Ukifikisha umri wa kustaafu(miaka 60) na hujawahi kulala selo au kuitwa polisi kwa mahojiano wewe sio mpambanaji

Zinatumika mbinu nyingi kujaribu kutafuta thamani ya mwanaume mpambanaji. Ila kwangu hii ni moja ya sababu za kifala na kipumbavu kuliko zote zilizowahi kutajwa. Kwamba ukiwa mpambanaji lazima upite sero au ulale mahabusu hata mara moja. SMH!

Mnawaponza vijana wakajiaminishe kufanya maovu mwisho wataishia pabaya. Acheni ubabaifu fanyeni kazi halali mpate mkate wenu wa kila siku kukutosheleza wewe na familia yako. Na usikute unasema haya hata familia huna au ndio kwanza unahamasisha mabinti kutoa mimba
 
kila mtu ana experience yake ya maisha ukisema tuanze kushindanisha hapa utakuja kujiona ni nyumbu!.
kuna watu wamepitia kule unaposikia wewe kukikaribia kifo!,pita mahospitalini hata siku moja tena zile hospital kubwakubwa utaona nachomaanisha kwamba tunapitia vitu tofauti tofauti na experience ya mwenzako usije ukaiona ni upuuzi!.. hapo ukute hujawahi hata kuvunjika mfupa wowote ama kupigwa na risasi lkn wapo wenye hizo experience!.
huwezi kusema hao si wanaume!

watu wanatafuta ugali wa kila siku wanapitia mabalaa kuna ajali n.k by the way ubongo wangu unaniambai nikiona mtu analinganisha experience za maisha kama ndio uanaume ama si uanaume basi huyo mtu bado hajakuwa!.

nakuacha na hii " maisha unaweza ukayatafsiri kwa wepesi tu lkn ndani yake kila mtu anamambo yake,na kuna mengine ungeyapitia wewe usingevumilia ungechagua kifo".
 
nimekuona mjinga tu usiyejielewa na pia unapenda kuwatukuza wanadamu wenzio kwa jinsi ulivyoanza kuwataja sijui machawa,high pfofile leaders,watu wa vyombo vya salama,wana ccm, na watoto wa mama..nje ya hao sisi wengine hatuna maana kama hatujalala lupango au kuhojiwa polisi basi hatuna la maana kusimulia wajukuu yaani kwako ww mtu akipata kashkashi za polisi basi ndo unamuona amewin maisha..kwani hilo kindi ulilotaja la machawa na viongozi na watoto wa mama ww ndio unawaona eti ndio wanaume wa Shoka kwani wanalipi la kusimulia wajukuu zaidi ya wizi na ufisadi na kukandamiza haki za watu.! huna maana
 
Habari yako hapo sebuleni kwa shemeji yako
 
cheki hili na nalo
 
mo dewiji alilala Selo gan
 
katika harakati zako za upambanaji hujawahi kulala kupango au kuitwa polisi kwa mahojiano,wewe bado sana
Nafikiri huu ni mtazamo wako binafsi, kosa ni pale unapolazimisha mtazamo wako uwe sahihi kwa watu wote! Wewe ni:

dikteta

mtu mwenye tabia ya kutaka lifanywe lile analosema bila ya kupingwa

Halafu unaonekana wewe ni:

zuzu

mtu asiyetumia akili yake; mtu anayeshindwa kufahamu jambo hata akielezwa

 
Weweni chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…