luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Bado una akili za memkwaWewe jamaa ni mbweha.
Wachagga wanakimbia Kilimanjaro Kwasababu hakuna kitu.
Suala la Kilimanjaro kuchangia GDP labda Mlima tu.
Hakuna kingine.
Kilimanjaro yote isipokuwa Moshi ni VIJIJINI.
Na Kilimanjaro ilivyo ni Kimkoa kidogo sana kilichojaa Mabonde, misitu na mawe.
Sasa Wilaya Ina ukubwa sawana Tarafa na kila mwaka inapewa budget na serikali itashindwa Nini kujenga lami na Zahanati?
1:Mtawanyiko WA Wachaga sehemu mbalimbali kwa kiasi kikubwa umechangiwa na Elimu,hakuna eneo lolote TZ utamkosa mchaga Ktk taasisi za serikali mfano vyuo,mahospital,uhandisi,bank nk HII lazma ni sábabu mojawapo inayofanya Wachaga kusambaa maeneo mbalimbali,hâta Jana jarida la TIME limemtaja Dr Elizabeth Mrema ambaye ni katibu WA bio anuai Umoja WA mataifa kuwa miongoni mwá watu 100 wenye ushawishi duniani,
2: Kilimanjaro wengi ni wafanyabiashara,hivyo kusambaa ni jambo la kawaida,ni kawaida kukuta mchaga anamiliki ghorofa mwanza tanga au Arusha
3:unasema eti mapato mengi ya Kilimanjaro ni mlima sio Kweli,not only mlima
4:vigezo vya umaskini nishakwambia , Kilimanjaro ina huduma Hadi za ziada vijijin,just imagine Hadi zahanati za private zipo vijijini what a wonderful life, just imagine hakuna nyumba ya nyasi ya makazi hâta Moja uchagan,just imagine Kilimanjaro ni mkoa unaoongoza kwa kuwa na shule nyingi,just imagine Kilimanjaro ni mkoa wenye miundombinu toshelezi kwa 90%
Kubwa kuliko mwaka juzi Wana vunjo walichanga zaidi ya bilion 7 kukárabati barabara zote za jimbo,Kuna jamii yoyote yenye ubavu kwa kuchangia hâta milion 50 tu? Respect Kilimanjaro