Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Hakuna aliyekuwa na masters degree mwaka huu toa uongo wako hapa sema alikuwa anajua kingereza cheo cha kupewa,😂😂😂.Umekariri wahaya kwakuwa Wana sifa kitu kidogo Wana ki overate Lkn uhalisia mhaya hamfikii mchaga kwa Elimu
Imagine Hadi Mangi mareale mwaka 1942 alikuwa na masters degree kutoka Cambridge
Hadi Sasa hivi sekta nyeti Wachaga ndio wame base uhandisi, bank, biashara,kilimo na mifugo,afya,
Kwa mujibu wa bodi ya wahandisi, Makampuni mengi ya uhandisi yanamilikiwa na watu WA Kilimanjaro je ushawahi sikia wakitamba? Maprofesa kibao Lkn Wala hatutambi ukienda ardhi,sua,udsm ifm,mzumbe,kcmc,udom utadhibitisha nayosema
Kuna kozi ngumu ya afya ya upasuaji ubongo na Neva za fahamu inaitwa neurosurgery nchi nzima ina watu 9 tu kati yao 4 ni Wachaga tena wanawake(Dr happiness rabiel,Dr Aingaya kaale,Dr costansia Bureta) je ushasikia tukitamba? Mhaya yéyé amekalia kusoma kiswahili na English (hkl) ataweza Hizo nondo?
Sekta ya uhasibu tumeikamata vilivyo ndio maana nchi nzima wachumi,maafisa mpango na ma treasurers wengi ni WA kwetu haijaja bahati mbaya
Alafu Wachaga ngazi zote za Elimu wapo sio tu Elimu ya juu Bali hâta Elimu ya kati
Mhaya hamfikii mchaga kielimu
Hakuwa na degree mlidanganywa...
Huku safi watu hawanaga stress na wapo peace ,hakuna vibaka ,walevi wala matapeli .