Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

The Eric

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
6,446
Reaction score
10,976
Salaam kabla ya habari.

Jana kuna report imeeleza.
Mikoa ya 1. Dodoma.
2. Singida.
3.Tabora.
4. Kagera.

Pia Kigoma ambayo Mh. Philipi Hakuweka bado ina wimbi la umaskini, mambo ya kuishi chini ya dola moja haya daaah.

Arusha, Dar, Mwanza, n.k ni maskini kwa sababu watu wake wanateseka, magorofa sio tatizo bali jiulize wewe unakula na kulala pazuri yaani basic needs kwa mtu mmoja mmoja ni ishu.

Tunafanyaje watz, kwenu ushauri.
 
Tatizo la bongo wanaangalia mikoa hawaangalii mtu mmoja mmoja dar kuna watu wana maisha magum afadhali ya tabora mtu huwez shindwa kula mana utalima tu ila dar ka huna kazi huli na ndo mana maxhoga n weng mno
Nakubaliana na wewe. Pengine dar ndiyo mkoa wenye maskini wengi kuliko mikoa yote.

Ikiwa wao wanaangalia mchango wa mkoa kwenye Kodi , wakati pale biashara ndogo za Kati na kubwa ziko dar. Lkn wangeangalia Pato la mtu mmoja mmoja kwa uhalisia Dar kugumu Sana.
 
Sio kweli mzee na umaskini wa lishe sio kiivyo jaribu kuwa mdadisi ile mikoa ambayo ina vyakula kibao wanakuwa na udumavu untaka useme hawana chakula ...Vijijini wanalima vyakula ni bwerere na Kusema dar kuna umaskini ni uongo hata siku moja ni uongo hata wanaishi kweny zile slams huko mbagala ,manzese ,Tandale kupata pesa kwao ni rahisi sema matumizi ni makubwa vyakula kibao ni cheap kwa uchumi wa dar watu hata maskini wanakula.

ishu ni malazi kama nyumba ni tatizo la wabongo na umaskini huwezi kudefine kwa majengo sijui malazi kutokana na mila za watu tofauti Mfano wamasai hawana shida ya kula na pesa wanazo ila wanaishi kweny nyumba za tope.

Nimeenda mtwara vijijini kabisa yaani nyumba choka mbaya nimekaa wiki ila msosi wake ni mzuri kwanza samaki wakubwa ,Kisamvu cha nazi na usiku wali wana magunia kibao ya mpunga ila wanatangwa kwa kinu ndo wapate mchele hawa swala la kula kwao sio shida maana hata mafuta hawatumii kwa sana ni nazi ..Ukiwaaangalia hao watoto wao ni majitu yamshiba watu wa kazi miili mikubwa kuliko mimi
 
Tatizo la bongo wanaangalia mikoa hawaangalii mtu mmoja mmoja dar kuna watu wana maisha magum afadhali ya tabora mtu huwez shindwa kula mana utalima tu ila dar ka huna kazi huli na ndo mana maxhoga n weng mno
Kweli kabisa mkoa wa Kilimanjaro wana waangalia wachanga wachache wenye hela lakini huko kwao kuna Wachagga wananuka shida mafadhari ya .mkoa tabora unaweza fika kwa mtu mwenye nyumba ya nyasi ukala ukalala mwezi mzima kisha ukenda zako kitu hicho moshi hakuna
 
Ametaja mikoa yenye umaskini akitumia takwimu za mwaka 2016 akiwa Waziri wa Fedha, hakutajua mikoa yenye kipato kikubwa Kwa mtu mmoja mmoja. Hwezi kufananisha Dar es salaam na huo mkoa wa Kilimanjaro ambao kila kijana anakimbia huo umaskini uliopo huko. Usifananishe Dar na kimkoa kisicho na fursa yoyoye. Ondoa Dar es salaam hapo umeipachika bila kuwa na source ya uhakika.

Infact maskini wengi Dar wanatoka mikoani kuja kutafuta maisha.

Screenshot_20230405-200222.png
 
Ametaja mikoa yenye umaskini hakutajua mikoa yenye kipato kikubwa Kwa mtu mmoja mmoja. Hwezi kufananisha Dar es salaam na huo mkoa wa Kilimanjaro ambao kila kijana anakimbia huo umaskini uliopo huko. Usifananishe Dar na kimkoa kisicho na fursa yoyoye.

Infact maskini wengi Dar wanatoka mikoani kuja kutafuta maisha.
Sawa Mr. Daslamu
 
Ametaja mikoa yenye umaskini akitumia takwimu za mwaka 2016 akiwa Waziri wa Fedha, hakutajua mikoa yenye kipato kikubwa Kwa mtu mmoja mmoja. Hwezi kufananisha Dar es salaam na huo mkoa wa Kilimanjaro ambao kila kijana anakimbia huo umaskini uliopo huko. Usifananishe Dar na kimkoa kisicho na fursa yoyoye. Ondoa Dar es salaam hapo umeipachika bila kuwa na source ya uhakika.

Infact maskini wengi Dar wanatoka mikoani kuja kutafuta maisha.

