Kabisa, watoto wa sasa kidogo wana kasoro zao nyingi tu, kumpeleka kwa ndugu yako ni kutafuta kutoelewana na huyo ndugu.Haya yote mnayasema tu! Matoto ya siku hizi ni kama majinga fulani hivi! Hayawezi kujituma tena yanataka yaishi kama yalivyokuwa yanaishi kijijini! Hizo ni ng'ombe zikae huko huko kijijini!
Yoo, my nigga relax, umekunywa chai kwanza? Mbona povu?Ni maoni yako lakini haupo serious wewe. Mji wa mwanamke? Wewe ndio aina ya watu baada ya kuoa kwenu inarudi maiti na ndugu zako(kaka,baba,mama) wanakanyaga kwako wakiwa wagonjwa.
Kivyovyote vile ukiona unachukia mgeni, hukosi hizi tabia uchoyo,umaskini au majivuno.
Wengine tumekulia familia ambazo karibu kila mwaka tuna mgeni ambaye unaishi naye kwa miezi hadi miaka. Hii kitu imenifanya sioni kipya kuhusu mgeni zaidi ya kumuona kama ni mwanafamilia mwenzetu na nafurahia pia hiyo hali.
Tatizo la Wanawake wanapoolewa wanahisi kuwa wao ndio wamemzaa huyo mume na siku mume akifariki wanataka na hao ndugu wa mume kusaidiwa malezi ya watoto. Hakika watoto wa mitaani hawatoisha katika jamii kwani matendo ya Wanawake husababisha visasi baadae.Ni kweli hamtaki, ni tabia na roho mbaya tu, nilimkumbusha tu bwana achana nae mgeni Ni Kama mawingu ya mvua hata yatande vipi yataondoka tu hayatabaki milele,akasema we dada Joa hujui tu ndugu zake huyu Bwana wanavyopenda kutawala hii nyumba.
Na siku utakapopatwa na majanga na huyo mwanamke utaenda kwao akakumalize kabisa. Mke hukuzaliwa nae na wala watoto wasiwe sababu ya kumdharau kaka au dada yako. Utanishukuru siku mojaDuh! Hapo pole yake. Lakini mimi nadhani hii kasumba ya "ndugu zake mwanaume kupenda kutawala the house", kosa sio la huyo mdada. Kosa ni la mwanaume.
Wanaume tunatakiwa tutambue kuwa, hata kama unalipa kodi au umejenga nyumba, mji ni wa mwanamke. Na watu wote inabidi wafuate maelekezo yake maaana yeye ndo waziri wa mambo ya ndani.
Sasa mwanaume ukiwa mzembe ndo hizi biashara za ndugu kuja na kuanza kumsumbua wife kwa maelekezo yasio na kichwa wala miguu.
Mi nkikufumq unasumbua mke wangu, ni uppercut chembe kidevu lazma ukae. Na kesho ake unashika nauli unachora kwenu!
Huu ndio uanaume kaka, Wanawake usipokuwa makini anakudevide iliaweze kukurule na kisha anakutelekeza wakati huo ndugu nao hawakutakiYaani tuseme siku ndio nimeoa nitambue labda mwanamke wangu anamfanyia visa mdogo angu au ndugu yangu aisee atanijua mimi ni nani hata kama huyo ndugu ni wa mbali au aliwahi kunifanyia visa
Mi nashangaa hawa wanaume wanaoshtakiwa na ndugu zao au wanaojua mke anawaonea ndugu zao kwao na wao wapo kimya aisee pengine labda wana akili ndio hao wanastahili kuwa na mke ndani maana sisi hizo akili hatuna Au labda tumeumbwa tofauti
Haiwezekani ikamchukia. Unajua unapooa na kuanzisha mji, lazma kuna misingi ndani ya familia yako ambayo mtaweka wewe na mke wako maana familia ni yenu kwanza alaf ndo wengine wanafuata.Ha haaaa Wewe Unataka familia nzima imchukie mkeo kwama kakuroga sio?
Kwa ndugu zangu Mkuu unakuwa umegusa pengine imagine nilighairisha ndoa tena na nyumbani tumetambulishanaDuh! Hapo pole yake. Lakini mimi nadhani hii kasumba ya "ndugu zake mwanaume kupenda kutawala the house", kosa sio la huyo mdada. Kosa ni la mwanaume.
Wanaume tunatakiwa tutambue kuwa, hata kama unalipa kodi au umejenga nyumba, mji ni wa mwanamke. Na watu wote inabidi wafuate maelekezo yake maaana yeye ndo waziri wa mambo ya ndani.
