Ukifuatilia, Chawa karibu wote hata darasani walikuwa vilaza, yaani uwezo mdogo, Low battery!



Napata Shaka na misimamo yako hasa unapozungumzia siasa .

Kama sijasahau uliwahi kusema tusifoke wala kulaumu na kulalamika kuhusu viongozi wanopiga hela za serikali kupitia mgongo wa siasa maana wamejitoa Sana

Na ukashauri ikiwa MTU anahisi uchungu anaweza kufikiria kuingia huko na yeye akapiga hela
 
Kuna ambao walifeli shule kwa sababu ya ukosefu wa miundombinu Bora ya kujifunzia na kufundishiwa.
Yaani sio kila mtu ambaye hajasoma ni kilaza au battery Low kama nilivyosema kuwa wengine miundombinu ya shule ilikuwa haba. POINT KUBWA SANA
 
Ile nguvu ya kila ukiamka unaanza kumsifia mwanaume mwenzako, yaani unabishana na watu kisa mtu fulani ambaye wewe unaona kabisa ili ule lazima akusikie...

..inahitaji ukosefu mkubwa sana wa akili.
Bora kidooogo kwa mwanaume, sasa mwanaume mzima kumsifiasifia mwanamke ambaye siyo mama yako,dada yako wala mkeo na unaenda mbaaali zaidi unavaa nguo na kofia zenye picha yake au majina yake!πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™† Huu ni udharirishaji wa viwango vya juu sanaaaa!
 
kwamba Manyumbu kutoka vyama vyote vya siasa, ndiyo walikua na akili mingi na bongo kali sio, kuliko mihemko? right?🀣

Lakini wengi sana wameriseat sana form four, kulikoni?πŸ’
 
Walioriseat miundobinu ilikua mibaya , mbona mtoa mada ametoa angalizo hili
nafuta kauli ya kuriseat japo ina kisingizio au sababu duni isiyo na mashiko...

hata hivyo,
vp manyumbu, mbali na mihemko, ghadhabu, makasiriko na pengine kuporomosha dhihaka na matusi,

hao manyumbu ndio walikua akili kubwa bongo kali?🀣
 
nafuta kauli ya kuriseat japo ina kisingizio au sababu duni isiyo na mashiko...

hata hivyo,
vp manyumbu, mbali na mihemko, ghadhabu, makasiriko na pengine kuporomosha dhihaka na matusi,

hao manyumbu ndio walikua akili kubwa bongo kali?🀣
Kuwa chawa unatakiwa kwanza kuikana nafsi
 
Lucas Mwashambwa, buriana kaka iliye left group
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…