Ukimdhihaki Mungu hadharani majibu unayapata siku si nyingi

Ukimdhihaki Mungu hadharani majibu unayapata siku si nyingi

Walioazama kwenye meli ya MV Bukoba walimdhihaki mungu??
Boss hivi umeelewa andiko langu au hujasoma na.kukomenti tu?

Je hao watu wa mv bukoba uliwasikia wakisema mv bukoba ni bora sana mungu hawezi kuizamisha
 
Unajuaje hao walipatwa na hayo kwa sababu ya dhihaka na sio kama Waislamu wengine wa Swala tano yanavyowakuta majanga na vifo tu??
Boss elewa kwanza uzi wangu unakusudia nini tafadhali

Asante
 
وَأَنَّ ٱلۡمَسَٰجِدَ لِلَّهِ فَلَا تَدۡعُواْ مَعَ ٱللَّهِ أَحَدٗا​
 
Kwahiyo mungu ana visasi kama magufuli? Kwahiyo mungu hana tofauti na binadamu, maana visasi ni hulka ya binadamu, lakini Mungu ni wa kusamehe1 au wasemaje

acha story za uongo wa watu wa dini kuwafanya muwe makondoo yao ya kuchuma hela za ure
 
Kwahiyo mungu ana visasi kama magufuli? Kwahiyo mungu hana tofauti na binadamu, maana visasi ni hulka ya binadamu, lakini Mungu ni wa kusamehe1 au wasemaje

acha story za uongo wa watu wa dini kuwafanya muwe makondoo yao ya kuchuma hela za ure
Asante boss
 
Boss elewa kwanza uzi wangu unakusudia nini tafadhali

Asante
Uzi wako una fallacy nyepesi sana ya kufikiri kila correlation ni sawa na causation, yani mfano kama kila siku asubuhi huwa unafanya mapenzi na mke wako au unambusu ndio uende kazini halafu ikatokea siku hukufanya hivyo ukapata ajali basi unasema sababu ni kwa sababu hukufanya mapenzi au kumbusu mkeo siku hiyo.
 
14. منا المسلمون ومنا المتهاونون فأما المسلمون فأولئك هم المسترشدون.

15. وأما المتهاونون فأولئك لجهنم حطبا.

16. ولو استقاموا على المنهى لأسقيناهم ماء كثيرا.

17. لنبتليهم به ومن أعرض عن ذكر ربه يوصله إلى عذاب مقيم.

18. إن المساجد لله فلا تدع من دون الله أحدا.​
 
14. Miongoni mwetu wapo Waislamu, na miongoni mwetu wapo waasi. Ama wale waliosilimu, hao ndio wanaofuata uwongofu.

15. Ama waasi hao watakuwa kuni za Motoni.

16. Lau wangeli shika Njia tunge wanywesha maji mengi.

17. Kuwajaribu kwayo. Na anaye jiepusha na kumkumbuka Mola wake Mlezi, atamwongoa kwenye adhabu inayo endelea.

18. Mahali pa ibada ni kwa ajili ya Mungu. Basi usimuombe mwengine isipokuwa Mwenyezi Mungu.

Surat Al-Jinn 72:14-18
 
Uzi wako una fallacy nyepesi sana ya kufikiri kila correlation ni sawa na causation, yani mfano kama kila siku asubuhi huwa unafanya mapenzi na mke wako au unambusu ndio uende kazini halafu ikatokea siku hukufanya hivyo ukapata ajali basi unasema sababu ni kwa sababu hukufanya mapenzi au kumbusu mkeo siku.
Sasa mfano wako unahusiana nini na andiko langu,unazungumzia mambo ya mazoea hapa

Boss naomba nikuache huwa sipendi porojo

Asante
 
Huenda Mungu anawapenda sana anawapa mda watubu,kumbuka yeye anafanya mambo yake katika namna anayojua yeye

Hivi hujiulizi kwanini wachawi na watu wabaya huwa wanapewa umri mrefu sana kuliko watu wema?

Kuna hekima kubwa sana hapo
Kwaiyo Mungu anaupendeleo. Wengine anawauwa wengine anawapa uhai mrefu ili watubie,. mbona vichekesho,😃
 
Mungu hataniwi jamani
19. Na mtumishi wa Mungu alipoinuka akimwomba, wakakaribia kumwangukia kwa wingi.

20. Sema: “Mimi ninamuomba Mola wangu Mlezi tu, wala simshirikishi na yeyote.

21. Sema: “Si katika uwezo wangu kukudhuruni, wala kuwaongoa.

22. Sema: “Hakuna awezaye kunilinda na Mwenyezi Mungu, na sitapata pa kukimbilia isipokuwa Kwake.

23. Isipokuwa tangazo litokalo kwa Mwenyezi Mungu na ujumbe wake. Mwenye kumuasi Mwenyezi Mungu na Mtume wake, basi huyo atapata Moto wa Jahannamu, humo watakaa milele.

Surat Al-Jinn 72:19-23
 
Back
Top Bottom