Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

Kwahyo Wewe una akili kuliko NBS? Kilimanjaro haitakaa wananchi wawe na umaskini huo Kilimanjaro kwa mujibu WA NBS ina umaskini WA 10%tu
Kilimanjaro ni mkoa WA pili kwa makazi ya kisasa vijijini HII Ina maana kubwa huwez kujenga nyumba nzuri alafu ushindwe mlo tumeelewana Wewe mzaramo?
Mikoa yenye utapiamlo ni HII,usilete ugoro wako hapa
View attachment 2577764
Taja kilimo cha biashara kinacho wapatia pesa wananchi wa moshi
 
Ya utapiamlo ni takwimu zilizotolewa na serikali, ujue kwanza utapiamlo ni nini na unamhusu nani. Nyumba unazozizungumzia zilijengwa miaka ambapo kahawa ilivuma na waliozijenga wengi walizeeka au kufariki, waliorithi nyumba zimewashinda kwani hawana kipato kilichokuwepo zamani, mkoa hivi sasa unakabiliwa na ukame.View attachment 2578122
Unachekesha Wewe Mzee
Kilimanjaro hasa uchagan majumba ni mapya mapya,heshima ya mchaga yeyote ni nyumba
90% ya nyumba za uchagan ni za kisasa kabisa
Uchagan ukijengea bâti jeupe unachekwa nenda MDA huu pítia maeneo yote uchagan uangalie hali za makazi alafu urudi hapa
Kwenye suala la makaz bora vijijini mchaga ni nambari one ,sio ajabu kukuta ghorofa Kijijin ndani ndani
1673377390465.jpg
1671005729858.jpg
1670403141607.jpg
 
Utakuwa bado upo Kishumundu.....unaota au umehadithiwa. Anyway hizo ndizo stori za vijana wa mikoani wanaopenda kuonekana Wader salaam hasa wale wasiotaka kujitambulisha makabila yao na wanapotoka au wale wanaoona wivu Wazaramo kuwa ndio wenye Jiji. Wanaopenda Jiji lionekane halina wenyewe at least nao wajifariji kuwa Ni sehemu ya Dar!

Ni psychological identity disorder hasa pale akili zao zinaposhindwa kuji- tune wapi wajitambulishe, aidha ajitambulishe yeye ni mchaga, msukuma,Muha,Msafwa,mgogo,mrangia aonekane mshamba au aseme yeye amezaliwa Jiji la Wazaramo aonekane mjanja na apewe kaheshima kidogo!? Issue inakuja akijatambulisha yeye wa Dar es salaam ataulizwa wewe ni Mzaramo au Mndengereko? Huwa wanakosa jibu ndipo wanapokuja na jibu kama la kwako...... Wazaramo wamehamishwa Dar [emoji23][emoji23][emoji854] Infact hata wewe una hio tatizo....unaponda uonekane mjanja wakati huo huo ukitetea vinavyohusu mkoani kwako! So deal with your problem bro..
Sisi wachaga hatupend kwetu? Unaumwa Wewe
Sisi ni wawekezaji nchi nzima tupo,dar hasa kimara ,mbezi,ubungo tangu Zaman tushawahamisha wazaramo,hakuna kinachoshindkn mbele ya pesa
 
Wewe uko Kilimanjaro??

Huu ujinga wadanganyani watu ambao hawapo au hawajawahi kufika Kilimanjaro
Una wivu ukiwa wapi? Ni uongo kwani?
Kilimanjaro vijijini huduma zote zipo Hadi supermarket
MTU aliye Kijijin Hana haja ya kwenda mjini Kila kitu kipo,nyie WA mikoan MTU akitaka ka huduma kadogo Hadi asafiri km180 kwenda kufuata huduma
Sisi wilaya zote makao makuu mwananchi hatumii Zaid ya 2000 au 3000 kufk headquarters
 
Kule moshi wachanga wengi vijijini wananuka shida
Kama wananuka shida imekuwj NBS watuambie Kilimanjaro ni mkoa WA pili kwa wananchi wake kuwa na per capita income kubwa Baada ya dar?
Kwahyo hyo income kubwa ya mwananchi mmoj mmoja imetoka wapi ilhali wananuka shida? [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Taja kilimo cha biashara kinacho wapatia pesa wananchi wa moshi
Kilimo chá ndizi,parachichi, biashara
Hasa biashara Wana Moshi wengi ni wafanyabiashara wakubwa,pia transport industry,ma Lori meng mikoani ni ya Wana Kilimanjaro, bila kusahau ma bus kampuni nyingi 40% ni za Wana Kilimanjaro
Kubwa kuliko précision air ni ya mwaa Kilimanjaro
 
Unachekesha Wewe Mzee
Kilimanjaro hasa uchagan majumba ni mapya mapya,heshima ya mchaga yeyote ni nyumba
90% ya nyumba za uchagan ni za kisasa kabisa
Uchagan ukijengea bâti jeupe unachekwa nenda MDA huu pítia maeneo yote uchagan uangalie hali za makazi alafu urudi hapa
Kwenye suala la makaz bora vijijini mchaga ni nambari one ,sio ajabu kukuta ghorofa Kijijin ndani ndaniView attachment 2580980View attachment 2580983View attachment 2580985
Hizi picha jomba mbona unarudia sana na unatumia nguvu kutuaminisha😂😂😂
 
Salaam kabla ya habari.

Jana kuna report imeeleza.
Mikoa ya 1. Dodoma.
2. Singida.
3.Tabora.
4. Kagera.

Pia Kigoma ambayo Mh. Philipi Hakuweka bado ina wimbi la umaskini, mambo ya kuishi chini ya dola moja haya daaah.

