Ukigeu geu wa Israel kuelekea makubaliano ya kusimamisha vita, kikwazo kwa Amani Gaza!

Salalaleee pole sana tatizo historia yako unayoijua wewe kwa mzozo wa Israel/Palestine kwa ufahamu wako inaanza 1948 kwa hiyo kamwe hatuwezi kuwa na uelewa sawa, huu ni mgogoro wa mamia ya miaka nyuma ya hiyo 1948 na kwa taarifa yako mwisho wa mgogoro huo unajulikana maana ipo clear kabisaaaa narudia tena pole sana.
 

1. Kwamba pole hiyo yakuhusu wewe mwenyewe, uioneje yarabi?

2. Tatizo la ujuaji liko hapa:



3. Mjuaji ni kama mfu tu:



4. Ufia dini? Watu kama wewe Xi anawaelewa mno!

5. Pole sana ndugu.

6. Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)

NB: Tumekuwa taifa la hivyo kuliko maelezo kwa sababu ya watu kama nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…