luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Kumbe hujui romboHebu acha maneno mengi....hiv kuna uwekezaji gan wa maana wilayani Rombo? Hebu utaje hapa...
Huoni takwimu za NBS zinasema watu wanapungua Kilimanjaro? Huoni kuwa ni tatizo...
Vip kuhusu ulevi wa kupindukia huko Kilimanjaro vijana miaka 20 kama miaka 50...
Vip kuhusu nyumba kibao za mabanzi zilizojaa humo moshi vijijini?
Vip barabara mbovu mbovu za vijiji zilizojaa huko milimani?
Huko Rombo hakuna viwanda, hakuna hata large scale farming, hakuna hata vitalu vya vijana kufanya kilimo, hakuna hata soko la wakulima kuuza mazao yao...
Uko unajisifia hapa mmeendelea...mmendelea nyinyi nyie? Unajua kuendelea?
Kiwanda chá maji SEQUA kipo wilaya gani?
Border za holili na tarakea zipo wilaya gan?
Vijana kunywa pombe mbona husemi kwenu Huko misenyi/ vijana weusi tii wamechakaa kwa kunywa gongo inayoitwa kalinya? Hao wamezeeka haswaaa
Nyumba Kilimanjaro NBS inasema 90% ni za kisasa
Ni afadhali nyumba ya mbao yenye bati kuliko zile zenu za nyasi kule Muleba
Uchagan hatujui mashine za dizel wakati kule kwenu uhayan Hadi MDA huu mnakula ugali unaonuka dizel