Ukikutana na kijana wa umri kati ya 15-20 maeneo ya Kimara amekatwa vidole viwili vya mkono wa kulia, mimi ndiye nimemfanya hivyo

Ipo hivi.
Weekend iliyopita hawa vijana wanaojifanya wahuni wa mtaa walinitaiti mahali usiku, wakanipiga sana na kuniibia vitu vyangu ikiwemo simu na wallet yangu iliyokuwa na pesa na vitambulisho pamoja na kadi za bank. Ofcoz nilikuwa nimepiga maji kidogo ila niliwakariri, niliripoti tukio polisi ila hakuna lolote lililofanyika.

Sasa mimi nikaamua kuwawinda hawa vibaka, alfajiri ya leo nikajifanya nimetoka na begi nikizuga kuwa nasafiri, nikapita yale maeneo yao na kibegi changu, mara watatu wakanivaa wakaniambia niko chini ya ulinzi na nitoe vyote nilivyonavyo. Kwa sababu nilikuwa nimejiandaa kwa vita, nikajifanya nafungua lile begi langu nikatoa mapanga yangu mawili niliyokuwa nayo, nikaanza kuwashambulia wakawa wanakimbia, nami nikala nao sahani moja, nikamkamata mmoja aliyekuwa kaanguka akawa ndio mateka wangu, yule dogo nimempiga sana na nimemkata vidole viwili vya mkono wa kulia ili iwe fundidho kwa wenzake.
Mkuu ungetuliza wenge tu.... wee ungekamatwa na begi lenye mapanga ungeozea jera wallah
 
Ungemkata dhakar kisha um...[emoji83][emoji83]
 
Nilishuhudia dogo mmoja wanamfunga mdogo wake kwenye bomba la gari la kutolea moshi (exhaust) mwenye gari akawa anapiga resi...wakahakikisha moshi unaingia ipasavyo...baada ya hapo wakamuacha..unajua nini kilitokea?..
Nini kilitokea?
 
Unapigana na watoto, kwan we ni mtoto [emoji23][emoji23]....ingefaa huyo dogo akupeleke kwa wakubwa zake uwacharange mapanga vizur [emoji1][emoji1]

Dada angu kuna ubaya mtu akijitetea.
 
Tuvidole tu, ungekata mkono kabisa, kata ulimi, toa jicho moja, unakata kende moja.. Unaenda kumtundika maskani kwao.
 
Shekhe hata dini inasema hivyo ,road side robbers wauwawe na maiti zao zitundikwe sokon kila mtu azione ,huyo kakosea kumuacha hai

Kuuawa tena, hapana ukhti,,uislamu sidhani kama unaruhusu hivyo,,mtu ameiba halafu umuuwe kweli!!! Wengine wanapigwa kiberiti, hii ni halali!!! Wapi katika Qur'an imehalalisha huu unyama!!

(33) Wala msiuwe nafsi ambayo Mwenyezi Mungu amekataza isipo kuwa kwa haki.
 
Ungemkata mguu mkuu ili asiwe anakwenda kwenye matukio ma.ma..e zake wanatuletea umaskini
 
mpaka sasa hamna confirmation yoyote, mtoa mada amekimbilia kusikojulikana kutubia madhambi yake
 
Ipo hivi.
Weekend iliyopita hawa vijana wanaojifanya wahuni wa mtaa walinitaiti mahali usiku, wakanipiga sana na kuniibia vitu vyangu ikiwemo simu na wallet yangu iliyokuwa na pesa na vitambulisho pamoja na kadi za bank. Ofcoz nilikuwa nimepiga maji kidogo ila niliwakariri, niliripoti tukio polisi ila hakuna lolote lililofanyika.

Sasa mimi nikaamua kuwawinda hawa vibaka, alfajiri ya leo nikajifanya nimetoka na begi nikizuga kuwa nasafiri, nikapita yale maeneo yao na kibegi changu, mara watatu wakanivaa wakaniambia niko chini ya ulinzi na nitoe vyote nilivyonavyo. Kwa sababu nilikuwa nimejiandaa kwa vita, nikajifanya nafungua lile begi langu nikatoa mapanga yangu mawili niliyokuwa nayo, nikaanza kuwashambulia wakawa wanakimbia, nami nikala nao sahani moja, nikamkamata mmoja aliyekuwa kaanguka akawa ndio mateka wangu, yule dogo nimempiga sana na nimemkata vidole viwili vya mkono wa kulia ili iwe fundidho kwa wenzake.
Hongera kama kweli ila kama ni story ya movie utalaaniwa
 
Sijui

Back
Top Bottom