Ukifanikiwa punguza kelele kula kimya kimya, Dogo mmoja wa Twitter huko X sasa hivi wamemfelisha

Kijana tayari alikuwa na misala mizito akaona aingie kwenye siasa ionekane kakamatwa kisa siasa. Vyombo vya usalama vya Tanzania huwa vinamchunguza sana mtu kabla ya kumkamata ingawa wakati mwingine kuna maafisa huzingua kwa kuweka weledi pembeni.
Ukijiona una madoa sio msafi usithubutu kuichokoza serikali hauwezi ukawa salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…