cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Tatizo NA unapojadili hizi mada unakua na mhemko, yaan unaweza ukawa sahihi na unachotaka kuwasilisha ila munkali ndio shida.Kwanza huyo uliemnukuu ni shoga, sio mwanamke. Pili, kuna uzi nilishawahi kuandika wenye kichwa cha habari "unataka kimfanyia kitendo cha uovu mwanamke". Katika pitapita zako jf nafikiri unaweza ukawa ushawahi kuusoma.
Kuna watu hawakuelewa nikichoandika. Hoja kuu ndani ya ule uzi ni kuonyesha jinsi mwanamke anaweza kupotea akikosa ulinzi au uongozi wa mwanaume.
Mwondolee mwanamke ulinzi au uingozi wa mwanaume au mshawishi kwamba mwanaume ndie adui yake. Halafu mpe uhuru wa kufanya anachokitaka huku ukimwambia kwamba unampa nafasi ya kutumia uhuru wake. Knowingly or unknowingly she will fvck it up. Comment ya huyo punga inafanana kabisa na akili za wanawake.
Agongwe yeye, ajiweke kwenye hatari ya kupata magonjwa na unplanned pregnancy yeye, fedhea kwenye jamii aibebe yeye, halafu hasara iwe kwa mwanaume. Very stupidity reasoning
Unaposema mie akili zinafanana na wanawake, na hao ambao sio gays, wanaopinga hoja zako ndo unaishia kuwaita Simps eeh??
Sasa wee mwenyewe nikuulize, mwanamke unplanned pregnancy, STI na UTI, na madhara mengine anapata kwa kufanya pekee yake au kwa kushirikiana na wanaume??
Mie simlaumu mwanaume yoyote, ila nachopinga ni hizi lawama kwa wanawake kuwa wameharibika, ili hali waharibifu ni nyie wanaume. Sasa mnalaumu nini??
Mwanaume unataka mwanamke bikra, ili hali wee mwenyewe umewachakaza wanawake msururu, tena wengine Bikra hukuwaoa kwa kuwa hawakukidhi vigezo vingine nje ya hiyo bikra, afu unaanza kulalama. Kwelii??
Mkitaka wanawake wawe na Bikra hadi wanaolewa, basi wanaume kaeni vikao mjadili kuacha kufanya uharibifu juu ya wanawake, if not, bas kilio ni endelevuu.
Nakupa motisha, niite vyovyote utakavyo, hunipunguzii wala kuniongezea kitu.