Afu Mungu kasema mkamuulize mwenyewe bana maana watumishi wanashindwa kujibu maswali yako ni magumu mno halafu wewe ni mbishi sana
mi ni rafiki yako? wewe umuulize kwa nini marafiki zako wanagombana
kwa lipi sasa? angalia usije ukaota machungwa wewe kisha ndo tupatane
mtumishi rudi ukapate mafunzo vizuri bana acha kunisingizia.
wee mwenyewe ulisema Mungu yuko busy sana na wewe ndo utajibu maswali...haya kulikoni?
Naanzisha ugomvi tuu hasa nimfuate yule umpendaye na then ukinifumania naanzisha ugomvi
Una haraka sana kupata majibu ndo maana anasema itabidi uende mwenyewe kwa unyenyekevu umuulize
Na amesema uache zile nyumba ndogo zako zote ndo uende kwake
Iribini njoo ushuhudie 'mistaken jinsia' haraka sana.
hahahahahah kwani mwanamke hawezi kuwa na nyumba ndogo si wanakuwepo wanaume wake wa pembeni huko ambao anashare nao au wanaitwa vidumu
yaani wewe na hiyo afya yako chafu hapo kwenye avatar, ni heri uangukiwe na ukuta kuliko kipondo cha laaziz wangu...
Mungu awajaalie misosi mjenge afya aisee
yaani wewe na hiyo afya yako chafu hapo kwenye avatar, ni heri uangukiwe na ukuta kuliko kipondo cha laaziz wangu...
Mungu awajaalie misosi mjenge afya aisee
tena sisi vibonde ndo tuna nguvu
aje na manyama uzembe yake atapata kipondo tuu
Biihechitii kumbe na wewe una madongo hivyo...
ameyataka mwenyewe huyo mista mwamba....ngoja nimmegee kidogo...
weweeee manyama uzembe nani kakwambia....mwanaume mwili wa mazoezi, mwili wa kiume.....
Onyo (lol)….Paw yupo leo anatembeza bani kama kachanganyikiwa.
Nanyanyua mkono aise nisije nikapigwa ban bure
hapa tutayarishe maswali ya kwenda kwa sir God hayo mengine yalikuwa ya kupitisha muda tuu
Sorry kama kuna mahali nilienda arijojo
heheeee haya bana
ila mimi sitafika huko, namtania tu bana Rocky
Nanyanyua mkono aise nisije nikapigwa ban bure
hapa tutayarishe maswali ya kwenda kwa sir God hayo mengine yalikuwa ya kupitisha muda tuu
Sorry kama kuna mahali nilienda arijojo
Ngoja Ally wa Kitaa aje
usitie shaka kabisaaa 'bwan' Rocky....
did I sound that serious? hapa tunachangamshana tu kaka....Amani
Ngoja Ally wa Kitaa aje
hahaaa, unamtishia Mangi aisee