Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #21
Ukiambiwa tulizana basi tulizana asee. Nyege myeyusho wengi huwaponza.Duuh nasikia huko wanaroga hadi mawe
eHapo la kuepuka ni kulipa fain na ndoa..
Hilo la kufilimbwa ulembe... Ili wafanye hiko kitu wahakikishe wamenikata shingo kwanza..
Kiufupi mkuu yote niliepuka an kutokana na utetezi wa majirani hapa
Kina dada aisha
chuma unatembea nayo kila mahali kasoro club tuSasa utajua VP Leo unaenda ukifumaniwa?
ndio unalogwaBinti akishafika miaka 18 na siyo mwanafunzi wala mke wa mtu nikulipe faini ya nini? Faini sikulipi, kumuoa simuoi na hakuna kitu utafanya labda ukaniloge
unalogwaUmfungishe ndoa ya mkeka akateseke binti yako
Mkuu mi hiko kitendo itabidi wanitoe uhai kwanza other wise mi ndio tawafilimbaNilikuwa na wife wakasema Yani sisi Huwa hatujari una mke au huna kufirimbwa ni mhimu kama utaghaili hayo mawili π
e
Sawaunalogwa
ukilogwa chuma utakikumbuka saa ngapchuma unatembea nayo kila mahali kasoro club tu
Au namuoa nampangishia chumba namlipia kodi miezi mitatu nalala siku mbili ya tatu naaga naenda kazini alafu sirudi tenandio unalogwa
Ukilogwa akilini mwako inazunguka picha ya huyo mwanamke, huwez mkimbia labda dawa ziishe nguvuAu namuoa nampangishia chumba namlipia kodi miezi mitatu nalala siku mbili ya tatu naaga naenda kazini alafu sirudi tena
Akina dada wa hiyari uwa ni aina Fulani ya marafiki wa kweli tusioweza kuwataja ila ukweli ni kuwa uwa Wana msaada sanaMi nusu nifanyie huo mchezo..
Wale mbwa walijipanga kweli kweli ..
Ukizingatia napokaa nipo man alone sina ndgu wala nini...
Ila wamama wa mtaani hapa na dada zangu wa hiyali walinipambania aiseee nikatoka salama..
Mtaani huku ishi na watu vzr jamni mi hata sikutegemea an kama tachomoka...
Dada aisha ulijua kunitetea aiseeeee π π π π π π π π
Hizo mila ukanda wa pwani zimefanana na si wazaramo tu, ila zama hizi zimepungua nguvu, wahuni wanafumua hadi tope na hamna kitu wanafanyaWanajamvi Kila jamii Ina utaratibu wake wa ku deal ama ku-solve maswala yake.
Katika pitapita zangu za hapa na pale nikafika Kijiji kimoja Kipo mkoa wa Tanga mpakani na Gairo morogoro.
Wenyeji wa hapo waliniambia sisi binti akimaliza darasa la Saba nakuchezwa (yaani anafundishwa mapenzi)kama wafanyavyo wazaramo.
Sasa ikitokea ukamshawishi na akakubali ukamtegua (Kufanya nae mapenzi)
Wenyeji wakikubamba hapo hapo utaambiwa uchague jambo kati ya Mambo 3.
*Wakufungishe ndo ya mkeka
*Ulipe faini kubwa
*Wakufirimbe(wakurawiti)
Hii inaenda kwa mabinti Hadi Kwa single Maza asee yaani single Maza anaulizwa vipi huyu anakuchezea tu ama ana malengo na ww akisema huyu anapiga na kusepa wanakuchoresha na una nasa. Ni mambo matatu tu na uchague Moja wapo!
Mdau utachagua lipi kati ya hayo matatu?
View attachment 3157483
Naona hii ni njia nzuri ya kuwa weka sawa vijana wa hovyo/waharibifuHizo mila ukanda wa pwani zimefanana na si wazaramo tu, ila zama hizi zimepungua nguvu, wahuni wanafumua hadi tope na hamna kitu wanafanya
Kila jamii na namna yake. Hata kwetu haipo hiyo labda uyatimbe Kwa mke wa mtu.Hiyo mikoa ambayo hadi vijana wamelegea kama mlenda ndo wanafanyiwa huo UJINGA,...huku kwetu, kama sio mwanafunzi, mtoto wala mke wa mtu...hata muje Kijiji kizima eti kuja huo utumbo wenu tajwa hapo juu, kijana ana haki ya kuwapiga mapanga washenzi nyinyi.... NDOA HAILAZIMISHWI
Sipingi mkuuAkina dada wa hiyari uwa ni aina Fulani ya marafiki wa kweli tusioweza kuwataja ila ukweli ni kuwa uwa Wana msaada sana
Ni zamani, sikuizi hata jamii imesha give up hizo mila. Kwasasa vijana hawashikikiNaona hii ni njia nzuri ya kuwa weka sawa vijana wa hovyo/waharibifu
ndicho nijuacho na mimi,...Kila jamii na namna yake. Hata kwetu haipo hiyo labda uyatimbe Kwa mke wa mtu.