Sasa mwanaume ukiwa mzembe ndo hizi biashara za ndugu kuja na kuanza kumsumbua wife kwa maelekezo yasio na kichwa wala miguu.
Mi nkikufumq unasumbua mke wangu, ni uppercut chembe kidevu lazma ukae. Na kesho ake unashika nauli unachora kwenu!
Shitty mentality. Hii ni nidham ya uoga na unakua nayo pale tu ambapo umeshindwa kua baba kwenye familia. Hata bible inasema mwanaume ni kichwa cha familia. It means ni kiongozi wa familia.Na siku utakapopatwa na majanga na huyo mwanamke utaenda kwao akakumalize kabisa. Mke hukuzaliwa nae na wala watoto wasiwe sababu ya kumdharau kaka au dada yako. Utanishukuru siku moja
Ewaaaa. Unaona case kama hii? Ni haki yako kumfukuza kabisa. Huyo dem ndo alikua kiroboto.Kwa ndugu zangu Mkuu unakuwa umegusa pengine imagine nilighairisha ndoa tena na nyumbani tumetambulishana
Ilikuwa hivi huyo demu alikuwa akimsumbua Mdogo wangu tena kwa maneno ya shombo na visa vya ajabu. Ila siku moja nilimfuma akimtolea maneno mazito na kumwambia atarudi nyumbani kashamchoka. Hiyo ndo ilikuwa siku yake ya mwisho kuwa na Mimi NILIMTIMUA
Hapa ishu sio kuosha vyombo na kupika, ni kumkirimu mgeni. Hakuna sehemu nimesema nitamvumilia ndugu anayevunja utaratibu alioukuta.Yoo, my nigga relax, umekunywa chai kwanza? Mbona povu?
Lemme break it down to you, jukumu la mwanaume ni kutake care ya familia. Lakini majukumu ya ndani sijui kuosha vyombo, kupika e.t.c ni majukumu ya mwanamke. Itakua aibu kama wewe mwanaume ukianza kuingilia majukumu yake. Kazi yako ni kurekebisha pale unapoona hapafai. Yeye ndo anaweka mpangokazi wa humo ndani majukumu yanaendaje. Hiyo ndo inaitwa nafasi yake, kama vile ilivo yako kutafuta hela watu wale humo ndani.
Unakimbilia kusema sijui kuchukia ndugu n.k lakn kila mji una utaratibu. Sasa ndugu akija alaf asifuate utaratibu au aanze kumpelekesha mke wako utakua boya kukubaliana na vitu kama hivyo. Unapooa unaanzisha mti wako wenye maelekezo yako binafsi. Kama ndugu hafuati utaratibu huwez kufumbia macho just because ni ndugu yako. Hapo ni kwako na atafuata utaratibu kama vile wewe ulivofuata kwa babaako kabla hujatoka mikononi mwake.
Kama mke wako ni mchoyo, hilo ni jipu lako wewe, sio sisi wote wake Zetu ni wachoyo.
Na pia ukijipendekeza kwa ndugu haina guarantee kua watakuthamini, kila mtu ana roho yake, na kila mtu atakufa kivyake. Wewe kwako kama ndugu hawaji, hata umshushie kipigo wife wako wewe ndo unaonekana boya umeshindwa kucontrol familia yako. Mkiweka misingi kama familia hakuna kinachoshindikana.
Alaf pia hii mentality kama yako, hakikisha na wewe unalea familia vilivyo. Sio hakuna chakula ndani na kuna watu kumi af unategemea mkeo afanye maajabu.
Hatukatai ndugu nao wana madhaifu yao lakini hii haikupi nafasi ya kumpelekesha ilihali yupo kwa kaka/mjomba/shemeji yake anaehudumia kila kituEwaaaa. Unaona case kama hii? Ni haki yako kumfukuza kabisa. Huyo dem ndo alikua kiroboto.
