Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Sijakariri, huoni naishi na wewe kwa akili 😄😄
Wewe bahari mimi meli, I swing na mood yako, ukifurahi nimo, visu simo, ukinuna simo, makopa ya mood nimo simo 🤣, ukitibuka kabisa as well natibuka 😂
We utanifaa sana mkuu kumbe kuna muda unatibuka, I like you even more😍 jitahidi tahidi kwenye visu uwemo basi..

Unaonaje tupractice taekwondo?
 
Hamna hizi ni dondoo tu za maisha 🤣
Mnaishi nazo? Au ndio mnamjaza kiongozi wenu bichwa?
Timbwili lipo nikirudi home, labda nikukute umevua mwenyewe ikiwa unajua nikikuona pichuless ndo silaha ya mwisho yako 🤣
Chupiless kitambi kimefunika 🐱 haina maana kabisa, kavipi tuendelee kuyarudi ⚔️🤸🏽‍♀️
 
Bahati mbaya females tunatafuta mtu mwenye " resources " as a long term partner, sababu tunahitaji kuinvest hizo resources to our offsprings! Ni trait tunayoshare na female wengine......sasa wewe tafuta mwanamke " utakayeanza" nae maisha from scratch kama utampata...ukimpata ujue kashaona " potential " yako akisubiri kidogo....eti hivi hivi huna A wala B umpate nani...!
Sasa shida ni kwamba mkipata hao wanaume wenye resources, tena wengi wao wanakua hawana changamoto kubwa za kitabia, mara nyingi mnakua mnawaona wana sura mbaya, hamvutiwi nao kimapenzi.

Ingia confession page nyingi za insta unakuta wadada wengi wanalalamika waume zao wako vizuri kipesa, wanatoa hela, ila tu ndo hivyo, wanawaona wana sura mbaya, wanaona aibu hata kuongozana nao, hata ku sex na hao wanaume hawataki ila wanajilazimisha..Sasa jiweke kwenye viatu vya hao wanaume ukute mtu anahudumia kwa nia nzuri tu..kumbe angejua yaliyo moyoni mwa mwenzie.. Rebeca 83
 
Kuna watu wanafikiri ukioa mwanamke bikra/Ukiitoa bikra ya mwanamke basi unefanikiwa kumfanya wako.

Nawaambia tu hawajawajua wanawake.

Unaweza kumuona bikra na kumtoa at 22, Akaja kuja kuku badirikia at 35 vibaya mno na usiamini, Chukulien mfano wa kesi study ya Christina Shusho.
Wanawake wanaovua nguo hovyo hawakuzaliwa na bikira? Mbona hawakutulia na waliozitoa? Sisemi watu wasioe bikira, nasema kutoa bikira si guarantee ya kutosalitiwa.
 
Mkuu Natafuta ajira mimi tayari nishajikaanga naishi na single mother aggregate ya 1-0 unachopaswa kunishauri ni jinsi gani naishi naye
Huna cha kushauriwa, wewe ishi tu utakavyoishi. Miaka nenda rudi tunasema humu hakuna mechi inayoanza na aggregate, sijui huwa mnatuona hatuna akili! Tena una bahati uko mbali, ungechezea kerub la kisogo nireset medula
 
Kwani Tatizo ni kuipata hiyo bikra tu?, Kuna tatizo la yatakayojiri, umebahatisha bikira yako, umeiweka ndani ikafika saa ya kurejesha vikoba ulivyokopewa ili ulipe ada ukashindwa ujue bikira zilizobaki ambazo hukuzitoa ushaziweka rehani. Mwanamke akitafuta sababu ya kutokutii anaikosa basi?
Waambie hawa wenzio, lol [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa wakuonewa huruma ni waoaji au hao ambao hawana bikira. Maana kutokua bikira maana yake ashaanza uzinzi kabla hajaolewa, na ndie atakaekutana na consequences za uzinzi mfano magonjwa, mimba zisitorajiwa n.k kivipi aonewe huruma muaji ambae hakutani na hizo consequences.
Sasa mbona wanaolia lia na Bikra sio hao ambao hawana? Ila ni hawa wanaozitafuta au kuzihitaji? Mnajifanya kuukimbia ukweli ila mkija kwenye uhalisia mnakutana na kitu chenyewe OG, mnabaki kubweka na kulia lia hovyoo poleniiiii.

Nasemaje km hamtabadilisha mienendo na life style ya maisha ya sasa, Kilio hicho ni endelevuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii sio kweli, mtoto akifika 18, 20 na bikra yake kajitunza, mpeni maua yake. [emoji16]
Darasa la sita tutoto tunaanza kushikana ba kunyonyana NIDO twenyewe. Sasa kakiweza kukatiza mpaka 20 huko basi kapewe maua yake.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake wanatongoza sema sio ile direct approach kama tunavyofanya wanaume, ni kama kuna mazingira anayatengeneza au manipulations fulani anafanya ili mwanaume aanze kufunguka au anase kwenye mtego
Sasa km mwanamke anaweka mtego na wee mwanaume unyjia kabisa ni ulimbo kwanini usisanukee na kujikataa??

