Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Ukisikia mtu anasema wanawake wengi wanaolewa na mwanaume wasiempenda, usifikiri anachekesha. Uhalisia ni kwamba, mwanaune anaoa mwanamke anaempenda, mwanamke anaolewa na mwanaume ambae yupo tayari. Utakapoweka maisha yako kwenye mstari wanawake watakuona na watakujia na mitego ya kila mamna wakunase. Hautajua nani shetani nani malaika maana wote watakujia na tabasamu.

Watakuendea kwa mchungaji, watakuendea kwa mganga, watajifanya wema kwa wazazi wako, watawachangamkia marafiki zako n.k. Women are opportunistics. They can't engage where there is no benefits.

As a man, your value skyrockets with every level you attain. When you rise to the top you bacome the prize. Don't hand your commitment to any woman who flashes smiles and curves. Fvck her if you must, but keep looking for value.

Usijali sana masuala ya kutaka kupendwa. Hakuna upendo wa bure kwa mwanaume hapa duniani. There is no unconditional love for a man. As a man you will be loved on condition that you're able to provide and protect.

Sio vibaya kupendwa lakini sio kitu cha kulilia au cha lazima. As a man just focus to be a man no one can ignore. Masuala ya kutaka kupendwa waachie wanawake na watoto.

Vet ruthlessly, you didn't build your life to throw it away on a liability. Check her past. Past is not just a past, it's a pattern of habits and behavior, and the strong predictor of future loyalty. Judge a woman harshly and ruthlessly based on her past.

Kumbuka hata utakampopata mmoja alienyooka, haimaanishi kwamba na wengine wataacha kujileta kwako. Mwanamke hatafuti mwanaume mwaminifu wa peke ake, anataka mwanaume mwenye thamani ya juu katika circle yake. Ni bora awe demu wa nane kwa Lugumi kuliko kuwa peke ake kwa winga. Sijui utawafanya nini hawa, but either way don't take them serious.

Vile vile, kumbuka pia utakapotoboa na kujiwekea standards mfano bikira, hautaki single mother, hautaki mshangazi wa 30+ n.k, wanajamii watataka kukufundisha morality. Utasikia singo maza ni wapambanaji, sijui past does not matter na ujinga jinga mwingine Wapuuze.

Wakati unahustle hakuna aliekua ana time na opinions zako, kwanini waje kukupangia sasa hivi. Stand firm, don't compromise your standards, be ruthless with your choice, because you earned that power. Power is not meant to be polite.

Don’t be a simp
Sahihi kabisa,maana kitakachoangaliwa hapo ni unafuu au uhakika wa maisha na si kingine
 
Ukiona demu anangangania uwe wa peke yake ujue bado hujawa na hela za kutosha, Akishajua kwako kuna future hajali una mademu wangapi, Mwingine anakwambia Kabisa mimi nipangie hata chumba kimoja tu wala sitakusumbua
😀😀😀 Mimi huwa naambiwa "hata ukitaka kubeba nguo zako ukalale uko wiki nzima ni sawa, muhimu hela ya matumizi nyumbani iwepo"
 
Kwa dunia ya sasa ni ngumu sana kumtenganisha decent lady na malaya, because they are fall under the same category of give sex get money/provision
Umalaya ni umalaya mkuu hata ukifunikwa kwa lugha nyepesi. Mwanamke anayevua nguo kwa mwanaume tofauti na mwanaume aliye naye kwenye mahusiano bila kuyavunja hayo mahusiano huyo ni Malaya.
 
Anayemhudumia!
Sio kweli. Wale wanawake waliogongwa na bartazr walikosa provision kutoka kwa waume zao? Ishu tu ni wanawake kwa sasa wamekua na tamaa ya vitu vingi. Pia comparison inachangia. Mpaka mwanamke aamue ku-settle unakuta tayari ashagongwa na wanaume sio chini ya watano. Inakua ngumu kuridhika na mmoja kwa sababu huyu mmoja hawezi kuwazidi maex wote kwenye kila kipengere
 
Sio kweli. Wale wanawake waliogongwa na bartazr walikosa provision kutoka kwa waume zao? Ishu tu ni wanawake kwa sasa wamekua na tamaa ya vitu vingi. Pia comparison inachangia. Mpaka mwanamke aamue ku-settle unakuta tayari ashagongwa na wanaume sio chini ya watano. Inakua ngumu kuridhika na mmoja kwa sababu huyu mmoja hawezi kuwazidi maex wote kwenye kila kipengere
Yupo sahihi, linapokuja suala la security versus love most of the time binadamu atachagua security first and love itakuwa kwa kuibwa ibwa.

Hata wewe hapo ukiambiwa uchague kati ya kazi unayoipenda ila haina kipato na kazi usiyoipenda ila inakupa kipato utachagua usiyoipenda na mara moja moja utajiiba ufanye ile unayoipenda na ikitokea umebanwa basi unayoipenda utaitelekeza.

Sasa kwenye mahusiano utii ndo kama kufuli, mwanamke akikutii, hata kama sababu ya kuja kwako ni pesa as long as si malaya na ni mtiifu kwa nafsi yake na kiapo chake una nafasi kubwa ya kutoshuhudia akikusaliti, ila akikupenda akaja kwako halafu akakosa security kama hana utii wa nafsi yake una nafasi kubwa ya kushuhudia akikusaliti.
 
Na watu wenhi wanaoa wakifanikiwa!
Tragedy of miscalculation. 😁
Ni kisanga. Sema uzuri mwanamke anaweza kufundishwa kupenda kama ukimuwahi kule kwenye umri mdogo miaka 19-22 kidogo sana mpaka 23, hiyo age mwanamke anapenda ile wholesome.

Kuanzia 25 kwa mwanamke ni mwendo wa kufanya calculation ya masilabi yake tu. 25+ mwanamke hapendi tena
 
Mkuu, kama mwanamke ni mtiifu kwa nafsi yake,MUNGU wake na kiapo chake wala hafeki, ule utii ndo unaongoza maamuzi yake. Mwanamke wa aina hii akishindwana na mwanaume kabisa, atahakikisha anaachwa ndo avue nguo kwa mwanaume mwingine. Sasa hivi sidhani kama wapo wa aina hii, nadhani ni nadra sana kuwapata.
Wapo ila ni nadra kama unavyosema!
 
Back
Top Bottom