ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Si ndio hapo? Tufanye yeye aliongiza darasa so?Kwa hiyo utakata kutuambia nini kuhusu Baba Levo, Mwijaku na Dotto Magari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndio hapo? Tufanye yeye aliongiza darasa so?Kwa hiyo utakata kutuambia nini kuhusu Baba Levo, Mwijaku na Dotto Magari.
Kabisa ili wajirekebishe.Leo kazi wanayo chawa wote😂😂
Chawa mdudu na chawa unaowasemea wewe Huwa wanakuaje?
Lugha za kujifariji
Kumbe!Unataka nigombane na watu wewe
Hiyo.ilikuwa shule maalum,maana kilaza kama wewe ukiwa mwenye akili kubwa hao wanaofuata si mataahira kabisa.Kwa taarifa yako nilikuwa na akili mpaka shule nzima ilikuwa inajitegemea
Mpaka shule nzima inajitegemea. Hapo tu unaonyesha ni zero brain aka empty set.Kwa taarifa yako nilikuwa na akili mpaka shule nzima ilikuwa inajitegemea
Sidhani kama kuna chawa CDM.Mpo wazima!
Awe Chawa wa CHADEMA!
Awe Chawa wa CCM au chama chochote. Awe Chawa wa mtu yeyote Yule.
Karibu wote ukiwafuatilia ni Low battery. Huwezi ukawa Chawa kama kichwa chako kinachaji ya kutosha. Hiyo haiwezekani.
Fuatilia machawa wote alafu waambie wakupe matokeo Yao ya shuleni. Utagundua yanafanana kwa kiasi kikubwa.
Na wale wenye ufaulu Mkubwa walikuwa wazee wa chabo, wazee wa Gakha, wazee wa kuingia na kibomu.
Kuna ambao walifeli shule kwa sababu ya ukosefu wa miundombinu Bora ya kujifunzia na kufundishiwa.
Yaani sio kila mtu ambaye hajasoma ni kilaza au battery Low kama nilivyosema kuwa wengine miundombinu ya shule ilikuwa haba.
Hata Chawa wa kwenye mambo y kidini. Wote wanafanana na ndugu zo Chawa wengine.
Kumekucha!
Msukuma sio reference sahihi kwangu. Nina ndgu yangu ni dereva nae aliishia darasa la saba kama Msukuma na uwezo wake wa kuchanbua mambo ni mkubwa kutokana na exposure anayoipata kazini kwake..La sasa shule nyingi, wanafunzi wengi, wanafaulu wengi, vyuo vikuu wanaenda wengi.
Hoja ya msingi Iko pale pale uwezo mdogo darasani na uwezo mkubwa ukipanga sio DETERMINER ya kufanikiwa katika maisha, narudia ,Bado namtumia msukuma kama reference ya watu ambao hawakufaulu!!!
🙏🙏
Kwa hoja hiyo wewe na mimi jambo letu, msimamo ni mmoja ,tuna differ kwenye reference tu!!!Msukuma sio reference sahihi kwangu. Nina ndgu yangu ni dereva nae aliishia darasa la saba kama Msukuma na uwezo wake wa kuchanbua mambo ni mkubwa kutokana na exposure anayoipata kazini kwake..
Anasafiri sana, anajifunza mengi na anachambua vizuri na kwa hoja mambo mbalimbali.
Elimu kwa kipindi chao ilikua ni vigumu kutoboa sekondari hata kama wewe ni kipanga.
Nadhani hoja iwe huwezi kudetermine uwezo wa akili kwa mtu kwa elimu ya darasani pekee, kuna vingi vya kuzingatia japo elimu ni ya kuizingatia pia.
Msukuma angekua kamaliza std 7 walau hata mwaka 2000 ingekua sawa kabisa, matajiri wengi wa enzi hizo hawakwenda shule.
Vijana wanaochipukia kwenye utajiri hivi sasa kama kina Frank knows na Vunjabei elimu imo(mazingira yamewafavaour kufika mbali kielimu)
Stive MangaleMpo wazima!
Awe Chawa wa CHADEMA!
