Wewe Kilimanjaro hasa rombo ni pesa tu Hao vijana unaosema wanaangamia ni wale wajinga ambao hawakosekan Ktk jamii yoyote
Ikiwa mkoa unakimbiwa,imekuwaje NBS watuambie ndio mkoa wenye unafuu WA kipato kwa wananchi wake kwa 90%?
Kilimanjaro Kila kijana anapambna, Elimu,exposure ndio inaupandsha mkoa
Mkakati wetu ni kuwa hizo 10% za umaskini Ktk mkoa wetu ifikapo 2027 tuuondoe kbs
Rombo ni wilaya pekee Tanzania ambayo vijij vyake vyote,vitongoji,vina umeme 100% kwa mujibu WA tanesco
Rombo umeme umeingia tangia 1980's wakati kule kwenu Muleba na misenyi Kuna vijiji Hadi MDA huu unga wanasaga mashine za dizel
Kilimanjaro sidhan kama wanajua mashine za dizel