Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Nani kalia? Ulitegemea wanawake waliotumika kabla ya kuolewa wasisitize bikira?
Wanaume wenzio wanalia na kubweka kila siku kuhusu bikra, tena wee ndio kiongozi wao wa kuja kuwapa fundo la kilio.

Umewahi waona wanawake wanalia lia kuhusu bikra?? Poleee
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ofcourse mwanamke akiweka mitego kuna uwezekano mkubwa mwanaume akapita nae. Lakini ninachokiongelea mimi ni kupata commitment ya mwanaume, yaani ukiachana na sexual pressure, mwanamke ana character gani ya kumshawishi mwanaume ajicommit kwake. Hapo ndipo kuna shughuli. Kwahiyo mwanamke kutongozwa atatongozwa, kugongwa atagongwa lakini likija suala la kupata commitment ya mwanaume hiyo ni kesi tofauti.
[emoji23][emoji23][emoji23] ndipo mnapokuja na kilio cha bikra eeh? Ndio maana kuna msemo "ukitaka kujua uchache wa wanawake tafuta mke "

Unaonaje hiyoo?? Na waliopo sasa ndio hawa hawa mnaowagonga hovyoo hovyoo. Sijui hizo BK mtazitolea wapii. Lol
 
Tatizo wewe ni shoga. Hizi mada hauwezi kuelewa kwa mlengo wa kike kwa sababu sio mwanamke, na hauwezi kuelewa kwa mlengo wa kiume kwa sababu ushaleft group.
 
Bahati mbaya females tunatafuta mtu mwenye " resources " as a long term partner, sababu tunahitaji kuinvest hizo resources to our offsprings! Ni trait tunayoshare na female wengine......sasa wewe tafuta mwanamke " utakayeanza" nae maisha from scratch kama utampata...ukimpata ujue kashaona " potential " yako akisubiri kidogo....eti hivi hivi huna A wala B umpate nani...!

Virginity without emotional maturity,emotional intelligence confidence/ goals, physical attraction....is NOTHING!...at least modern men think so...!...kwanza hao virgin mnawatoa wapi? Lol, mnaambiwa mraise standards more like muwe na UNREALISTIC EXPECTATIONS.....kwanza huyu Natafuta Ajira tangia aanze ku preach bikira, sijui low body count kuna wana JF wanaume hata watano tu wamekutana na hizo bikira???, njooni mutoe ushuhuda hapa....kama sio kumpa reality of how the real world is, then sijui....manake, he is living in his own world, kampata bikira kijijini alisema Manyara..basi wanaume wote muende Manyara..lol...kabinti huna emotional connection nako, ungekuwa nayo usingemuita financial vampire..mpuuzi we!

Nilikuwepo!
Hahaha. Mbona sasa ni kama unathibitisha nadharia ya mleta mada: kwamba baadhi nyie jinsia ya "KE" mpo kimaslahi binafsi zaidi na siyo "upendo" ktk ndoa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ndipo mnapokuja na kilio cha bikra eeh? Ndio maana kuna msemo "ukitaka kujua uchache wa wanawake tafuta mke "

Unaonaje hiyoo?? Na waliopo sasa ndio hawa hawa mnaowagonga hovyoo hovyoo. Sijui hizo BK mtazitolea wapii. Lol

Sasa anaye gonga gonga hovyo na anaye gongwa gongwa hovyo nani mwenye hasara ktk nchi kama Tz ambayo ukijikuta umekua single mother ni majangaa. Mimi siabudu bikra, ila nyie viumbe KE eleweni kwamba wanaume wanaosistiza bikra wanawaheshimisha.
 
Hahaha. Mbona sasa ni kama unathibitisha nadharia ya mleta mada: kwamba baadhi nyie jinsia ya "KE" mpo kimaslahi binafsi zaidi na siyo "upendo" ktk ndoa.
Hanaga akili huyo msimbe. Anaangaika sana kupata attention yangu halafu mimi nilishampuuza kitambo. Anathibitisha ninachokiongea halafu mwisho ananiita mpuuzi
 
Kwanza huyo uliemnukuu ni shoga, sio mwanamke. Pili, kuna uzi nilishawahi kuandika wenye kichwa cha habari "unataka kimfanyia kitendo cha uovu mwanamke". Katika pitapita zako jf nafikiri unaweza ukawa ushawahi kuusoma.

