Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,636
- 3,142
Sio kweli, Paulo alimwambia Timotheo, tumia mvinyo kidogo kwa ajili ya tumbo lako lkn usilewe...aina ya mvinyo alotumia ilikuwa kwa ajili ya kutibu tumbo.Mvinyo umeruhusiwa bwana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli, Paulo alimwambia Timotheo, tumia mvinyo kidogo kwa ajili ya tumbo lako lkn usilewe...aina ya mvinyo alotumia ilikuwa kwa ajili ya kutibu tumbo.Mvinyo umeruhusiwa bwana.
Hivi kumbe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inabidi niwaulize Sasa wanywaji ni kilevi gani ninachoweza kunywa kitamu kitamu kinachoendana na soda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishaona unywaji wangu wa wa maji ulivyokuwa na wenge[emoji23][emoji23]Ukilewa unatibiwa na maji mengi na msosi, utakaa sawa baada ya muda. At least ukifika tu home unasalimia then straight kulala. Ukinywa the right amount utapata usingizi mmoja mramu hujawahi ona
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] fisi ana dash downYule fisi aliyekwepa risasi 49 lazma alikuwa mtumiaji wa vyombo [emoji23][emoji23][emoji23] tena vikalikali... ndio maana akawa sharp sana
Zilikuwa kam glass ngapi? Mbili au chupa nzima?Sio kweli, Paulo alimwambia Timotheo, tumia mvinyo kidogo kwa ajili ya tumbo lako lkn usilewe...aina ya mvinyo alotumia ilikuwa kwa ajili ya kutibu tumbo.
Daah nilikuwa nishapiga vitu vyangu nini.... nimekumbuka haya maneno... unaona raha hizi bila pombe hupati creativity ya kuongea maneno kma haya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wewe unaongea kama Iso,
Anasema yaani mtu anajiita Holy Man na wewe saint Anne halafu mnashauriana kuhusu pombe,mtashauriana nini Cha maana hapo?
Eti piga vyombo wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilicheka sana.
Naogopa sana kutapika aisee,
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hayo maji sharti yawe ya baridi 👌Ulishaona unywaji wangu wa wa maji ulivyokuwa na wenge[emoji23][emoji23]
Siku nitakayokunywa I'm sure nitakamatwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Labda niwahi kulala..saa1 kamili huyo namtime yule dada.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kumbe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Perfecto. Au amarula / zanzi, ataona anapiga maziwa tuSmirnoff black ice my dia ni tamu hatari
Inauzwa buku 4 tu.
Hata kula huli. Sema pombe itakupa appetiteUlishaona unywaji wangu wa wa maji ulivyokuwa na wenge[emoji23][emoji23]
Siku nitakayokunywa I'm sure nitakamatwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Labda niwahi kulala..saa1 kamili huyo namtime yule dada.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah nilikuwa nishapiga vitu vyangu nini.... nimekumbuka haya maneno... unaona raha hizi bila pombe hupati creativity ya kuongea maneno kma haya [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo mixa hatari raia wengine wangetapika utumbo na firigisiYan. wewe ukamsikiliza yule mr. Coffee
Kutapika kupo kama utakula wali ndio unywe pombe. Au ukimix... Kuna siku nilimix vitu mimi kesho yake asubuh niliamkia kutapika [emoji23] nilijutaa
Nilianzia serengeti lite nikaona kama imekuwa chungu sana nikaiacha. nikaenda kwenye redds nikaona kama silewi nikapiga tot ya grant's. Tukahama kiwanja tulikohamia ikaagizwa saint Anna ikaisha tukaagiza dompo 'hii dompo niliwashauri, dompo ukimix na ice inakuwa tamu sana.
Weee kilichotukuta kesho yake? Tuliumwa mning'inio wa hatari, fanta haisikii, coka haisikii, soup haisikii mwili umechoka Chakula hakipandi, tulikuja kupona jioni baada ya kushtua na desperados.
Yan hapo ndio utajua drink responsibly uwa wanamaanishaje [emoji23]
Toba[emoji134]Na hayo maji sharti yawe ya baridi [emoji108]
Elfu 4?Smirnoff black ice my dia ni tamu hatari
Inauzwa buku 4 tu.
Yan nyie mnatakiwa mpewe Smirnoff black ice ya kopo, kuja kushtukia kuwa ni pombe umeshachelewa sana. Utakuwa umeshakapiga kameisha kwa ule utamu wake....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wewe unaongea kama Iso,
Anasema yaani mtu anajiita Holy Man na wewe saint Anne halafu mnashauriana kuhusu pombe,mtashauriana nini Cha maana hapo?
Eti piga vyombo wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilicheka sana.
Naogopa sana kutapika aisee,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nilikataa kula,nilijua kabisa sitaweza kula.Hata kula huli. Sema pombe itakupa appetite
Elfu 4.
Kumbe tutaanza na holy man.Yan nyie mnatakiwa mpewe Smirnoff black ice ya kopo, kuja kushtukia kuwa ni pombe umeshachelewa sana. Utakuwa umeshakapiga kameisha kwa ule utamu wake....
Kutapika Kunaepukika, usimix pombe, usinywe pombe kama umetoka kula ubwabwa.
Amarula ule uchungu hatouweza.Perfecto. Au amarula / zanzi, ataona anapiga maziwa tu