Ukiingia kwenye Mahusiano na Mmasai, Sahau Kuachika/Kumuacha

Hata wewe hukunitonya wakati gari la mapenzi limekolea[emoji38][emoji38][emoji38]
Kimsingi hili kabila waoane wao kwa wao.
Na wanawake hawajui kukataa dyudyu walah
 
Hata wewe hukunitonya wakati gari la mapenzi limekolea[emoji38][emoji38][emoji38]
Kimsingi hili kabila waoane wao kwa wao.
Na wanawake hawajui kukataa dyudyu walah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua nimepata kumbe nimepatikana haki nilijua yeye ni watofauti haki wanasingiziwa maweee yaliyotaka kunikuta Mungu anajua yani
 
Hahahahahah niliposoma neno sio responsible utalea mwenyewe nikajua lazma binti wa kibongo ungejiengua tu[emoji28]
[emoji23][emoji23] naachaje kujiengue lazima ukutane na partner msaidiane maisha Sasa yeye ha contribute chochote huko sikujitaftia majanga aisee, na bado ana watoto hujazaa wako hapo lazima uwe kichaa na umaskini ubishe hodi
 
Anakupa watoto wake na wako ulee 😅!!
Eey rafiki iko tunsa muroro sote natusa wewe hii!
 
Umwache uende wapi wakati utamu huujui kisimi kimefyekwa,wamwona yeye tu.Wanambinu sana hawa jamaa
Aiseee. Kumbe visimi vinafyekwa? Huu ni ukatili. Kwanini wanafyeka visimi kama nyasi? Sio poa kabisa.
 
Mmmh duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…