1. Sina taabu na substance, nina taabu na ushabiki ndani ya andiko lako. Zingatia hapa Palestina ni mhanga tokea 1948 huko. Oct 7 haikutokea hewani, kuna historia yake labda kujitia hamnazo!
2. Kwamba Bibi anadhani hivyo sina taabu ila kuwa Kila mtu ata perceive hivyo? Labda awe mburula aina ya
MK254, wewe na wa aina hiyo.
3. Kuhusu HAMAS na wahanga wote, hao majina yao yataandikwa vitabuni Kwa wino wa dhahabu. Pia daima mioyoni mwa wapenda haki wote popote walipo na hasa wapalestina:
"
kama mashujaa kabisa ambao hawakuwa na chembe ya ubinafsi."
View attachment 2985028
4. Hebu watembelee hawa kujiridhisha kuhusiana na waisiraeli na Bibi na hasa kama wewe si mmoja wao; halafu utuletee mrejesho, ikikupendeza:
View attachment 2985029
View attachment 2985030
5. Legacy gani anaacha Bibi Kwa hao?
6. Kwa hakika kama kwako Bibi shujaa kabisa, wewe na kina
MK254 mtakuwa ni wale wale:
Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)
7. Ila nisiache kusema, ushabiki ukiwamo wa Simba na Yanga, udini, watu au vyama kwao vijiweni!