Arusha, Dar, Mwanza, n.k ni maskini kwa sababu watu wake wanateseka, magorofa sio tatizo bali jiulize wewe unakula na kulala pazuri yaani basic needs kwa mtu mmoja mmoja ni ishu.

Tunafanyaje watz, kwenu ushauri.
Kilimanjaro pia maskini sana. Sijui una maana gani kuitoa Kilimanjaro? Maskini tena sana tu.
 
Una wivu ukiwa wapi? Ni uongo kwani?
Kilimanjaro vijijini huduma zote zipo Hadi supermarket
MTU aliye Kijijin Hana haja ya kwenda mjini Kila kitu kipo,nyie WA mikoan MTU akitaka ka huduma kadogo Hadi asafiri km180 kwenda kufuata huduma
Sisi wilaya zote makao makuu mwananchi hatumii Zaid ya 2000 au 3000 kufk headquarters
Kwa Kilimanjaro mjini ni wapi!????
 
Mzaramo hapo mjin ashahamishwa,wamebaki wachache mno não ni wacheza bao
Kama haitoshi tumewafuata Kwao vikindu,mkuranga na bagamoyo nako tumewasokomeza porini hakuna kinachoshindkana mbele ya hela
Wameondolewa Dar sasa hivi wanawaondoa kwao Mzenga na marenomango[emoji1787][emoji1787]
Hawa jamaa watajikuta wanatawaliwa miaka michache ijayo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ulishawahi fika Dar....mpaka uulize mbunge Mzaramo?
Mkuu, ebu nitajie mbunge mzaramo kwa miaka ya karibuni hapo Dar!!

Ukimaliza hiyo naomba majina matatu tu ya wazaramo ambao wanafahamika kuwa na pochi nene au wamiliki wa biashara kubwa kubwa na maarufu hapo Dar!!
Kwa hiyo mnajivunia miji ya watu? Ikitajwa Mwanza mnajipachika mnasema mmehamisha wasukuma!, Dar vivyo hivyo!

Population yenu ndogo imekaa maeneo ya Kimara,Mbezi karibu na njia ya kwenda vijijini kwenu huko Kilimanjaro Kwa hiyo Kwa kuwa mmekaa maeneo hayo wengi unahisi kama bado mpo Kishumundu. Ni sawa na wamachinga na wamakonde walivyojazana Mbagala njia ya kwenda kwao mikoa ya kusini au Wakurya Kitunda.

Anyway Kwa kuwa bado ni wakuja hamjui kuwa Pwani na Dar yote ni miji yenye wakazi wenyeji wanaofanana kimakabila Wazaramo na Wandengereko. Kwa hiyo Mzenga,Maneromango (Hiyo ni Kisarawe) na ni mji asili wa Wazaramo Kwa hiyo obviously Wazaramo wapo miaka na miaka. Ni sawa uende Mkuranga Kibaha Bagamoyo na Rufiji kidogo. Kumbuka kwamba Dar sehemu kubwa ilikuwa wilaya ya Kisarawe!

Kingine kinachowanya msiwatambue Wenyeji ni kutozungumza Lugha za kienyeji kama iivyo huko mikoani mnapoishi. Wenyeji wa Dar wanatumika zaidi KISWAHILI.
 
Nenda MDA huu uchagan Ili uthibitishe nachosema
Uchagan ukijengea bâti jeupe unachekwa kabisa
Acha mbwembwe wewe hizo eti bati jeupe ? Mkuwa huko sio kujazana miji ya watu.

ushamba wa kwenu huo kupaka rangi mabati.
 
Kilimanjaro pia maskini sana. Sijui una maana gani kuitoa Kilimanjaro? Maskini tena sana tu.
Sio tu Kilimanjaro,hâta USA, UK,na uchina maskini wapo
Tunaangalia ratio
Kwa mujibu WA NBS Kilimanjaro umaskini ni 10% tu
Na Sisi Wana Kilimanjaro tumeazikia kufikia 2027 hyo 10% ya umaskini tuifute
NB
KILIMANJARO ni mkoa unaoongoza kwa kuwa na life expectancy kubwa
 
Ulishawahi fika Dar....mpaka uulize mbunge Mzaramo?

Kwa hiyo mnajivunia miji ya watu? Ikitajwa Mwanza mnajipachika mnasema mmehamisha wasukuma!, Dar vivyo hivyo!

Population yenu ndogo imekaa maeneo ya Kimara,Mbezi karibu na njia ya kwenda vijijini kwenu huko Kilimanjaro Kwa hiyo Kwa kuwa mmekaa maeneo hayo wengi unahisi kama bado mpo Kishumundu. Ni sawa na wamachinga na wamakonde walivyojazana Mbagala njia ya kwenda kwao mikoa ya kusini au Wakurya Kitunda.

Anyway Kwa kuwa bado ni wakuja hamjui kuwa Pwani na Dar yote ni miji yenye wakazi wenyeji wanaofanana kimakabila Wazaramo na Wandengereko. Kwa hiyo Mzenga,Maneromango (Hiyo ni Kisarawe) na ni mji asili wa Wazaramo Kwa hiyo obviously Wazaramo wapo miaka na miaka. Ni sawa uende Mkuranga Kibaha Bagamoyo na Rufiji kidogo. Kumbuka kwamba Dar sehemu kubwa ilikuwa wilaya ya Kisarawe!

Kingine kinachowanya msiwatambue Wenyeji ni kutozungumza Lugha za kienyeji kama iivyo huko mikoani mnapoishi. Wenyeji wa Dar wanatumika zaidi KISWAHILI.
Hao jamaa hawajiamini kabisa 😂😂kila kitu eti wao na wanaobishana humu wengi njaa kali ...Eti kusifu kwao daily wakati mwaka mzima wanaenda mwezi wa December tu na wengi hawaendi kabisa
 
Back
Top Bottom