luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Ni maskini unaona Hadi mlo ni tatizo kageraIla ninachoona ingawa sio utafiti rasmi Kagera sio mkoa maskini.Huu utafiti wao wakae nao.Kagera sio maskini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni maskini unaona Hadi mlo ni tatizo kageraIla ninachoona ingawa sio utafiti rasmi Kagera sio mkoa maskini.Huu utafiti wao wakae nao.Kagera sio maskini.
Maskini ni nyie mnaoshindwa Hadi uwezo WA mlo kwa watoto aibu
Na Bado mtateseka sana Kilimanjaro juu Juu juu zaidi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao jamaa wana misifa kwa kweli .
Kilimanjaro kiufupi maeneo yake yote hâta vijijn Kuna Kila hudumaaWewe jamaa umeshakuwa chizi?
Kwahiyo sehemu ikiwa na supermarket, bank ni mjini????
Asante kwa kumuelimishaKulima na kupata chakula kingi ni jambo 1 na kula chakula bora ya kukupa afya ni kitu kingine. We consume what we not produce and we produce what we not consume.
Wewe sio mchagaMimi binafsi sikubaliani na hizo takwimu zao.Mimi natokea Kilimanjaro hiyo mikoa inayotajwa kuwa masikini Ina fursa nyingi kuliko Kilimanjaro.Unaweza kukuta huku watu wamejenga lakini in details hizo nyumba hazitokani na fursa za mkoa huu.Kuna mikoa naitamani mf Kigoma Kagera,Mwanza,Shinyanga! YAANI fursa kibao mvua za kutosha! Mpaka natamani kuhamia huko Kwa kuwa nchi ni YETU sote.Ifike tunapopima umaskini tuangalie fursa za eneo husika na sio majengo naweza Jenga Moshi! NDIO lakini uchumi nimepatia mf Dar n.k.
Msichokijua! Kanda ya kaskazini miaka hii imeathiriwa sana na mabadiliko ya tabia ya nchi!(Global warming!) Hivyo in the long run uchumi huku utaporomoka mfano Chuga hakuna mvua Tena kama zamani.Tuache promo na kukariri maisha!
Sasa bukoba mjini au hâta miji yote kiujumla automatique lazm kiwango chá umaskini kiwe kidogoKiwilaya wilaya ya Bukoba mjini ndo ina kiwango kidogo cha umaskini kuliko wilaya zote nchini
Nasubiri mwaka huu watoe takwimu za kiwilaya tuone.....maana wakitaja Kagera watu hushambulia wahaya...nataka nione wilaya za wahaya haswa kama Bukoba , misenyi na muleba....
Hapa takwimu za nyuma Bukoba ndo wilaya yenye kiwango kidogo cha umaskini kuliko wilaya zote nchiniView attachment 2583338View attachment 2583339
Hilo nalo tutalitizamaUna hoja, usikilizwe.
Umaskini uliopo Moshi ni 10% tu não by 2027 tunataka kuufuta tuwaachie nyie KageraMatajiri wa moshi wanatengemea pesa za Tasaf...usiwasikilize sana hao
Kuna umaskini wa kutisha huko moshiView attachment 2583343
Hâta ujerumani nilikuta ombaombaMatajiri wa moshi wanatengemea pesa za Tasaf...usiwasikilize sana hao
Kuna umaskini wa kutisha huko moshiView attachment 2583343
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Wewe mhaya umechanganyikiwa Haki,Sasa unaleta data za 2001? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Nimecheka Hadi nimemwaga Bia yanguKiwilaya wilaya ya Bukoba mjini ndo ina kiwango kidogo cha umaskini kuliko wilaya zote nchini
Nasubiri mwaka huu watoe takwimu za kiwilaya tuone.....maana wakitaja Kagera watu hushambulia wahaya...nataka nione wilaya za wahaya haswa kama Bukoba , misenyi na muleba....
Hapa takwimu za nyuma Bukoba ndo wilaya yenye kiwango kidogo cha umaskini kuliko wilaya zote nchiniView attachment 2583338View attachment 2583339
Kwahyo kwa Tafsir Yako MTU anaeuza nyanya na vitunguu stand ni maskini ? My God una Elimu gani mkuu? Tuanzie hapoYako ni nadharia. Fact ni kwamba Kilimanjaro is declining. Kasoro tukiongea kuhusu mkoa wa Kilimanjaro, kinachokuja kichwani mwako ni wafanyabiashara wa kichagga.
Mkoa wa Kilimanjaro ni hadi wale maskini wanaoshindia mbege, wale wanakimbizana na magari kuuza nyanya, vitunguu na karanga katika stendi mbali mbali mkoani, Kilimanjaro sio Moshi na Machame tu.
Kwahyo Wewe una akili kuliko NBS? Kilimanjaro haitakaa wananchi wawe na umaskini huo Kilimanjaro kwa mujibu WA NBS ina umaskini WA 10%tu
Kilimanjaro ni mkoa WA pili kwa makazi ya kisasa vijijini HII Ina maana kubwa huwez kujenga nyumba nzuri alafu ushindwe mlo tumeelewana Wewe mzaramo?
Mikoa yenye utapiamlo ni HII,usilete ugoro wako hapa
View attachment 2577764
[emoji2][emoji2][emoji2]umemaliza huyu mdengereko WA mwanaromango,Ana povu maana wachaga wamewanunua wamesukumwa kibiti sasahv Hadi mwanaromango ishanunuliwa[emoji2][emoji2] heshima pesaSwali lilikuwa nitajie majina ila naona umekuja na gazeti, pole nikutakie siku njema mkuu!!
Akili za memkwa hizi, umesahau kuwa Kilimanjaro ni mkoa WA 4 kuchangia GDP? Kungekuwa hakuna watu hyo GDP ingetoka wapi?Kinachofanya Kilimanjaro haiwekwi kwenye kundi la mikoa masikini ni IDADI NDOGO YA WATU.
Na hii ni Kwasababu watu wengi wa Kilimanjaro wanapakimbia kila siku.
EE ndio maana tunaambiwa na NBS kuwa Kilimanjaro umaskini ni 10% tuHiyo Kilimanjaro umejumuisha mpaka MWANGA na SAME?
Nenda kaharishe kwanza huo uvundoSalaam kabla ya habari.
Jana kuna report imeeleza.
Mikoa ya 1. Dodoma.
2. Singida.
3.Tabora.
4. Kagera.
Pia Kigoma ambayo Mh. Philipi Hakuweka bado ina wimbi la umaskini, mambo ya kuishi chini ya dola moja haya daaah.
Arusha, Dar, Mwanza, n.k ni maskini kwa sababu watu wake wanateseka, magorofa sio tatizo bali jiulize wewe unakula na kulala pazuri yaani basic needs kwa mtu mmoja mmoja ni ishu.
Tunafanyaje watz, kwenu ushauri.