Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa unatibiwa na maji mengi na msosi, utakaa sawa baada ya muda. At least ukifika tu home unasalimia then straight kulala. Ukinywa the right amount utapata usingizi mmoja mramu hujawahi ona
Ulishaona unywaji wangu wa wa maji ulivyokuwa na wenge[emoji23][emoji23]
Siku nitakayokunywa I'm sure nitakamatwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Labda niwahi kulala..saa1 kamili huyo namtime yule dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah nilikuwa nishapiga vitu vyangu nini.... nimekumbuka haya maneno... unaona raha hizi bila pombe hupati creativity ya kuongea maneno kma haya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daah nilikuwa nishapiga vitu vyangu nini.... nimekumbuka haya maneno... unaona raha hizi bila pombe hupati creativity ya kuongea maneno kma haya [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilicheka Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti amekupa nini yule jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ni vile nilikuwa nashindwa kuangua kicheko Cha nguvu kama ambacho huwa naangua kwa mtu niliyemzoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo mixa hatari raia wengine wangetapika utumbo na firigisi
 
Yan nyie mnatakiwa mpewe Smirnoff black ice ya kopo, kuja kushtukia kuwa ni pombe umeshachelewa sana. Utakuwa umeshakapiga kameisha kwa ule utamu wake....

Kutapika Kunaepukika, usimix pombe, usinywe pombe kama umetoka kula ubwabwa.
 
Kumbe tutaanza na holy man.

Unampa kwenye chupa ya soda.

Kwahiyo chakula kizuri kula kabla ya kunywa pombe ni kipi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…