Kuna watu hawakuelewa nikichoandika. Hoja kuu ndani ya ule uzi ni kuonyesha jinsi mwanamke anaweza kupotea akikosa ulinzi au uongozi wa mwanaume.

Mwondolee mwanamke ulinzi au uingozi wa mwanaume au mshawishi kwamba mwanaume ndie adui yake. Halafu mpe uhuru wa kufanya anachokitaka huku ukimwambia kwamba unampa nafasi ya kutumia uhuru wake. Knowingly or unknowingly she will fvck it up. Comment ya huyo punga inafanana kabisa na akili za wanawake.

Agongwe yeye, ajiweke kwenye hatari ya kupata magonjwa na unplanned pregnancy yeye, fedhea kwenye jamii aibebe yeye, halafu hasara iwe kwa mwanaume. Very stupidity reasoning
 
Hanaga akili huyo msimbe. Anaangaika sana kupata attention yangu halafu mimi nilishampuuza kitambo. Anathibitisha ninachokiongea halafu mwisho ananiita mpuuzi
Koma kabisa kenge wewe eti natafuta attention yako, ili iweje??? Wewe mlugaluga unayeamini mwanamke hana cha ku offer zaidi ya bikira yake....you are not what I will go for, acha kujipa umuhimu kwangu...ku.ma mberegesi wewe...
 
Hahaha. Mbona sasa ni kama unathibitisha nadharia ya mleta mada: kwamba baadhi nyie jinsia ya "KE" mpo kimaslahi binafsi zaidi na siyo "upendo" ktk ndoa.
Hahaaaaa nyie endeleeni kuishi katika bubbles zenu, kila mtu anaangalia what he/she has to gain in a relationship, the theory men love and women don't.. ni theory mliyojaza nyie wenye vichwa vilivyojaa kamasi eti mwanaume anapenda spontaneously mwanamke bila kuangalia attributes zake....thubutuu
 
Tatizo wewe ni shoga. Hizi mada hauwezi kuelewa kwa mlengo wa kike kwa sababu sio mwanamke, na hauwezi kuelewa kwa mlengo wa kiume kwa sababu ushaleft group.
Hivi kwanini ukiishiwa hoja unaleta personal attacks?

Hivi kuwa shoga ndo kunafanya mtu asiwe mwanaume? Basi nakuambia sasa mashoga wanaoa, wanazalisha na wana familia.

Na sitaki kujadili kuhusu ushoga, sio mahala pake, em kaa ndani ya mada bwasheee.

Nimekuuliza hao wanawake unao wasema wee wawe na bikra, ni hawa hawa mnaokulana nao kila siku au kuna wengine ??
 
Sasa anaye gonga gonga hovyo na anaye gongwa gongwa hovyo nani mwenye hasara ktk nchi kama Tz ambayo ukijikuta umekua single mother ni majangaa. Mimi siabudu bikra, ila nyie viumbe KE eleweni kwamba wanaume wanaosistiza bikra wanawaheshimisha.
Kwani ni nani anayelia lia kuitaka Bikra? Ni mwanamke muolewaji au mwanaume muoaji? Hasara anaiona anayehisi kupungukiwa kitu.

Single mother hawezi kuwa bila mwanaume asiyewajibika km baba au mlezi, na hilo janga litaonekana pale muhusika analichukuaje, au wanao mzunguka wana tafsiri vipii.

Mwanamke hapotezi bikra bila mwanaume, ukiona kaipoteza basi ujue kuna mwanaume mwenzenu alikua muharibifu, iweje lawama apewe mwanamke pekee?

Wanaume wenyewe wanasisitiza bikra, huku wao ndio waharibifu wakuu. Nini sasa?
 
Back
Top Bottom