DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mpambe na Chawa ni visawe( synonyms)
Kama Malaya na mdangaji.
Pesa na hela.
Mimi sio Mpambe wa yeyote. Hata huyo Lisu nikiona amefanya Jambo ambalo halijakaa Sawa nitamchana.
Ndio maana kuna sehemu niliandika, CHADEMA ni aidha wamuwajibishe Lisu au Wenje kwa shutuma za Rushwa na Kula rushwa
Napata Shaka na misimamo yako hasa unapozungumzia siasa .
Kama sijasahau uliwahi kusema tusifoke wala kulaumu na kulalamika kuhusu viongozi wanopiga hela za serikali kupitia mgongo wa siasa maana wamejitoa Sana
Na ukashauri ikiwa MTU anahisi uchungu anaweza kufikiria kuingia huko na yeye akapiga hela