Ukigombana na Mkeo, akaenda kwao; USIENDE wala Usimtafute

Lovely and practicle
 
Mali unazo wewe wenzio hawana. Na wanawake wengi siku hizi wana mali zao kasoro huyo wa kwako
Wanawake wengi ndio wanapodanganywa hapo. 90% hawana kitu zaidi mshahara wa mwisho wa mwezi wa walimu usiotosheleza mahitaji yake hata nusu mwezi. Wengi wamebaki na maneno kama hayo kujipa moyo. Ukimwambia kuachana wanagomea
 
Sio kwenda ukweni kusuluishwa vile una behavior ka mwanaume anayejielewa ungekuwa mkorofi ndio ingekuwa Chali, Mimi kitu kikinikera na kunichefua si subiri Cha mshenga, ukweni sijui kanisani naamsha zangu mazima sigeuki nyuma wallah
 
Anachokiongea ni kweli, ni salama kwa familia yenye misingi na maadili ya kiafrika..
Mwanume hutakiwi kuyumba katika maamuzi.
Wenzako wa hivo wameishia kwenye depression mkuu, Yani ukosee then uwe mgumu kujishusha aisee
 
imedhibitika baba haya ni kweli tupu, sema usomi na mi movie ndo inatupaga uzuzuz
 
Unawadaganya wenzako na sidhani ka umeoa hapo ulipo. Ubabe wa kijinga haujawahigi kuwa na tija sometimes kujishusha sio udhaifu


Nijishushe kuathiri heshima yangu kisa mke au mtoto, you can't be serious kabisa.

Labda hao wanaume wa siku hizi.

Umeondoka usirudi full stop.
 


Huo ndio Uanaume.

Mimi hawawezi thubutu kufanya hivyo,ndio ukweni tuu hata wazazi wangu.

Lazima watu wakutambue jinsi ulivyo. Lakini yakupasa utoe mifano michache ili iwe funzo Kwa wengine
 
Kwan uyo Robert Hariel ni mzungu au mswahilishi.. maana utmaduni wao na wetu ni tofauti kabisa mwaisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…