Hamna ukweli hata kidogo ,akili darasani na performance katika maisha na kupata mafanikio hakuna uhusiano mkubwa na akili darasani.
Mwangalie msukuma, darasa la saba, huenda hakufaulu kwenda secondary kwa sababu uwezo mdogo darasani.
Leo hii ni bilionea, kaajiri watu katika biashara zake, wasomi,anawalioa mshahara.
Akisimama bungeni anaongea hoja zenye mashiko zaidi ya professor,Dr ,na akisimama kuongea professor au Dr ni kama anaongea Mtoto wa darasa la pili.
Kifupi andiko lako ume committ FALLACY OF GENERALIZATION, umetumia false premises ku draw conclusion ambayo ni very wrong.
Pole sana kiongozi kwa kufanyia kazi SPECULATION 🤔🤔