Ukigeu geu wa Israel kuelekea makubaliano ya kusimamisha vita, kikwazo kwa Amani Gaza!

Ukigeu geu wa Israel kuelekea makubaliano ya kusimamisha vita, kikwazo kwa Amani Gaza!

Hapa wewe ndio inaonekana unapenda ushabiki.

1. Hakuna popote nilipoweka ushabiki. Zote nilizoweka ni facts kutokea kwenye quotes ambazo nimeziweka bayana.

2. Ni ku challenge hapa, onyesha mfano mmoja wa ushabiki au chochote ambacho sikuweka ushahidi!

3. Bila mfano hapa ulichoandika hapa ni kama kupaka rangi hewa tu!

Ushabiki umekuzuia kujadili kitu kwa mizani sawa.

1. Wapi sikujadili nini Kwa mizania sawa?

2. Bila mfano tuhuma Hii na ya pale juu hazina thamani yote.

Hata twende
Unaamini kuwa Hamas walivamia Israel na kuteka ama kuua kila waliyemkuta mbele yao?

1. HAMAS hawakuvamia Israel. Bali walivamia maeneo ya Palestina yanayokaliwa na Israeli.

IMG_20240508_164459.jpg

2. Hapa ni sawa na wewe kumbamba mwizi wako. Labda kama wewe ungemuandalia karamu?!

Unajua kabla ya Oktoba 7 kulikuwa kuna mazungumzo ya kuwafanya palestinians kupata taifa lao?

1. Maeneo ya Palestina yanakaliwa tangia 1948.

2. Israel imekataa jitihada zote za majadiliano na Palestina na HAMAS.

IMG_20240508_164532.jpg

3. Uko wapi ushahidi wako wa mazumgumzo yenye mwelekeo wowote wa maendeleo wakati Israel ikiendelea na ujenzi na kupanua maeneo ya uvamizi?!

Je njia waliyotumia Hamas kuvamia na kuuwa ilikuwa ndio njia pekee na sahihi kwa muda huo?

1. Njia zote za ukombozi zinapofungwa, ni halali kwa victim kutumia njia zozote kujikomboa ambapo hata armed struggle ni justifiable.

2. Maji maji, Mau mau, ANC na Apartheid, pia struggle za SWAPO, MPLA, ZANU PF, nk ni mfano wake.

Kama Maji Maji au Mau Mau ilikuwa halali, iweje lawama kwa wapalestina?

Je aliyevamiwa kikawaida alipaswa afanye nini?

1. Uko sahihi, umeuliza vyema kabisa.

2. Palestina aliyevamiwa tokea 1948, kikawaida ilikuwa afanye nini?

3. Zaidi sana ungejiuliza, kama wewe ukimfumania mwizi wako kwenye eneo lako akiendelea na yake ungemfanya nini?
 
Na kuna mijinga humu inasema Hamas kakubali kusimamisha vita bada ya kuzidiwa 😄

Hawafahamu Hamas alikuwa anabembelezwa kila kukicha asimamishe vita na kwa masharti anayo taka Hamas sio Israel

Yani Israel ata pull out, watamjengea Gaza kama ilivyo kuwa mwanzo na misada itazidi kuingia kwa wingi sa nani aliye shindwa vita hi kama si US na Israel.

Hao walio kufa wanahaki zao huko kwa Mungu ni bora nife niko peponi kuliko niishi kwa adhabu duniani na sijui naenda wapi bada ya kufa.

Kifo hakikimbiliki wote tutakufa tu.

1. Huyo mjinga hata kuwa MK254?

2. Nimeona wengi akili zinawarudia.

3. Kwa hakika JokaKuu, imhotep, Mzee Kigogo, Moisemusajiografii na wengine wanaonekana kuzaliwa upya.

4. Hapo #3 labda ubatizo wa maji mengi unaweza kuwa umewahusu 🤣.
 
Hivi,siyo ninyi mliotueleza kwamba Israeli wanawaua wanawake na watoto tu?Kwamba hamas hawafikiwi na mapigo ya Israeli?Tena ukatueleza Hamas wamewaweka Israeli kwenye kona kwa kipigo.Jitahidi uwe unasimamia ulichokieleza au utueleze kama ulitupatia taarifa na nukuu nyingi za uongouongo tu.
 
Hivi,siyo ninyi mliotueleza kwamba Israeli wanawaua wanawake na watoto tu?
Kwamba hamas hawafikiwi na mapigo ya Israeli?Tena ukatueleza Hamas wamewaweka Israeli kwenye kona kwa kipigo.Jitajidi uwe inasimamia ulichokieleza au utueleze kama ulitupatia taarifa na nukuu nyingi za uongouongo tu.

