Kinachoongelewa ni probability. Hata tafiti za kisayansi zinaonyesha women who were virgin before marriage less likely to cheat on their husband.
Ukiachana na suala la kucheat faida zingine za kuoa mwanamke ambaye ukimkuta akiwa bikira ni.
-innocence, anakuja kwako akiwa hana trauma kutoka mahusiano ya nyuma
-heshima yako kama mwanaume, ni wazi hakuna mwanaume mwenzako anaweza kukuheshimu ikiwa anaujua uchi wa mkeo, bila kujali alimgonga kabla au baada ya wewe kumuoa.
-comparison, wewe ndie wa kwanza kwake. Hakuna wa kukulingamisha nae, hii inasaidia kutengeneza strong bond.
-secured womb, kama tunavyojua the higher the body count the more likely of unpkanned pregnancy and abortions. Bikira anakuja akiwa hana hii changamoto.
-spiritual connection, kwa wanaoaamini kwenye masuala ya kiroho, kutoa bikira ni agano kati ya mwanaume ma mwanamke. Daima mwanaume aliembikiri mwanamke ndie atakua mume wa huyo mwanamke katika masuala ya kiroho
-utayari katika kumaliza migogoro, bikira kuna kitu kinamwambia nafsini "i didn't preserve myself this far to endup with broken marriage". Huyo atakua tayari kukaa kwenye meza ya majadiliano. Lakini used akili inamwambia "there is always another man waiting on the line". Huyo ni habari nyingine