Ukijifunza kwa waliofanikiwa, hawawezi kukupa njia za mafanikio

Huyo anajua malengo yake na anachokifanya. Mwenyewe nmejiwekea utaratibu wa kusave 75% ya kila kiasi nikipatacho kwa ajili ya kukua kiuchumi. Kuna vitu najinyima sana lakini fresh ni kwa faida ya future yangu.
Ukitaka kupata 100 ni lazima uanze na 1.
 
Kumcha Mungu kunapunguza uwezo wa kufikiri kwasababu; huchanganui mambo, kila kitu unakihusianisha na 'ulimwengu wa roho'

Mungu mwenyewe hayupo.
Umesema Mungu hayupo ndiyo maana huamini maombi yanasaidia

Ukweli ni kuwa maombi yanasaidia sana sana

Ukweli mwingine mchungu ni kwamba hata iweje kamwe wote hatuwezi kuwa matajiri, ni Lazima maskini wawepo ili kupata working class na balance
 
Umewauliza wangapi? Ama una ukaribu na wangapi?

Binafsi naamini kama una nia ya kufanikiwa, njia utaipata tu

Tatizo, ni kuamini ukisali utafanikiwa, au ukiloga utafanikiwa, hii inatengeza a mental ceiling uwezo wa kufikiri unapungua

Umewauliza wangapi? Ama una ukaribu na wangap
Mkuu hii iko wazi kabisa, mtu aliyefanikiwa kutoa njia aliyepitia yeye ni ngumu sana,

Tatizo, ni kuamini ukisali utafanikiwa, au ukiloga utafanikiwa, hii inatengeza a mental ceiling uwezo wa kufikiri unapungua
Sina imani sana na masuala ya kusali au kuroga ndo nifanikiwe, ila kitu kinacho leta ukakasi kwenye safari ya utajiri kumegubikwa na usiri mkubwa sana mithiri ya safari ya kuelekea mbinguni.

Tajiri huyo huyo utasikia nakuombea ufanikiwe katika maisha, lakini hakupi keypoints.
 
7
Huyo anajua malengo yake na anachokifanya. Mwenyewe nmejiwekea utaratibu wa kusave 75% ya kila kiasi nikipatacho kwa ajili ya kukua kiuchumi. Kuna vitu najinyima sana lakini fresh ni kwa faida ya future yangu.
Ukitaka kupata 100 ni lazima uanze na 1.
75% ni too much next to impossible

Kawaida unatakiwa kusave 10 mpaka 30 % siyo 75 utalazimika kuishi kwa shida sana ukisave 75%
 
Penye nia pana njia, sio lazima zifanane.
Sawa mkuu, najua hazifanani, ukiwa Tajiri unaweza wapa vijana njia ulizo pitia ili nao wapande V8 😊
 
Njia ya mafanikio ni: Kazi kwa bidii na maarifa, nidhamu ya matumizi na malengo sahihi. Pia kitu kama bahati kinahusika.
 
7

75% ni too much next to impossible

Kawaida unatakiwa kusave 10 mpaka 30 % siyo 75 utalazimika kuishi kwa shida sana ukisave 75%
Ni mwanzo mkuu ila huko mbeleni nitaongeza percent, kuna maisha nayataka sana bila kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kutokuweka akiba itabaki kuwa ndoto tu.
 
Upo vizuri. Watu wengi wanaomuamini mungu hawaelewi hichi kitu

Sitaki kuongea sana kwanini mungu hayupo na dini ni utapeli, nitaharibu uzi wa watu
Watu wasioamini Mungu baadaye huishia kuwa wachungaji au mashekhe maarufu sana

Unajua kwanini?

Naamini siku moja utamuona Mungu akikusemesha na utasikitika sana na hizi comment za kumkataa
 
Ni mwanzo mkuu ila huko mbeleni nitaongeza percent, kuna maisha nayataka sana bila kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kutokuweka akiba itabaki kuwa ndoto tu.
Usizidishe asilimia 30 ya ukipatacho

Maisha yenyewe mafupi unahifadhi mali nyingi za nini?

Wakati unatafuta maisha usisahau kuendelea kuishi
 
Usizidishe asilimia 30 ya ukipatacho

Maisha yenyewe mafupi unahifadhi mali nyingi za nini?

Wakati unatafuta maisha usisahau kuendelea kuishi
Mali ndio tunazitafuta tunakimbizana na muda.

Naishi ila kuna vitu ambavyo si vya muhimu naviweka pembeni kwa muda.
 
Kuna kitabu ninacho cha riwaya inayoitwa the godfather,ukifungua ukurasa wa kwanza unakutana na nukuu inasema 'in every great fortune there is crime'. Kwa maana wakati mwingine utajiri unaweza tokana na uhalifu uliofanyika vyema pasipo kugundulika.
 
Hii Imekaa poa mkuu, nakubali Ushauri Wako,

lakini watu wanaotoboa kwa njia hii ni 2 ya 10, baadhi ya watu nimekutana nao wamejinyima sana sana na wakafika mbali zaidi kula mlo mmoja kwa siku, matokeo yake wameishia kuzeeka tu na vibubu vyao.
 
Kwa kweli. Imani ni zao la ushahidi. Mbele ya ushahidi nitaamini chochote.
Kwa mjibu wa Biblia Mungu alisema na tufanye mtu kwa mfano wetu

Hivyo wewe ni mfano wa Mungu

God created the entire world from nothing

And you can create anything here on earth with (by using) something

Kwahiyo ukisema Mungu hayupo ni sawa na kujisema na wewe mwenyewe haupo

May the grace of God be upon you.
 
Hii Imekaa poa mkuu, nakubali Ushauri Wako,

lakini watu wanaotoboa kwa njia hii ni 2 ya 10, baadhi ya watu nimekutana nao wamejinyima sana sana na wakafika mbali zaidi kula mlo mmoja kwa siku, matokeo yake wameishia kuzeeka tu na vibubu vyao.
Yap hapo jazia.
Lazima uwe na maelekezo na connection sahihi ya kuweka hicho ulichokikusanya kizae exponentially.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…