Unashindwa kutetea hoja yako.
Unajikuta ukijisalimisha mapema.
Ninyi ndîo mnafanya Mungu aonekane hamnazo Kwa sababu anatetewa na Watu wasio na hoja.
Umesema Mtu kimdhihaki Mungu anapata mapigo.
Hujaeleza NI Mungu yupi? Je ni Baali, Ashera, Dagon, Yahweh, Allah au mungu yupi?
Hujaeleza Wala kuweka Sheria za huyo Mungu zinazoonyesha Mtu akimdhihaki anampa adhabu, na NI adhabu gàni, na hiyo adhabu inampata baàda ya Muda gàni kama uthibitisho WA kuonyesha kuwa NI adhabu ya kumdhihaki mungu.
Umetaja kuhusu mwenye Meli ya Titanic, ukaulizwa hiyo ajali waliokufa je nao walimdhihaki Mungu?
Unambwela mbwela.
Unahoja nzuri lakini unashindwa kuitetea Kwa sababu unajadili kitu ambacho Huna uelewa nacho au unauelewa mdogo kuhusu mambo ya Mîungu
Siô ajabu Hapo utasema mungu NI mmoja