Shida yenu wanaume ni Tamaa. Lol
 
Wanawake wanaovua nguo hovyo hawakuzaliwa na bikira? Mbona hawakutulia na waliozitoa? Sisemi watu wasioe bikira, nasema kutoa bikira si guarantee ya kutosalitiwa.
Kinachoongelewa ni probability. Hata tafiti za kisayansi zinaonyesha women who were virgin before marriage less likely to cheat on their husband.

Ukiachana na suala la kucheat faida zingine za kuoa mwanamke ambaye ukimkuta akiwa bikira ni.

-innocence, anakuja kwako akiwa hana trauma kutoka mahusiano ya nyuma

-heshima yako kama mwanaume, ni wazi hakuna mwanaume mwenzako anaweza kukuheshimu ikiwa anaujua uchi wa mkeo, bila kujali alimgonga kabla au baada ya wewe kumuoa.

-comparison, wewe ndie wa kwanza kwake. Hakuna wa kukulingamisha nae, hii inasaidia kutengeneza strong bond.

-secured womb, kama tunavyojua the higher the body count the more likely of unpkanned pregnancy and abortions. Bikira anakuja akiwa hana hii changamoto.

-spiritual connection, kwa wanaoaamini kwenye masuala ya kiroho, kutoa bikira ni agano kati ya mwanaume ma mwanamke. Daima mwanaume aliembikiri mwanamke ndie atakua mume wa huyo mwanamke katika masuala ya kiroho

-utayari katika kumaliza migogoro, bikira kuna kitu kinamwambia nafsini "i didn't preserve myself this far to endup with broken marriage". Huyo atakua tayari kukaa kwenye meza ya majadiliano. Lakini used akili inamwambia "there is always another man waiting on the line". Huyo ni habari nyingine
 
Sasa mbona wanaolia lia na Bikra sio hao ambao hawana? Ila ni hawa wanaozitafuta au kuzihitaji? Mnajifanya kuukimbia ukweli ila mkija kwenye uhalisia mnakutana na kitu chenyewe OG, mnabaki kubweka na kulia lia hovyoo poleniiiii.

Nasemaje km hamtabadilisha mienendo na life style ya maisha ya sasa, Kilio hicho ni endelevuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nani kalia? Ulitegemea wanawake waliotumika kabla ya kuolewa wasisitize bikira?
 
Sasa km mwanamke anaweka mtego na wee mwanaume unyjia kabisa ni ulimbo kwanini usisanukee na kujikataa??

Shida yenu wanaume ni Tamaa. Lol
Ofcourse mwanamke akiweka mitego kuna uwezekano mkubwa mwanaume akapita nae. Lakini ninachokiongelea mimi ni kupata commitment ya mwanaume, yaani ukiachana na sexual pressure, mwanamke ana character gani ya kumshawishi mwanaume ajicommit kwake. Hapo ndipo kuna shughuli. Kwahiyo mwanamke kutongozwa atatongozwa, kugongwa atagongwa lakini likija suala la kupata commitment ya mwanaume hiyo ni kesi tofauti.
 
Kinachoongelewa ni probability. Hata tafiti za kisayansi zinaonyesha women who were virgin before marriage less likely to cheat on their husband.

Ukiachana na suala la kucheat faida zingine za kuoa mwanamke ambaye ukimkuta akiwa bikira ni.

-innocence, anakuja kwako akiwa hana trauma kutoka mahusiano ya nyuma

-heshima yako kama mwanaume, ni wazi hakuna mwanaume mwenzako anaweza kukuheshimu ikiwa anaujua uchi wa mkeo, bila kujali alimgonga kabla au baada ya wewe kumuoa.

-comparison, wewe ndie wa kwanza kwake. Hakuna wa kukulingamisha nae, hii inasaidia kutengeneza strong bond.

-secured womb, kama tunavyojua the higher the body count the more likely of unpkanned pregnancy and abortions. Bikira anakuja akiwa hana hii changamoto.

-spiritual connection, kwa wanaoaamini kwenye masuala ya kiroho, kutoa bikira ni agano kati ya mwanaume ma mwanamke. Daima mwanaume aliembikiri mwanamke ndie atakua mume wa huyo mwanamke katika masuala ya kiroho

-utayari katika kumaliza migogoro, bikira kuna kitu kinamwambia nafsini "i didn't preserve myself this far to endup with broken marriage". Huyo atakua tayari kukaa kwenye meza ya majadiliano. Lakini used akili inamwambia "there is always another man waiting on the line". Huyo ni habari nyingine
Ok, in theory upo sawa, sasa katika uhalisia, What is the probability that mtu X akioa bikra hatosalitiwa ukiinclude factors zote. Maana tatizo la theory ni inaweka assumptions na kuignore factors.
 
Ok, in theory upo sawa, sasa katika uhalisia, What is the probability that mtu X akioa bikra hatosalitiwa ukiinclude factors zote. Maana tatizo la theory ni inaweka assumptions na kuignore factors.
Hakuna kanuni inayoleta matokeo kwa 100%. Unajua hata ukipima DNA majibu yakija 97% maana yake DNA zime-match. So, there is exception in everything, but exceptionality don't count when we make conclusions.
 
Ok mkuu. Hapa unachosema ni kuwa hakuna guarantee ila katika theory tunaweza hitimisha kuwa ukioa bikra chances za kutosalitiwa ni kubwa. Hapa sawa.
 
Back
Top Bottom