Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

Wew mzaramo mbona povu? Au umemaliza ile Hela uliyouza kiwanja kwa mchaga hapo mwanaromango ? Maana wachaga tumewahamisha wazaramo mjini na Sasa tushawafuata vijijini
Hizo takwimu za mpango ni current sio za 2016
Kumuhamisha Mzaramo mjini kwenye kiwanja Cha 20x20 na nyumba ya mgongo wa tembo ya miaka 1980 unaohitaji si chini ya mil 100. Waliweza wakuja wachache kipindi kile cha miaka ya nyumba waliuziwa bei chee bado baadhi yao waliokuwa hawajaelemika. Sasa hivi Kwa hawa wakina mangi vilevi vinazurula mjini wanaokuja mjini tayari mbege ishawapiga hadi wake zao wanakimbilia Kenya kuugawa papuchi hawana ubavu wa kumtoa Mzaramo bro!

Na hao wakuja ndio wanaongeza rate ya maskini hapa mjini.
 
Mzaramo hapo mjin ashahamishwa,wamebaki wachache mno não ni wacheza bao
Kama haitoshi tumewafuata Kwao vikindu,mkuranga na bagamoyo nako tumewasokomeza porini hakuna kinachoshindkana mbele ya hela
 
Kweli kabisa mkoa wa Kilimanjaro wana waangalia wachanga wachache wenye hela lakini huko kwao kuna Wachagga wananuka shida mafadhari ya .mkoa tabora unaweza fika kwa mtu mwenye nyumba ya nyasi ukala ukalala mwezi mzima kisha ukenda zako kitu hicho moshi hakuna
Ondoa akili ndgo hapa hujui maana ya research
Hapo ni uwiano WA pato la mwananchi mmoja mmoja sio général
Kilimanjaro wananchi mmoj mmoja Ana pato zuri na ni mkoa WA pili Baada ya dar kwa mujibu WA NBS
Hata marekan Kuna maskini ambaye anazidiwa na mbongo lakin haiondoi ukweli kuwa marekan ni nchi tajiri regardless maskin wachache waliopo
Malengo yetu Kilimanjaro ni kuwa,kufkia 2027 huo umaskini WA 10% uliopp tuwe tumeufuta Ili tuwe 100% na kipato kizur
 
Kwahyo Wewe una akili kuliko NBS? Kilimanjaro haitakaa wananchi wawe na umaskini huo Kilimanjaro kwa mujibu WA NBS ina umaskini WA 10%tu
Kilimanjaro ni mkoa WA pili kwa makazi ya kisasa vijijini HII Ina maana kubwa huwez kujenga nyumba nzuri alafu ushindwe mlo tumeelewana Wewe mzaramo?
Mikoa yenye utapiamlo ni HII,usilete ugoro wako hapa
View attachment 2577764
Ya utapiamlo ni takwimu zilizotolewa na serikali, ujue kwanza utapiamlo ni nini na unamhusu nani. Nyumba unazozizungumzia zilijengwa miaka ambapo kahawa ilivuma na waliozijenga wengi walizeeka au kufariki, waliorithi nyumba zimewashinda kwani hawana kipato kilichokuwepo zamani, mkoa hivi sasa unakabiliwa na ukame.
IMG_20210527_124609.jpg
 
Mzaramo hapo mjin ashahamishwa,wamebaki wachache mno não ni wacheza bao
Kama haitoshi tumewafuata Kwao vikindu,mkuranga na bagamoyo nako tumewasokomeza porini hakuna kinachoshindkana mbele ya hela
Utakuwa bado upo Kishumundu.....unaota au umehadithiwa. Anyway hizo ndizo stori za vijana wa mikoani wanaopenda kuonekana Wader salaam hasa wale wasiotaka kujitambulisha makabila yao na wanapotoka au wale wanaoona wivu Wazaramo kuwa ndio wenye Jiji. Wanaopenda Jiji lionekane halina wenyewe at least nao wajifariji kuwa Ni sehemu ya Dar!