1. Ukisema ninyi una maana gani ndugu? Wapi nilisema hayo unayotaka kuniwekea mdomoni? Kulikoni kuongea kama umepagawa au kulewa bangi mchana mchana, ndugu?

images.jpeg

2. Usisahau kuwa Xi, bila shaka anayo maua yangu maua kuliko yako!

3. Watu kama nyie Shivji kawaongelea sana:

Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)

4. Kama mambuzi tu lini mtajuwa hoja na ubishi ni vitu 2 tofauti?

FxMkNxaWYAI0BVZ.jpeg

5. JokaKuu hebu ona huyo ndugu namwelekeza ubishi unako belong:

"Mkuu ubishi kwao ni vijiweni siyo huku!"
 
Lengo la israeli ni kutokomeza ugaidi. Ndio maana anauma na kupuliza

1. Mkuu hata HAMAS lengo lao ni kuutokomeza ugaidi.

2. Kupora na kuendelea kupora nchi ya watu na kuikalia na ugaidi tofauti ni majina.

3. Kuendelea kurusha mabomu na makombora yampate yeyote yampataye ndiyo tafsiri ya kwenye kamusi kuhusu ugaidi.

4. #3, ndiyo anayoyafanya sasa Israel kumfanya kwa hakika afuzu Kuwa gaidi baba lao.
 
1. Kumbe hawa wanaolilia ceasefire ni wapalestina?

View attachment 2984509

2. Kwamba hapo wanaitisha walioshikiliwa huko ajali iwaachie?

3. Tuendelee kusubiri bila shaka nyama ziko chini.
Soma tena nilichoandika nimeandika Nyau nikimaanisha Netanyau hataki ceasefire tofautisha Netanyau na kikundi cha waandamanaji ulichokileta
 
Lengo la israeli ni kutokomeza ugaidi. Ndio maana anauma na kupuliza
Israel anataka kuhakikisha hamas na wapalestina wanapata kipondo ambacho watasimulia vizazi vyao vyote milele na milele na watakaoenda jehanamu wakamsimulie muhamad SAW na watakaoenda mbinguni wakamsimulie mzee Ibrahimu.
Yaan kama yalivyo mapiramid ni alama kuwa wayahudi walikuwa utumwani misri miaka 430 na wakaacha pyramid kama alama ili kumaliza ubishi kwa vizazi vijavyo na ndivyo itakuwa hii vita ya sasa.
 
Soma tena nilichoandika nimeandika Nyau nikimaanisha Netanyau hataki ceasefire tofautisha Netanyau na kikundi cha waandamanaji ulichokileta

1. Kwa vile umemtanganisha nyau na waisiraeli pia, basi hapo tuko pamoja mkuu.

2. Ni wazi kuwa Natenyahu hataki vita kusimama.

IMG_20240508_232856.jpg

3. Vita kusimama na uwaziri kwake, itakuwa bye bye.
 
Israel anataka kuhakikisha hamas na wapalestina wanapata kipondo ambacho watasimulia vizazi vyao vyote milele na milele na watakaoenda jehanamu wakamsimulie muhamad SAW na watakaoenda mbinguni wakamsimulie mzee Ibrahimu.
Yaan kama yalivyo mapiramid ni alama kuwa wayahudi walikuwa utumwani misri miaka 430 na wakaacha pyramid kama alama ili kumaliza ubishi kwa vizazi vijavyo na ndivyo itakuwa hii vita ya sasa.

1. Nilidhani tumekubaliana kumtofautisha Natenyahu na waisiraeli?

2. Kulikoni tena hapa ndugu?

IMG_20240501_164705.jpg

3. Kumbuka waisiraeli wasiotaka kufungamanishwa naye ni wengi tu.

4. Kumbuka Natenyahu yuko kwenye kuupigania uwaziri wake mkuu zaidi kuliko kuipigania Israeli hapo alipo sasa!
 
Isrsel
1. Mkuu hata HAMAS lengo lao ni kuutokomeza ugaidi.

2. Kupora na kuendelea kupora nchi ya watu na kuikalia na ugaidi tofauti ni majina.

3. Kuendelea kurusha mabomu na makombora yampate yeyote yampataye ndiyo tafsiri ya kwenye kamusi kuhusu ugaidi.

4. #3, ndiyo anayoyafanya sasa Israel kumfanya kwa hakika afuzu Kuwa gaidi baba lao.
Israel ni dola kamili inayotambuliwa na mataifa karibu yote duniani. Ila hamas ni kundi la magaidi kama i
Alkaidia, Bokoharam, Hezbollah nk.
 
