Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Hii niliona wakat tukiwa wadogo tulipokuwa tunawatembelea babu na bibi,kwa akili yangu nilihis kwa vile wamezeeka ndo waliamua kila mtu kuwa na kitanda chakeWazee wa zamani walikuwa wanalala room tofauti au vitanda tofauti. Kuna kitanda cha baba hiko special tu hakilaliwi na mtu isipokuwa mama mtu tu akihitajika ndio anajumuika na mshua.
Itapendeza kama mtaishi mabara tofauti mwingine Asia mwingine EuropeNi nzuri zaidi kama mkiishi nchi tofauti.
Hii ni njia nyepesi ya wanandoa kufikia kilele cha umalaya na kubeba tuzo maarufu ya "HIV"Inapendeza wanandoa kila mtu akawa anaishi wilaya tofauti mkawa mnatembeleana
π€£Ule ndio mfumo wao mkuu, waliishi vizuri sana lakini maana mwanamke hauwezi kumkinai haraka mkiwa mnalala vitanda tofautiHii niliona wakat tukiwa wadogo tulipokuwa tunawatembelea babu na bibi,kwa akili yangu nilihis kwa vile wamezeeka ndo waliamua kila mtu kuwa na kitanda chake
Inatakiwa mabara tofauti alafu mnatembeleanaInapendeza wanandoa kila mtu akawa anaishi wilaya tofauti mkawa mnatembeleana
NASA waongeze juhudi za utafiti kama kuna sayari nyingine binadam anaweza kuishi basi tukae sayari tofautiInatakiwa mabara tofauti alafu mnatembeleana
HahahaHii ni njia nyepesi ya wanandoa kufikia kilele cha umalaya na kubeba tuzo maarufu ya "HIV"
Sisi wenye stress za man u, hata utupe nn yaanSijui ni stress gani zitanifanya nisilichezee na kulibusu hilo wezere.
Mwenyewe nilijua sababu ni uzee kumbe ni mbinu za kimedani, babu alikuwa analala kwenye nyumba yake na bibi nae yake utadhani ni mtu na jirani yake.Hii niliona wakat tukiwa wadogo tulipokuwa tunawatembelea babu na bibi,kwa akili yangu nilihis kwa vile wamezeeka ndo waliamua kila mtu kuwa na kitanda chake
Mwishowe mtashauri kila mtu awe sayari yake ukituma ujumbe upitie kwanza NASA ndo umfikie mhusika.Inapendeza wanandoa kila mtu akawa anaishi wilaya tofauti mkawa mnatembeleana
Nd y is thatSioni umuhimu wa kulala wawili kutanda kimoja labda mazingira yawe yamebana sana, lakini hamna raha kama kulala kila mtu na kitanda chake, ikibidi hata chumba kila mtu na chake.
Hii comment imenifanya nicheke sana π π π€£π€£π€£π€£Inapendeza wanandoa kila mtu anakuwa na nyumba yake,mnakuwa mnatembeleana
Itapendeza zaidi kama mtaishi sayari tofauti mwingine mars mwingine earth π π π πItapendeza kama mtaishi mabara tofauti mwingine Asia mwingine Europe
Hili halina ubishi π€£π€£msongo wa mawazo unaweza kupelekea kupiga hata visivyo na hatia kama mbuzi, mbwa paka nk kikikatiza mbele yako unajikuta unaokota jiwe