Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

Sio kila jambo la kumshinda mwanamke. Mfano ni hili la bikira, mwenye bikira yake anakuambia kupasuliwa nje hakuna uhusiano na kutolewa bikira unambishia nini sasa wakati yeye ndo ana uzoefu wa kutolewa bikira?
Ninavyosema kujitafakari simaanishi kwamba ushindane nae. Namaanisha fanya double check ya msimamo wako. Mwanamke ni mgumu kukubaliana na ukweli au uwajibikaji. Hiyo inapelekea ku-twist narrative.
 
Na ukitaka kujua Hilo huyo mwanamke akijipata hawezi kuwa na wewe tena uwepo wake kwako ni kwasababu ya hela zako na hata kwenye kutoa mapenzi atakupa kwa kupimia lakini yule anayempenda atakuwa na uhuru simu yake moja tu demu anakuja huo ndio uhalisia wa mademu wa Sasa

Yaani utoe hela na Upimiwe? Sasa ukiacha kumpa si atalala njaa huyo kima?

Na mostly men wanajua, Hapa ni mapenzi hapa ni pesa inaongea ila ndo hivo hata nzi anamfata mtu mwenye kidonda
 
Ndio maana nikimtizama Lebron James, Messi na Snoop Dog wana bahati sana kwani wamewaoa wapenzi wao wa ujanani wakati wakiwa wanajitafuta. Ila hawa masuper star walioa baada ya maarufu huangukia kwa mamodel/slay queen na mabinti, warembo wengi wameishia kuugulia maumivu na kugawana mali zao. Magold digger wapo serious sana, wanajua kutega na kujitongozesha kwa wanaume matajiri na wanajua kunyenyekea ili tu malengo yao ya timie.

Ukiwatizama watu wengi wenye hela walio fanikiwa kwenye maisha ya ndoa, basi walio wanawake wa utotoni au kipindi cha ujana wao wakiwa wanajitafuta.
Ni changamoto sana kupendwa kama binadamu ukiwa na hela. Ronaldo yeye kaamua kumsainisha mikataba demu wake Georgina na anamlipa kila mwezi ili kukwepa haya mambo ya talaka na mali kupigwa pasu kwa pasu. Hata yule mtoto mkubwa mama wa mtoto alivyimwambia tu ana mimba akamlipa hela akachukua mtoto wasijuane tena maana alijua badae atasumbuliwa kwenye child support
 
Kichwa cha mwanamke kina mambo ya ajabu mno kikishavurugika hata kama kilikuwa sawa wakati unaitoa huyo bikira. Najua mkuu Natafuta Ajira hatokubaliana na mimi.

Kuna watu wanafikiri ukioa mwanamke bikra/Ukiitoa bikra ya mwanamke basi unefanikiwa kumfanya wako.

Nawaambia tu hawajawajua wanawake.

Unaweza kumuona bikra na kumtoa at 22, Akaja kuja kuku badirikia at 35 vibaya mno na usiamini, Chukulien mfano wa kesi study ya Christina Shusho.
 
Suala la bikira tumebase zaidi kwenye probability. Bikira alishaamua kujitunza kabla hata hajaolewa. Kuna probability kubwa zaidi ya kuwa mwaminifu. Ambae sio bikira tayari hana cha kupoteza. Hata akikucheat hakuna spiritual connection baina yenu itakayomfanya ajisikie vibaya.
 
Sio kila bikra kajitunza wengine wanakosa tu nafasi za kuliwa mitaani ndiomaana wakifika chuo vijana wanazinyofoa vibaya mno!
 
Sio kila bikra kajitunza wengine wanakosa tu nafasi za kuliwa mitaani ndiomaana wakifika chuo vijana wanazinyofoa vibaya mno!

Hii sio kweli, mtoto akifika 18, 20 na bikra yake kajitunza, mpeni maua yake. 😁
Darasa la sita tutoto tunaanza kushikana ba kunyonyana NIDO twenyewe. Sasa kakiweza kukatiza mpaka 20 huko basi kapewe maua yake.
 
Bwana bwana, nyie hamuelewi mambo mengi sana, huo umri wengi sana tumefika ila ukiingia kitaa ndio basi tena! Marafiki znagu wengi zimenyofolewa chuo! Maana mazingira ya nyumbani na shuleni huwezi kuitoa! Ila wanakuwa wnaatamani sana..

Hao darasa la 6 labda mapepo! Maana huo umri unatoa wapi hisia🤔
 
Tutoto siku hizi tunakula mbolea nzuri, katoto ka miaka 13, 14 kana mchumba wake.
 
Back
Top Bottom