1. Nilidhani tumekubaliana kumtofautisha Natenyahu na waisiraeli?

2. Kulikoni tena hapa ndugu?

View attachment 2985013

3. Kumbuka waisiraeli wasiotaka kufungamanishwa naye ni wengi tu.

4. Kumbuka Natenyahu yuko kwenye kuupigania uwaziri wake mkuu zaidi kuliko kuipigania Israeli hapo alipo sasa!
Netanyau anataka kuweka kumbukumbu itakayodumu milele ila hata isemwe historia inasema kulikuwa na kiongoz wa wayahudi akiitwa bibi basi wapalestina kupitia hamas wakavamia israel wakati bibi akiwa waziri mkuu yaan historia inasema wapalestina waliuwawa maelfu kwa maelfu, gaza iliharibiwa, n.k hiyo inaitwa legacy kama legacy watayoiacha viongoz wa hamas kuwa walipigan kiume kuwafuta wayahud na taifa lao la Israel ila kipigo walichokipata wenyewe walililia ceasefire😄😁😆🤣😂
 
1. Sina taabu na substance, nina taabu na ushabiki ndani ya andiko lako. Zingatia hapa Palestina ni mhanga tokea 1948 huko. Oct 7 haikutokea hewani, kuna historia yake labda kujitia hamnazo!

2. Kwamba Bibi anadhani hivyo sina taabu ila kuwa Kila mtu ata perceive hivyo? Labda awe mburula aina ya MK254, wewe na wa aina hiyo.

3. Kuhusu HAMAS na wahanga wote, hao majina yao yataandikwa vitabuni Kwa wino wa dhahabu. Pia daima mioyoni mwa wapenda haki wote popote walipo na hasa wapalestina:

"kama mashujaa kabisa ambao hawakuwa na chembe ya ubinafsi."

IMG_20240509_003705.jpg

4. Hebu watembelee hawa kujiridhisha kuhusiana na waisiraeli na Bibi na hasa kama wewe si mmoja wao; halafu utuletee mrejesho, ikikupendeza:

IMG_20240509_003456.jpg

IMG_20240509_003616.jpg

5. Legacy gani anaacha Bibi Kwa hao?

6. Kwa hakika kama kwako Bibi shujaa kabisa, wewe na kina MK254 mtakuwa ni wale wale:

Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)

7. Ila nisiache kusema, ushabiki ukiwamo wa Simba na Yanga, udini, watu au vyama kwao vijiweni!
 
Matendo ya kikatili ya Hamas na Hezbollah hayana tofauti na ISIs, alqaeda, nk

1. Kwani ya kikatili ya Israel yana tofauti au unafuu gani kuliko ya nani?

2. Vipi ya Mau Mau, Maji maji au shoka linapo mwangukia binadamu mwingine kwenye pajibla uso?

3. Au ni mkuki kwa nguruwe tu ndugu?
 
1. Yamekuwapo mazungumzo kwa azimio thabiti la makubaliano ya kusimamisha vita linaloendelea kujadiliwa kwa takribani miezi 2 sasa. Pendekezo hili likiwekwa mezani na Marekani, Qatar na Egypt kwa pamoja mbele ya HAMAS na Israel, mahasimu; wafikie makubaliano sasa.

HAMAS wayakataa mapumziko uchwara ya vita, Ramadhani

2. Mazungumzo yake yameendelea kwa kipindi chote bila kukoma, kwa maridhiano. Kutokea washiriki: "Israel na Marekani," dunia imekuwa ikihabarishwa: "kikwazo pekee kufikiwa makubaliano, ilikuwa HAMAS:"

View attachment 2984018

3. Kwamba kwa mujibu wa Marekani, Israel ilikwishafika bei. Kwamba ilikuwa lazima HAMAS waridhie au washurutishwe kuridhia. Ya kuwa mapendekezo yenyewe, yalikuwa makarimu mno kwao na Kwamba hawakuwa sababu yoyote ya kuendelea kukomaa au hata kuendelea kujadili!

View attachment 2984038

Blinken aitolea wito Hamas ikubali 'pendekezo la kusitisha vita Ghaza

3. Hata hivyo, siku zote kutokea: "Egypt, Qatar na HAMAS" washiriki wengine: wakiihabarisha dunia, "kikwazo pekee ilikuwa Israel." Kwamba wakati HAMAS ilisisitiza kupata uthibitisho kuelekea sitisho la vita la kudumu kama ulivyokuwa msingi wa azimio, Israel ilikuwa ikitaka vita kurejelewa baada ya mapumziko mafupi; bila shaka yenye malengo ya kupewa mateka wake tu!