View attachment 2577656
Ukweli ni kuwa K’Njaro walishafika level nyingine tangu zamani. Mkoa kwasasa hasa maeneo ya milimani hapaeleweki ni kijijini au mjini ndio maana wataalamu wa makazi wanasema hayo ni moja ya rur-urbs (rural-Urban) au semi-urban kubwa Afrika na kwingineko. Ni viongozi wetu kukataa tu kufanya chochote kizuri Kilimanjaro maeneo mengi yangalikwishs kuwa miji.

Mkoa wa Kilimanjaro umekuwa sasa a vacation region au mkoa wa mapumziko na pia nyumba nyingi nzuri zimekuwa vacation houses, kwani wenyeji wengi wapo nje ya mkoa.

Shule zimeanza kuwa nyingi kuliko wanafunzi. Anyway kuna jambo kubwa la kufanya kwani kutokana na kufikia hatua hii kama hatua inayofuata (complete urbanization) haitafanywa kuna hatari ya mkoa kurudi nyuma na kuporomoka kabisa!
 
Nakubaliana na wewe. Pengine dar ndiyo mkoa wenye maskini wengi kuliko mikoa yote.

Ikiwa wao wanaangalia mchango wa mkoa kwenye Kodi , wakati pale biashara ndogo za Kati na kubwa ziko dar. Lkn wangeangalia Pato la mtu mmoja mmoja kwa uhalisia Dar kugumu Sana.
Ilo ndo ukweli wenyewe ila wao wanaleta takwimu za kqenye makaratasi ya uongo ila dar maisha n magumu sn tz tumezunguka sn tunajua
 
Salaam kabla ya habari.

Jana kuna report imeeleza.
Mikoa ya 1. Dodoma.
2. Singida.
3.Tabora.
4.Kagera.
Pia Kigoma ambayo Mh. Philipi Hakuweka bado ina wimbi la umaskini, mambo ya kuishi chini ya dola moja haya daaah.
Arusha, dar, mwanza, n.k ni maskini kwa sababu watu wake wanateseka, magorofa sio tatizo bali jiulize wewe unakula na kulala pazuri yaani basic needs kwa mtu mmoja mmoja ni ishu.

Tunafanyaje watz, kwenu ushauri.
Kilimamjaro ya sasa ni ya watu masikini sana ambao hawamudu mlo mmoja, ni mkoa wenye itapiamlo mkubwa kwa watoto.
 
sio kweli mzee na umaskini wa lishe sio kiivyo jaribu kuwa mdadisi ile mikoa ambayo ina vyakula kibao wanakuwa na udumavu untaka useme hawana chakula ...Vijijini wanalima vyakula ni bwerere na Kusema dar kuna umaskini ni uongo hata siku moja ni uongo hata wanaishi kweny zile slams huko mbagala ,manzese ,Tandale kupata pesa kwao ni rahisi sema matumizi ni makubwa vyakula kibao ni cheap kwa uchumi wa dar watu hata maskini wanakula.

ishu ni malazi kama nyumba ni tatizo la wabongo na umaskini huwezi kudefine kwa majengo sijui malazi kutokana na mila za watu tofauti Mfano wamasai hawana shida ya kula na pesa wanazo ila wanaishi kweny nyumba za tope.

Nimeenda mtwara vijijini kabisa yaani nyumba choka mbaya nimekaa wiki ila msosi wake ni mzuri kwanza samaki wakubwa ,Kisamvu cha nazi na usiku wali wana magunia kibao ya mpunga ila wanatangwa kwa kinu ndo wapate mchele hawa swala la kula kwao sio shida maana hata mafuta hawatumii kwa sana ni nazi ..Ukiwaaangalia hao watoto wao ni majitu yamshiba watu wa kazi miili mikubwa kuliko mimi
Vyakula vya aina Moja sio lishe
Lishe ni balanced diet
 
Ametaja mikoa yenye umaskini akitumia takwimu za mwaka 2016 akiwa Waziri wa Fedha, hakutajua mikoa yenye kipato kikubwa Kwa mtu mmoja mmoja. Hwezi kufananisha Dar es salaam na huo mkoa wa Kilimanjaro ambao kila kijana anakimbia huo umaskini uliopo huko. Usifananishe Dar na kimkoa kisicho na fursa yoyoye. Ondoa Dar es salaam hapo umeipachika bila kuwa na source ya uhakika.

Infact maskini wengi Dar wanatoka mikoani kuja kutafuta maisha.

View attachment 2577656
Wew mzaramo mbona povu? Au umemaliza ile Hela uliyouza kiwanja kwa mchaga hapo mwanaromango ? Maana wachaga tumewahamisha wazaramo mjini na Sasa tushawafuata vijijini
Hizo takwimu za mpango ni current sio za 2016
 
Kilimamjaro ya sasa ni ya watu masikini sana ambao hawamudu mlo mmoja, ni mkoa wenye itapiamlo mkubwa kwa watoto.
Kwahyo Wewe una akili kuliko NBS? Kilimanjaro haitakaa wananchi wawe na umaskini huo Kilimanjaro kwa mujibu WA NBS ina umaskini WA 10%tu
Kilimanjaro ni mkoa WA pili kwa makazi ya kisasa vijijini HII Ina maana kubwa huwez kujenga nyumba nzuri alafu ushindwe mlo tumeelewana Wewe mzaramo?
Mikoa yenye utapiamlo ni HII,usilete ugoro wako hapa
View attachment 2577764
 
Back
Top Bottom