Ukifanya Oral Interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako?

Hahaha! Nakumbuka mimi nilifanya oral interview ya CDO's mwishoni kabisa kabisa nikaambiwa "you had a lot of issues but you have tried to condense them, thank you very much"
Sikuelewa kama nilifanya vizuri au laa!
Mimi niliambiwa ,pitia mara kwa mara kwenye account yako ya ajiral portal kwan majibu yatatoka kwa pdf na nikasisitizwa hivyo. Kingine We wish you all the best, do you have anything to add before we finish?na la mwisho M/Kit wa pannel akasema Get prepared to work for your new working place.and your warmly welcome. Maneno mengi mengi yaliongozan😢
 
Daah! Ilikuwa hatari sana but Mungu mwema!!
 
Kwa hyo utasikia
"thank u Mr Jobless,,we advice u to understand QNS and do more preparation for next post will be advertised""
Au comments gaan [emoji23][emoji23][emoji23] wizy
Kaka kiingereza chako ndio hiki wewe ushaliwa kichwa tayari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom