Ukifumaniwa unategua (sex) mtoto wa mtu haya ndo malipo yako, unafungishwa ndoa ya mkeka, faini kubwa au wakura

Ukifumaniwa unategua (sex) mtoto wa mtu haya ndo malipo yako, unafungishwa ndoa ya mkeka, faini kubwa au wakura

Wanajamvi Kila jamii Ina utaratibu wake wa ku deal ama ku-solve maswala yake.

Katika pitapita zangu za hapa na pale nikafika Kijiji kimoja Kipo mkoa wa Tanga mpakani na Gairo morogoro.

Wenyeji wa hapo waliniambia sisi binti akimaliza darasa la Saba nakuchezwa (yaani anafundishwa mapenzi)kama wafanyavyo wazaramo.

Sasa ikitokea ukamshawishi na akakubali ukamtegua (Kufanya nae mapenzi)

Wenyeji wakikubamba hapo hapo utaambiwa uchague jambo kati ya Mambo 3.

*Wakufungishe ndo ya mkeka
*Ulipe faini kubwa
*Wakufirimbe(wakurawiti)


Hii inaenda kwa mabinti Hadi Kwa single Maza asee yaani single Maza anaulizwa vipi huyu anakuchezea tu ama ana malengo na ww akisema huyu anapiga na kusepa wanakuchoresha na una nasa. Ni mambo matatu tu na uchague Moja wapo!

Mdau utachagua lipi kati ya hayo matatu?
View attachment 3157483
aisee mbona paper ngumu halafu ni multiple choice tupu
 
Au namuoa nampangishia chumba namlipia kodi miezi mitatu nalala siku mbili ya tatu naaga naenda kazini alafu sirudi tena
Sawa lkn muda huo mahali umetoka japo hata 2000tu wanapokea hata ukiwa huna Kuna jemba itajitolea ikutolee Ili mradi ndoa ifungwe.

Hata ukienda mazima hutakaa urudie huo mchezo utakuwa umejifunza
 
Akina dada wa hiyari uwa ni aina Fulani ya marafiki wa kweli tusioweza kuwataja ila ukweli ni kuwa uwa Wana msaada sana
Sana mkuu..
Mi hapa nilipofika nilikua napita sana kwenye ofisi yake kusalimia nikajikuta nazoeana nae mpaka leo hii..

Ile siku yeye ndo alisimamia kila kitu mpaka watu wakajua mimi ni ndgu yake wa damu,,, kumbe walaaa
 
Mi nusu nifanyie huo mchezo..
Wale mbwa walijipanga kweli kweli ..
Ukizingatia napokaa nipo man alone sina ndgu wala nini...

Ila wamama wa mtaani hapa na dada zangu wa hiyali walinipambania aiseee nikatoka salama..

Mtaani huku ishi na watu vzr jamni mi hata sikutegemea an kama tachomoka...

Dada aisha ulijua kunitetea aiseeeee 🙌 🙌 🙌 🙌 🙌 🙌 🙌 🙌
half ugegedwe mkuu,pole na wanaume wa ukweli hatunyoi nywele mnyeoni .... ungepachikwa kijinga navuta picha mliowake ungeutoa
 
Back
Top Bottom