View attachment 2984052

10. Kwamba HAMAS hatimaye kapewa uthibitisho aliokuwa akiutaka: "Yaani kupata kuhakikishiwa kwa vita Kusimamishwa sasa?" Na kuwa msingi na shauri la makubaliano ni yale yale, na kwamba Israel ndiyo huyu sasa kageuza kibao? Akisema sasa wazi wazi kuwa yeye hakubali. Kwamba azimio alilokubali HAMAS ni laini mno?!

View attachment 2984060

11. Ama?! Huyu mitu, kumbe anajua hata anataka nini au hataki nini? Ya kwamba kumbe ndiyo maana hata analalama kutengwa na kutupwa pembeni kule 👉?!

View attachment 2984086

12. Si alikuwa akidai mpira uko kwa HAMAS?

View attachment 2984097

13. Hapa si ndipo kaurushiwa yeye sasa? akiucheza vilivyo "Kasongo Asumani" sasa, kila alipopata kuurushiwa?!
Wewe huelewi unachokitata, na wala huwatakii mema wapalestina wenzako. Haya, juzi wakati peace deal likikaribia kusainiwa ukasema Israel kabananishwa kwenye kona, leo deal limekuwa hatihati unakuja tena na ngonjera ati Israel kawa kigeugeu. Dogo elewa jambo moja, anayekuzidi nguvu kakuzidi tu.
 
1. Kwani ya kikatili ya Israel yana tofauti au unafuu gani kuliko ya nani?

2. Vipi ya Mau Mau, Maji maji au shoka linapo mwangukia binadamu mwingine kwenye pajibla uso?

3. Au ni mkuki kwa nguruwe tu ndugu?
Wewe ndio unafanya Palestina waendelee kupondwa. Kila ukiona amani inakaribia kurejea unawabeza waisrael ati ooh!wametepeta hao. Wakianzisha tena mashambulizi, unakuja tena kulialia hapa jukwaani, ati Oooh! anaua wanawake na watoto.
 
Wewe huelewi unachokitata, na wala huwatakii mema wapalestina wenzako.
1. Ulichoandika hapa ni kile kinachoitwa ubushi na ujuaji. Akiuongelea kwa kina Shivji:

Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)

2. Kwamba miye sijui ila wewe. Kwa kigezo kipi ndugu?

3. Wapi nimesema wapalestina ni wenzangu zaidi ya kuwa ni binadamu wenzangu kama ulivyo wewe nao au nami?

Haya, juzi wakati peace deal likikaribia kusainiwa ukasema Israel kabananishwa kwenye kona, leo deal limekuwa hatihati unakuja tena na ngonjera ati Israel kawa kigeugeu.

4. Wapi nilisema mtu yeyote kabananishwa? Hii Kubwabwaja mambo Bila uthibitisho ni ugonjwa sugu kama mingine.

5. Hapo #4, weka ushahidi vinginevyo fikiria kumwona daktari.

6. Sijawahi kusema Isiraeli kabananishwa ila nimesema wazi ni kigeu geu na ushahidi nimeweka!

7. Hapo #6, au ushahidi umeshindwa kuuona ndugu?

Dogo elewa jambo moja, anayekuzidi nguvu kakuzidi tu.

1. Mimi, siyo dogo zaidi sana nikimnukuu Shivji, tofautisha ushabiki na hoja. Bila kuacha kukwambia acha dharau!

2. Zingatia ushabiki kama wa Simba na Miata, mtu, vyama, taifa, ufia dini nk hivyo kwao vijiweni usawa wa boda boda huko!
 
Wewe ndio unafanya Palestina waendelee kupondwa.
1. Kwani wewe ni muumini wa telepathy?! Vita wapigane wao Gaza huko miye nisababishe vipi huko?

Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)

2. Unaongea kama waliomshukuru Mama kukifukuzia "Hidaya" kwao MK254?!

Kila ukiona amani inakaribia kurejea unawabeza waisrael ati ooh!wametepeta hao.

1. Wapi nimembeza nani? Au wapi nimesema nani katepeta?

2. Kusema kilichopo kulikoni kuwa nongwa kwako hata kama ni kichungu kuliko shubiri?

3. Au kwanini kama nikitepeta au mtu akitepeta, na katepeta kweli ukweli usisemwe?

4. Hapo #3, huna ushahidi wowote dhidi ya hoja yàngu!

Wakianzisha tena mashambulizi, unakuja tena kulialia hapa jukwaani, ati Oooh! anaua wanawake na watoto.

5. Haipo hata siku moja nimeacha kumnanga huyu ndugu au awaye kwa kuuwa wasio na hatia.

6. Fikiria wahanga wale wangekuwa wanao au nduguzo.

7. Hapo #5 ndilo lililo jukumu takatifu la kila binadamu, labda tu kwa mahayawani!
 
Back
Top Bottom