Awe Chawa wa CCM au chama chochote. Awe Chawa wa mtu yeyote Yule.
Karibu wote ukiwafuatilia ni Low battery. Huwezi ukawa Chawa kama kichwa chako kinachaji ya kutosha. Hiyo haiwezekani.
Fuatilia machawa wote alafu waambie wakupe matokeo Yao ya shuleni. Utagundua yanafanana kwa kiasi kikubwa.
Na wale wenye ufaulu Mkubwa walikuwa wazee wa chabo, wazee wa Gakha, wazee wa kuingia na kibomu.
Kuna ambao walifeli shule kwa sababu ya ukosefu wa miundombinu Bora ya kujifunzia na kufundishiwa.
Yaani sio kila mtu ambaye hajasoma ni kilaza au battery Low kama nilivyosema kuwa wengine miundombinu ya shule ilikuwa haba.
Hata Chawa wa kwenye mambo y kidini. Wote wanafanana na ndugu zo Chawa wengine.
Kumekucha!
Mtu mwenyewe anaitwa Ntobi =????Mwenye taarifa za mwenyekiti wa chama shinyanga View attachment 3180841
Mpo wazima!
Awe Chawa wa CHADEMA!
Awe Chawa wa CCM au chama chochote. Awe Chawa wa mtu yeyote Yule.
Karibu wote ukiwafuatilia ni Low battery. Huwezi ukawa Chawa kama kichwa chako kinachaji ya kutosha. Hiyo haiwezekani.
Fuatilia machawa wote alafu waambie wakupe matokeo Yao ya shuleni. Utagundua yanafanana kwa kiasi kikubwa.
Na wale wenye ufaulu Mkubwa walikuwa wazee wa chabo, wazee wa Gakha, wazee wa kuingia na kibomu.
Kuna ambao walifeli shule kwa sababu ya ukosefu wa miundombinu Bora ya kujifunzia na kufundishiwa.
Yaani sio kila mtu ambaye hajasoma ni kilaza au battery Low kama nilivyosema kuwa wengine miundombinu ya shule ilikuwa haba.
Hata Chawa wa kwenye mambo y kidini. Wote wanafanana na ndugu zo Chawa wengine.
Kumekucha!
Kilaza namba moja ni wewe !!Una uwezo mdogo sana tangu sekonadri .kwamba Manyumbu kutoka vyama vyote vya siasa, ndiyo walikua na akili mingi na bongo kali sio, kuliko mihemko? right?🤣
Lakini wengi sana wameriseat sana form four, kulikoni?🐒
Weeeee yule ni graduate kutoka UDSM Bachelor of science in Education (Physics)Boni Yai sijui kama hata alifika kidato cha 4.
Ndiyo maana!! Walimu wa physics huwa wamelanduka sana.Weeeee yule ni graduate kutoka UDSM Bachelor of science in Education (Physics)
Hakuna chawa hata mmoja ambaye ana akili timamu. Hata wanavyochangia na jinsi wanavyojenga hoja, unaona kwa uwazi kabisa kuwa huyu ni low brain.kwamba Manyumbu kutoka vyama vyote vya siasa, ndiyo walikua na akili mingi na bongo kali sio, kuliko mihemko? right?🤣
Lakini wengi sana wameriseat sana form four, kulikoni?🐒
ombaomba la kimataifa ndie pekee hawezi kuishi bila kuomba kuchangiwa,Hilo ni dhahiri sana.
Ile kuwa chawa tu ni kukubali kuwa wewe huna akili, huna ubinadamu kamili kama wa huyo unayemfanyoa uchawa.
Chawa ni watu ambao nafsi zao zi.ekubali kuwa wao siyo timiligu, hawawezi kuishi wenyewe kwa kujitegemea, wamekubali ni nusu binadamu, hivo wao ni aheri wawasifie na kuimba nyimba za kuwasifu wenye akili ili wawakumbuke kwa kuwapa chochote: chakula au
Hakuna chawa hata mmoja ambaye ana akili timamu. Hata wanavyochangia na jinsi wanavyojenga hoja, unaona kwa uwazi kabisa kuwa huyu ni low brain.