Ukifumaniwa unategua (sex) mtoto wa mtu haya ndo malipo yako, unafungishwa ndoa ya mkeka, faini kubwa au wakura

Ukifumaniwa unategua (sex) mtoto wa mtu haya ndo malipo yako, unafungishwa ndoa ya mkeka, faini kubwa au wakura

Nilikuwa na wife wakasema Yani sisi Huwa hatujari una mke au huna kufirimbwa ni mhimu kama utaghaili hayo mawili 😂
Hapo la kuepuka ni kulipa fain na ndoa..
Hilo la kufilimbwa ulembe... Ili wafanye hiko kitu wahakikishe wamenikata shingo kwanza..

Kiufupi mkuu yote niliepuka an kutokana na utetezi wa majirani hapa
Kina dada aisha
e
 
Binti akishafika miaka 18 na siyo mwanafunzi wala mke wa mtu nikulipe faini ya nini? Faini sikulipi, kumuoa simuoi na hakuna kitu utafanya labda ukaniloge
ndio unalogwa
 
Mi nusu nifanyie huo mchezo..
Wale mbwa walijipanga kweli kweli ..
Ukizingatia napokaa nipo man alone sina ndgu wala nini...

Ila wamama wa mtaani hapa na dada zangu wa hiyali walinipambania aiseee nikatoka salama..

Mtaani huku ishi na watu vzr jamni mi hata sikutegemea an kama tachomoka...

Dada aisha ulijua kunitetea aiseeeee 🙌 🙌 🙌 🙌 🙌 🙌 🙌 🙌
Akina dada wa hiyari uwa ni aina Fulani ya marafiki wa kweli tusioweza kuwataja ila ukweli ni kuwa uwa Wana msaada sana
 
Hiyo mikoa ambayo hadi vijana wamelegea kama mlenda ndo wanafanyiwa huo UJINGA,...huku kwetu, kama sio mwanafunzi, mtoto wala mke wa mtu...hata muje Kijiji kizima eti kuja huo utumbo wenu tajwa hapo juu, kijana ana haki ya kuwapiga mapanga washenzi nyinyi.... NDOA HAILAZIMISHWI
 
Wanajamvi Kila jamii Ina utaratibu wake wa ku deal ama ku-solve maswala yake.

Katika pitapita zangu za hapa na pale nikafika Kijiji kimoja Kipo mkoa wa Tanga mpakani na Gairo morogoro.

Wenyeji wa hapo waliniambia sisi binti akimaliza darasa la Saba nakuchezwa (yaani anafundishwa mapenzi)kama wafanyavyo wazaramo.

Sasa ikitokea ukamshawishi na akakubali ukamtegua (Kufanya nae mapenzi)

Wenyeji wakikubamba hapo hapo utaambiwa uchague jambo kati ya Mambo 3.

*Wakufungishe ndo ya mkeka
*Ulipe faini kubwa
*Wakufirimbe(wakurawiti)


Hii inaenda kwa mabinti Hadi Kwa single Maza asee yaani single Maza anaulizwa vipi huyu anakuchezea tu ama ana malengo na ww akisema huyu anapiga na kusepa wanakuchoresha na una nasa. Ni mambo matatu tu na uchague Moja wapo!

Mdau utachagua lipi kati ya hayo matatu?
View attachment 3157483
Hizo mila ukanda wa pwani zimefanana na si wazaramo tu, ila zama hizi zimepungua nguvu, wahuni wanafumua hadi tope na hamna kitu wanafanya
 
Hiyo mikoa ambayo hadi vijana wamelegea kama mlenda ndo wanafanyiwa huo UJINGA,...huku kwetu, kama sio mwanafunzi, mtoto wala mke wa mtu...hata muje Kijiji kizima eti kuja huo utumbo wenu tajwa hapo juu, kijana ana haki ya kuwapiga mapanga washenzi nyinyi.... NDOA HAILAZIMISHWI
Kila jamii na namna yake. Hata kwetu haipo hiyo labda uyatimbe Kwa mke wa mtu.
 
Back
Top Bottom