Ukifikisha umri wa kustaafu(miaka 60) na hujawahi kulala selo au kuitwa polisi kwa mahojiano wewe sio mpambanaji

Ujue ulikua na akili mingi hukua kilaza kukamatwa hovyo kama kuku mwenye kideli.

Unakamatwa vipi kindezi.
 
Khe! Makubwa haya. Yaani uache kuitwa TRA huko kuwa labda umekwepa kodi ndio uitwe polisi kufanya nini sasa?
Mimi mkulima TRA waoi na wapi,
TRA nayo ni polisi tu sema hakuna srlo wala pingu ahaaaa
 
Nilivyogonga 30 tu, huo mwaka Kuna mtu alinidhulumu nikampeleka polisi akaleta jeuri, kesi ikaenda mahakamani siku ya hukumu ghafla meza ikapinduka ikawa kesi ya Jinai either aende jela miezi 6 au anilipe Hela yangu yote+ faini, basi nikalipwa siku hiyohiyo.
Ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kuexperience milango ya mahakamani na polisi.

All in all tii sheria hutokaa uingie hayo maeneo
 
Kwa wanawake kukwepa ni rahisi tu,ngoma kwa wanaume sasa unakuta mtu ni fundi simu katoa lock nusu saa polisi hawa hapo kumbe simu ya wizi
 
Sijawahi Soma andiko la kipumbavu Kama hili.
 
kuna sisi wakuitwa mahakama za mwanzo tuko kundini??? 😃
 
Uhalifu ni

Sihitaji upambanaji wa kunyea debe kwa hiari. Na wenye magorofa 20 hawajalala selo nao ni mabwege ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…