakampopata mmoja alienyooka, haimaanishi kwamba na wengine wataacha kujileta kwako. Mwanamke hatafuti mwanaume mwaminifu wa peke ake, anataka mwanaume mwenye thamani ya juu katika circle yake. Ni bora awe demu wa nane kwa Lugumi kuliko kuwa peke ake kwa winga. Sijui utawafanya nini hawa, but either way don't take them serious.

Vile vile, kumbuka pia utakapotoboa na kujiwekea standards mfano bikira, hautaki single mother, hautaki mshangazi wa 30+ n.k, wanajamii watataka kukufundisha morality. Utasikia singo maza ni wapambanaji, sijui past does not matter na ujinga jinga mwingine Wapuuze.

Wakati unahustle hakuna aliekua ana time na opinions zako, kwanini waje kukupangia sasa hivi. Stand firm, don't compromise your standards, be ruthless with your choice, because you earned that power. Power is not meant to be polite.

Don’t be a simp
Sikupingi mkuu
 
Hakuna insecurity yoyote, ni natural judgemental course ya kawaida kabisa. Sexual past life ya mwanamke inazingatiwa na mwanaume yoyote. Ingawa mnapinga lakini ni ukweli ambao hata nyie wenyewe mnaujua, ndio maana hata mkiulizwa namba ya body count huwa hamsemi ukweli
Kwamba idadi za aisha mwajuma na hawa zinafanana? Kila mtu ana sababu za kujikuta kwenye mfumo hakuna formula inayothibitisha ukiwa bikra ndio unastahili na ukiwa huna we ni malaya, kama mmeamua kujipa unafuu kwa kigezo hicho hamkatazwi! Ila sio kigezo cha kupata mke mwema! Wewe mwenyewe umeoa bikra lakini mguu ndani nje unaogopa kupigwa tukio!
 
Back
Top Bottom