Sema mimi napenda kagera iendelee kutajwa hivi hivi Maskini...hata serikali itapakumbuka na kweli serikali imeanza kupakumbuka at least kwa kuanzisha vyuo vikuu kama UDSM nk...kupanua bandari ya kemondo na Bukoba...kujenga stendi ya mabasi...kuleta meli mpya ya mv mwanza...kujenga barabara ya ngara to karagwe kwa lami...kujenga hospital zao za wilaya kuliko kuachia kanisa ijenge hospital...kuupanua mji wa bukoba kwa kuongeza kata tisa nk...na kujenga barabara dual mjini bukoba...
Ni heri uitwe maskini kuliko kuitwa mkoa wako una maendeleo kumbe kihualisia hayapo...mfano mkoa Ruvuma unatajwa wa nne nchini kwa maendeleo lakin ukifika kule huoni maendeleo yoyote bora hata kagera...mikoa kama lindi, mtwara, pwani, shinyanga, njombe nk inatajwa ina maendeleo lakin kimsingi watu wake hata milo mitatu hawapati...so serikali itawaignore...
Kuna mkoa wa Kilimanjaro ambao nao unatajwa watu wake wana unafuu wa maisha lakin in reality huko rombo, same, mwanga, siha hadi maeneo ya moshi vijijini vijana wanaangamia, mkoa unakimbiwa kila kukicha na hakuna maendeleo yoyote ya maana yanayofanywa huko na serikali hata kujenga soko la kimataifa pale tarakea hakuna...wapo kwenye magendo tu