Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Im not into that shittt!!! Never ever!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Extroo, wee hutaki kuwa did it vidampaa?
ILA USISAHAU KUWA MAMA SAMIA NI MITANO TENA
Habari yako hapo sebuleni kwa shemeji yakonimekuona mjinga tu usiyejielewa na pia unapenda kuwatukuza wanadamu wenzio kwa jinsi ulivyoanza kuwataja sijui machawa,high pfofile leaders,watu wa vyombo vya salama,wana ccm, na watoto wa mama..nje ya hao sisi wengine hatuna maana kama hatujalala lupango au kuhojiwa polisi basi hatuna la maana kusimulia wajukuu yaani kwako ww mtu akipata kashkashi za polisi basi ndo unamuona amewin maisha..kwani hilo kindi ulilotaja la machawa na viongozi na watoto wa mama ww ndio unawaona eti ndio wanaume wa Shoka kwani wanalipi la kusimulia wajukuu zaidi ya wizi na ufisadi na kukandamiza haki za watu.! huna maana
cheki hili na naloUkiondoa chawa, high profile leaders, watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, makada wa CCM na watoto wa mama.
Waliobaki kama ukifikisha umri wa kustaafu miaka 60,uwe umejiajiri au umeajiriwa na katika harakati zako za upambanaji hujawahi kulala kupango au kuitwa polisi kwa mahojiano,wewe bado sana,huna cha kusimulia wajukuu.
Naingea na wapambanaji
Wapambanaji wengi wameshalala lupango au kuhojiwa polisi,hii ni duniani kote.
Hapa siongelei kufungwa gerezani hiyo ni advanced sana.
Kuna mwamba alienda kwa mchepuko akapewa show mpaka saa nane usiku,kurudi nyumbani ikawa shida,akamfuata afande mmoja ni rafiki yake,wakamsweka ndani,mkewe akapigiwa simu kuwa njoo polisi mumeo amegonga mtu na gari,mke kaja na chupa ya chai na mazagazaga kumuwekea dhamana mumewe,Bila kujua kuwa alijipeleka lupango.ili litimie neno
Huo ndio uanaume,wote mkiwa kondoo serikali haitatoa ajira kwa jeshila polisi,kikubwa usifanye matukio mazito ya kukufunga gerezani.
Si mliona juzi polisi walivyoandamanishwa kwa kauli ya mwanaume mmoja tu,huo ndio uanaume.
Sitetei kuvunja sheria ila mwanaume hutakuwi kuwa kama kondoo.
Kuna watu watasema sifa za kijinga ila miaka 60 ni mingi sana kukwepa mkono wa sheria kwa mpambanaji
Kapita jela huyo, mpambanaji.Huyu aende kwa Diddy
mo dewiji alilala Selo ganUkiondoa chawa, high profile leaders, watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, makada wa CCM na watoto wa mama.
Waliobaki kama ukifikisha umri wa kustaafu miaka 60,uwe umejiajiri au umeajiriwa na katika harakati zako za upambanaji hujawahi kulala kupango au kuitwa polisi kwa mahojiano,wewe bado sana,huna cha kusimulia wajukuu.
Naingea na wapambanaji
Wapambanaji wengi wameshalala lupango au kuhojiwa polisi,hii ni duniani kote.
Hapa siongelei kufungwa gerezani hiyo ni advanced sana.
Kuna mwamba alienda kwa mchepuko akapewa show mpaka saa nane usiku,kurudi nyumbani ikawa shida,akamfuata afande mmoja ni rafiki yake,wakamsweka ndani,mkewe akapigiwa simu kuwa njoo polisi mumeo amegonga mtu na gari,mke kaja na chupa ya chai na mazagazaga kumuwekea dhamana mumewe,Bila kujua kuwa alijipeleka lupango.ili litimie neno
Huo ndio uanaume,wote mkiwa kondoo serikali haitatoa ajira kwa jeshila polisi,kikubwa usifanye matukio mazito ya kukufunga gerezani.
Si mliona juzi polisi walivyoandamanishwa kwa kauli ya mwanaume mmoja tu,huo ndio uanaume.
Sitetei kuvunja sheria ila mwanaume hutakuwi kuwa kama kondoo.
Kuna watu watasema sifa za kijinga ila miaka 60 ni mingi sana kukwepa mkono wa sheria kwa mpambanaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] semaa kweliii?Im not into that shittt!!! Never ever!!!
I mean so![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] semaa kweliii?
Nafikiri huu ni mtazamo wako binafsi, kosa ni pale unapolazimisha mtazamo wako uwe sahihi kwa watu wote! Wewe ni:katika harakati zako za upambanaji hujawahi kulala kupango au kuitwa polisi kwa mahojiano,wewe bado sana
Weweni chawaNafikiri huu ni mtazamo wako binafsi, kosa ni pale unapolazimisha mtazamo wako uwe sahihi kwa watu wote! Wewe ni:
dikteta
mtu mwenye tabia ya kutaka lifanywe lile analosema bila ya kupingwa
Halafu unaonekana wewe ni:
zuzu
mtu asiyetumia akili yake; mtu anayeshindwa kufahamu jambo hata akielezwa