Lakini huezi kuniambia kua mwanamke awe na roho nzuri, anafanya majukum yote na anaheshimu mustakabali wa familia alaf anakuja mtu anaanza kumpelekesha as if kamuoa yeye. Sidhani kama ni sawa
Bravo [emoji123] thamini nduguzo.Kwa ndugu zangu Mkuu unakuwa umegusa pengine imagine nilighairisha ndoa tena na nyumbani tumetambulishana
Ilikuwa hivi huyo demu alikuwa akimsumbua Mdogo wangu tena kwa maneno ya shombo na visa vya ajabu. Ila siku moja nilimfuma akimtolea maneno mazito na kumwambia atarudi nyumbani kashamchoka. Hiyo ndo ilikuwa siku yake ya mwisho kuwa na Mimi NILIMTIMUA
Sasa kidogo tunaanza kuelewana. Kuhusu kumkirimu mgeni, kama mke wako hawezi ujue kua ni mchoyo. Na hili kama hukuliona kipindi unamtathmini kwa ajili ya ndoa then ulikua zuzu hatari. Na kitu kama hichi ukifumbia macho ni tatizo.Hapa ishu sio kuosha vyombo na kupika, ni kumkirimu mgeni. Hakuna sehemu nimesema nitamvumilia ndugu anayevunja utaratibu alioukuta.
Pia kama ulivyosema sio kila wanawake ni wachoyo basi hivyo hivyo sio kila mgeni ni msumbufu.
Kama ambavyo unaweza kumkosoa ndugu yako kwanini ushindwe kumkosoa na mkeo pale anapomtenda tofauti mgeni? Wewe ndio baba mwenye nyumba kitendo cha kusema nyumba ni ya mwanamke ni kama unakwepa majukumu.
Kuhusu chai, karibu mbeya ndani ndani huku, hapa napata chai na mihogo. Chakula kwangu sio tatizo.
Kama mke anampelekesha ndugu, hayo ni madhaifu ya huyo mke ambayo inabidi kukanya na kuchukua hatua.Hatukatai ndugu nao wana madhaifu yao lakini hii haikupi nafasi ya kumpelekesha ilihali yupo kwa kaka/mjomba/shemeji yake anaehudumia kila kitu
Umeona mkuu Halafu ndugu zake anawathamini na anataka na wewe uwathamini wa kwakeHuu ndio uanaume kaka, Wanawake usipokuwa makini anakudevide iliaweze kukurule na kisha anakutelekeza wakati huo ndugu nao hawakutaki
Kinachouzi umefanya uchunguzi umegundua mke ndio mpumbavu unakubaliana na haliKama mke anampelekesha ndugu, hayo ni madhaifu ya huyo mke ambayo inabidi kukanya na kuchukua hatua.
Wanaume tunafanya maamuzi using logic na sio emotions, sasa ukiona case kama hii inabidi ufanye uchunguzi.na ujue nan ana makosa and how to deal with it.
Sisemi mke asikanywe au ndugu asikanywe, ninachokataa ni mmoja wao kua na free pass ya mambo ya kijinga.
Safi mkuu [emoji109][emoji109][emoji109]Kwa ndugu zangu Mkuu unakuwa umegusa pengine imagine nilighairisha ndoa tena na nyumbani tumetambulishana
Ilikuwa hivi huyo demu alikuwa akimsumbua Mdogo wangu tena kwa maneno ya shombo na visa vya ajabu. Ila siku moja nilimfuma akimtolea maneno mazito na kumwambia atarudi nyumbani kashamchoka. Hiyo ndo ilikuwa siku yake ya mwisho kuwa na Mimi NILIMTIMUA
sahihi MkuuKama mke anampelekesha ndugu, hayo ni madhaifu ya huyo mke ambayo inabidi kukanya na kuchukua hatua.
Wanaume tunafanya maamuzi using logic na sio emotions, sasa ukiona case kama hii inabidi ufanye uchunguzi.na ujue nan ana makosa and how to deal with it.
Sisemi mke asikanywe au ndugu asikanywe, ninachokataa ni mmoja wao kua na free pass ya mambo ya kijinga.
Bangida mkuu angalia kama hii issue ya ndugu yake sister hapa, unaona wazi kabisa mgeni kaanza kutaftiwa sababu siku ya kwanza, unaweza tabiri huko mbeleni ni nini kitatokea.Dah, Jana tu jioni nimezungumza na ndugu yangu wa kike kaniambia amemwambia shemeji yake asifanye chochote yeye pale Ni mgeni atamuhudumia yeye,kuanzia kutenga chakula,maji ya kunywa amuombe atamletea,na asitoe vyombo Wala kusafisha!nikajiuliza Lengo lako haswa Nini?akanijibu SITAKI MAZOEA ndani kwangu...akizoea ataanza kuparamia vitu kwenye friji na ujuaji mwingi hataki!kijana wa watu kapigwa na butwaa maana ndio kafika kutoka Ikonda.