[emoji23][emoji23][emoji23] ankoli.Panga gani linaweza kufiti kwenye begi???
[emoji1787]Nilishuhudia dogo mmoja wanamfunga mdogo wake kwenye bomba la gari la kutolea moshi (exhaust) mwenye gari akawa anapiga resi...wakahakikisha moshi unaingia ipasavyo...baada ya hapo wakamuacha..unajua nini kilitokea?..
Ameandika kwa tashwishwi ππUkawa na mapanga yako mawili π€£π€£π€£
Dini gni hiyo???Shekhe hata dini inasema hivyo ,road side robbers wauwawe na maiti zao zitundikwe sokon kila mtu azione ,huyo kakosea kumuacha hai
Wewe ni mwanamke wa wapi?Wanaume wa Dar mmeamua kurevenge
Panga gani linaweza kufiti kwenye begi???
Duu Kwa comment hii na hiyo avatar Yako hapana wajameni!Umekosea sana mkuu ungemla na jicho kabisa ngese huyo
Yaani na hili ni swali kweli?Panga gani linaweza kufiti kwenye begi???
Inawezekana na hii ni movie piaSafi mno. Ungekata mguu na mkono kabisa. Ila ukweli kuna movie madam anachezewa ila hataki kuona. Hii movie ni zaidi ya Royal Your. Afanye haraka mno aanze na IGP pia kundi lenye mipango nyeti akiwemo Nchemba. Ni planned move.
Hujui kitu kuhusu michezo ya silaha fupiWatu ambao tumeshakabiliana mara kadhaa na vibaka/majambazi ndiyo tunaelewa kuwa stori hii ni uongo na ni chai ya pilipili manga
Kiuhalisia mtu mwenye silaha mfano panga tena wako zaid ya mmoja wakikutait wakakuwahi hata kama una panga kwenye bag huwezi kumdhuru kabla ya yeye kukudhuru kitendo cha kutoa tu wangekushambulia
Na Mara zote kibaka akikuwahi ukiwa na bag huwa hakuachii nafasi ya kufungua bag eti umpe kilicho ndani anacho fanya yeye ni kukunyang'anya bag lote ataenda yeye kulikagulia mbele ya safari na siyo eti wewe ndo umtolee vilivyo ndani ya begi, maana hata hilo begi lenyewe analihitaji pia hata kama halina kitu
Kabisaaa sisi vibaka ndio tunaelewa π π πWatu ambao tumeshakabiliana mara kadhaa na vibaka/majambazi ndiyo tunaelewa kuwa stori hii ni uongo na ni chai ya pilipili manga
Kiuhalisia mtu mwenye silaha mfano panga tena wako zaid ya mmoja wakikutait wakakuwahi hata kama una panga kwenye bag huwezi kumdhuru kabla ya yeye kukudhuru kitendo cha kutoa tu wangekushambulia
Na Mara zote kibaka akikuwahi ukiwa na bag huwa hakuachii nafasi ya kufungua bag eti umpe kilicho ndani anacho fanya yeye ni kukunyang'anya bag lote ataenda yeye kulikagulia mbele ya safari na siyo eti wewe ndo umtolee vilivyo ndani ya begi, maana hata hilo begi lenyewe analihitaji pia hata kama halina kitu
Wanaharakati watakwambia huyo mtoto umemwona na unatakiwa kuwa ndani ya nondo, bila kujua ungezembea saivi tungekuwa na matangaIpo hivi.
Weekend iliyopita hawa vijana wanaojifanya wahuni wa mtaa walinitaiti mahali usiku, wakanipiga sana na kuniibia vitu vyangu ikiwemo simu na wallet yangu iliyokuwa na pesa na vitambulisho pamoja na kadi za bank. Ofcoz nilikuwa nimepiga maji kidogo ila niliwakariri, niliripoti tukio polisi ila hakuna lolote lililofanyika.
Sasa mimi nikaamua kuwawinda hawa vibaka, alfajiri ya leo nikajifanya nimetoka na begi nikizuga kuwa nasafiri, nikapita yale maeneo yao na kibegi changu, mara watatu wakanivaa wakaniambia niko chini ya ulinzi na nitoe vyote nilivyonavyo. Kwa sababu nilikuwa nimejiandaa kwa vita, nikajifanya nafungua lile begi langu nikatoa mapanga yangu mawili niliyokuwa nayo, nikaanza kuwashambulia wakawa wanakimbia, nami nikala nao sahani moja, nikamkamata mmoja aliyekuwa kaanguka akawa ndio mateka wangu, yule dogo nimempiga sana na nimemkata vidole viwili vya mkono wa kulia ili iwe fundidho kwa wenzake.
Ukawa na mapanga yako mawili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]