Ni psychological identity disorder hasa pale akili zao zinaposhindwa kuji- tune wapi wajitambulishe, aidha ajitambulishe yeye ni mchaga, msukuma,Muha,Msafwa,mgogo,mrangia aonekane mshamba au aseme yeye amezaliwa Jiji la Wazaramo aonekane mjanja na apewe kaheshima kidogo!? Issue inakuja akijatambulisha yeye wa Dar es salaam ataulizwa wewe ni Mzaramo au Mndengereko? Huwa wanakosa jibu ndipo wanapokuja na jibu kama la kwako...... Wazaramo wamehamishwa Dar 😂😂🙃 Infact hata wewe una hio tatizo....unaponda uonekane mjanja wakati huo huo ukitetea vinavyohusu mkoani kwako! So deal with your problem bro..
 
Mkuu, ebu nitajie mbunge mzaramo kwa miaka ya karibuni hapo Dar!!

Ukimaliza hiyo naomba majina matatu tu ya wazaramo ambao wanafahamika kuwa na pochi nene au wamiliki wa biashara kubwa kubwa na maarufu hapo Dar!!
 
Tatizo la bongo wanaangalia mikoa hawaangalii mtu mmoja mmoja dar kuna watu wana maisha magum afadhali ya tabora mtu huwez shindwa kula mana utalima tu ila dar ka huna kazi huli na ndo mana maxhoga n weng mno
Tunapoangalia takwimu, huwa tunaangalia uwiano: wengi wepi? Huwezi kuangalia mtu mmoja mmoja haileti mantiki.
 
Ukweli ni kuwa K’Njaro walishafika level nyingine tangu zamani. Mkoa kwasasa hasa maeneo ya milimani hapaeleweki ni kijijini au mjini ndio maana wataalamu wa makazi wanasema hayo ni moja ya rur-urbs (rural-Urban) au semi-urban kubwa Afrika na kwingineko. Ni viongozi wetu kukataa tu kufanya chochote kizuri Kilimanjaro maeneo mengi yangalikwishs kuwa miji.

Mkoa wa Kilimanjaro umekuwa sasa a vacation region au mkoa wa mapumziko na pia nyumba nyingi nzuri zimekuwa vacation houses, kwani wenyeji wengi wapo nje ya mkoa.

Shule zimeanza kuwa nyingi kuliko wanafunzi. Anyway kuna jambo kubwa la kufanya kwani kutokana na kufikia hatua hii kama hatua inayofuata (complete urbanization) haitafanywa kuna hatari ya mkoa kurudi nyuma na kuporomoka kabisa!
Wewe uko Kilimanjaro??

Huu ujinga wadanganyani watu ambao hawapo au hawajawahi kufika Kilimanjaro
 
Ukweli ni kuwa K’Njaro walishafika level nyingine tangu zamani. Mkoa kwasasa hasa maeneo ya milimani hapaeleweki ni kijijini au mjini ndio maana wataalamu wa makazi wanasema hayo ni moja ya rur-urbs (rural-Urban) au semi-urban kubwa Afrika na kwingineko. Ni viongozi wetu kukataa tu kufanya chochote kizuri Kilimanjaro maeneo mengi yangalikwishs kuwa miji.

Mkoa wa Kilimanjaro umekuwa sasa a vacation region au mkoa wa mapumziko na pia nyumba nyingi nzuri zimekuwa vacation houses, kwani wenyeji wengi wapo nje ya mkoa.

Shule zimeanza kuwa nyingi kuliko wanafunzi. Anyway kuna jambo kubwa la kufanya kwani kutokana na kufikia hatua hii kama hatua inayofuata (complete urbanization) haitafanywa kuna hatari ya mkoa kurudi nyuma na kuporomoka kabisa!
Hapawezi kuporomoka hata siku1

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Wew mzaramo mbona povu? Au umemaliza ile Hela uliyouza kiwanja kwa mchaga hapo mwanaromango ? Maana wachaga tumewahamisha wazaramo mjini na Sasa tushawafuata vijijini
Hizo takwimu za mpango ni current sio za 2016
Wameondolewa Dar sasa hivi wanawaondoa kwao Mzenga na marenomango[emoji1787][emoji1787]
Hawa jamaa watajikuta wanatawaliwa miaka michache ijayo

Back
Top Bottom