Exposure gan na elimu gan?
Kimsingi hakuna kabila lenye diaspora wengi kama wahaya....
Na hakuna kabila lenye wasomi wengi kama wahaya..
Wachaga wanawazidi wahaya kwenye biashara ambazo nazo ukichunguza vzr kuna ushirikina mkubwa sana humo..
Kuna takwimu zinataja tarafa ys uru inaongoza kwa vichaa na mazezeta...ushirikina tu..
View attachment 2589431
Sent from my SM-A032F using
JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2] mchaga amekamata Elimu Ktk Sekta nyeti nyeti i.e uhandisi, banking,business,u dokta NK
Huko nje Wachaga wengi ni diaspora kule usa ni kama Moshi wapo wengi wanafundsha vyuo kadhaa kama vyuo vya Weil Cornell,Arizona etc
Ukienda pale ifm majority ni kina nan? Can you imagine karibu 40% ya kampuni za uhandisi zinamikikiwa na Wachaga? Ingia katika tovuti ya bodi ya uhandisi uangalie orodha ya Makampuni yote ya uhandisi na wamiliki wake alafu urudi hapa,kwa kukusaidia bodi ya wahandisi inaitwa crb,mwenyekiti wake anaitwa prof eng Ninatubu Lema
3:kozi muhimu kama za ardhi,ukadiriaji majengo Wachaga wengi mno
4:vyuo vingi Wachaga hufundisha au kusoma kozi za uchumi, biashara, uhandisi,uhasibu kozi za literature tumewaachia wahaya[emoji2][emoji2][emoji2]
5 alafu Wachaga sio tu Elimu za juu Bali Elimu za kati pia ni wengi, yaani degree na diploma Tafsir nzuri ya Elimu Kila nyanja uwemo ,ndio maana ni Nadra sana kukuta hakuna mchaga Ktk wastani WA maeneo yote Tanzania Ila ni virse versa kwa wahaya
6 kozi za kilimo na mifugo pia Wachaga wengi wanazikamata nenda sua Angalia staffs
7: sekta nyeti ya ualimu ndio haswaaa wizarani na taasisi zake ni watu WA kitambo
8:ukitaka kujua mchaga ana Elimu,hâta watawala WA jadi uchagan walikuwa na Elimu kubwa imagine Mangi mareale by 1942 alikuwa na masters degree kutoka Cambridge,kina Mangi Abdiel shanghali não walkuwa wasomi.
9: kibiashara ndo kabisaaa Wala sisemi hâta mtot mdogo anamjua MANGI
10: Fani ya upasuaji ubongo na Neva za fahamu inaitwa neurosurgery nchi nzima ina watu 9 tu wanne kati yao ni Wachaga tena wanawake (Dr Aingaya kaale, Dr costansia Bureta, Dr happiness rabiel) nyie mna Elimu gani Sasa ya kuongea kizungu?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Nitajie kozi nyeti ambazo mmezikamata
Ukienda udsm pale coet karibu 90% ni mangis,Nitajie nyie mliyo dominate