Ukimdhihaki Mungu hadharani majibu unayapata siku si nyingi

Kwahiyo mungu ana visasi kama magufuli? Kwahiyo mungu hana tofauti na binadamu, maana visasi ni hulka ya binadamu, lakini Mungu ni wa kusamehe1 au wasemaje

acha story za uongo wa watu wa dini kuwafanya muwe makondoo yao ya kuchuma hela za ure
24. Hata watakapo yaona waliyo ahidiwa, watajua ni nani aliye dhaifu katika wasaidizi, na wachache kwa idadi.

25. Sema: Sijui kama mnayo ahidiwa yapo karibu, au Mola wangu Mlezi atayarefusha muda.

26. Mjuzi wa yasiyo onekana; Hafichui kutoonekana kwake kwa yeyote.

27. Isipo kuwa Mtume aliye mteuwa. Kisha anawatuma walinzi mbele yake na nyuma yake.

28. Ili ajue kwamba wao wamefikisha Ishara za Mola wao Mlezi. Yeye huzunguka walichonacho, na amehesabu kila kitu kwa idadi.

Surat Al-Jinn 72:24-28
 
Unajuaje au unathibitisha vipi hao watu wa meli ya Titanic hawakufa kama walivyokufa wa meli ya MV bukoba au MV Spice Zanzibar bali ni kutokana na dhihaka??

Swali lako jepesi sana. MV bukoba ilizama sababu ya kuzidisha uzito ( technical reason ), yaani hawakufuata instructions za manufacturer. Haya niambie technical cause iliyosababisha Titanic kuzama?
 
Vipi kuhusu ajali ya ndege ya Precision?

Vipi kuhusu ajali za KLM Boeing 747-206B na Pan Am Boeing 747-121 kugogana na kuua mamia ya raia?

Vipi kuhusu ajali ya MV Dona Paz na MT Vector iliyoua maelfu ya raia?

Vipi kuhusu ajali za bus zinazoua makumi ya wasafiri kila mara hapa nchini?
 
Kwanini mungu hakuzuia hivyo vifo
 
Vipi kuhusu ajali ya ndege ya Precision?

Vipi kuhusu ajali za KLM Boeing 747-206B na Pan Am Boeing 747-121 kugogana na kuua mamia ya raia?

Vipi kuhusu ajali ya MV Dona Paz na MT Vector iliyoua maelfu ya raia?

Vipi kuhusu ajali za bus zinazoua makumi ya wasafiri kila mara hapa nchini?

Hizi ajali zinahusiana vipi na ajali ya Titanic?
 
Contrary to popular mythology, Titanic was never described as "unsinkable" without qualification until after she sank.[2][3] Three trade publications (one of which was probably never published) described Titanic as "practically" unsinkable prior to her sinking. Many survivors recalled in video interviews as well as in testimony that they had considered the ship "unsinkable". Shipbuilder Harland and Wolff did not claim she was unsinkable, but a promotional item from the White Star Line stressed the safety of Olympic and Titanic, claiming that "as far as it is possible to do so, these two wonderful vessels are designed to be unsinkable".[4] Claims by trade publications that vessels were unsinkable or being practically unsinkable were not unique to the Olympic-class ocean liners or other White Star ships. Similar claims were made about the Cunarders Lusitania and Mauretania, and German liners Kaiser Wilhelm der Grosse and Kaiser Wilhelm II. Advanced safety features on these liners were heavily publicised, de-emphasising the likelihood of these ships' sinking in a serious accident.
 
Huenda Mungu anawapenda sana anawapa mda watubu,kumbuka yeye anafanya mambo yake katika namna anayojua yeye

Hivi hujiulizi kwanini wachawi na watu wabaya huwa wanapewa umri mrefu sana kuliko watu wema?

Kuna hekima kubwa sana hapo
Kwanza kabisa, thibitisha huyo Mungubyupo.

Isije juwa mnapigiana hadithi za uongobtu Mungu hivi, Mungu vike, wakati all along hayupo, mmemtunga nyie watu tu.
 
Acheni kutishia watu na story za kutungwa...mshazoea kuamini story za bible za uwongo na kweli unadhani kila mtu ana akili ka zenu...ka mungu yupo ataonekana tu bila haja ya vitisho...mara cjui Brazil mara sijui Olympics mara sijui Kanisa..
Story za uwongo uwongo tu mnatumia wakristo huko FB na TikTok na kupumbaza wajinga sio huku...
 
Kwanza namshukuru sana Mungu kwa neema yake nimekuwa miongoni mwa binadamu ambao wameanza maisha rasmi,kwa ile maana maisha yanaanza ukiwa na miaka 40,kwani niko katika 40's

Nimegundua au kuyasikia mambo kadhaa ambayo pale mwanadamu anapo mdhihaki Mungu hadharani basi hakika majibu huja mapema mno

Mtengenezaji wa meli ya Titanic,kwa uhodari na tekinolojia waliyotumia kutengeneza,waliamini ni meli bora sana ambayo isingewaza kuzama,alipoulizwa umadhubuti wa meli hiyo na waandishi wa habari,alisema ni meli imara na bora sana hata Mungu hawezi kuizamisha.

Kilichotokea nadhani wote tunakijua,imebaki historia tu na watu wanapambana kila kukicha kwenda kuchunguza mabaki yake

View attachment 3127599

Kuna kipindi kilichopita wakati wa kampeni uchaguzi mkuu kati ya marehemu Magufuli na marehemu Lowasa akiwa upinzani,mwanasiasa maarufu mama Serina Kombani alisema Lowasa atakufa mda si mrefu kwa kuwa ni mgonjwa

Lakini kilichotokea nadhani wote tunakijua,alitangulia kufa yeye kwanza nadhani hazikupita wiki au moja akatungalia mbele ya haki

Kuna binti mmoja alikuwa anaenda matembezi au kwenda mji mwingine na gari yake,sikumbuki vizuri ni kama aliambiwa na mama yake amuombe Mungu afike salama,lakini alidhihaki,na nyuma ya gari kulikuwa na mayai,alipata ajali mbaya sana,lkn cha kushangaza hakuna hata yai moja lililo vunjika

Kuna binti mmoja nadhani kama sio Chanika basi mbagala ni mwaka jana tu,aliambiwa na mama yake,uswali swala ya isha kabla hujalala ni mida ya saa mbili usiku,akamjibu mama yake kama unaona kuswali ni muhimu basi swali wewe na Allah wako kilichotokea usiku huo hakuamka tena

Wasomaji wangu Mungu wetu ni mkubwa mno ni mwenye kusikia na kuona kila kitu,kuwa makini sana matamshi yako kwani hakika yeye halali wala hasinzii,anajua yaliyomo kizani na kwenye mwanga

NI hayo tu!
Meli kuzama na kuua watu wasiotaka kufa ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, meli isingezama na kuua watu wasiotaka kufa.

Mungu huyo si mkatili hivyo.

Huelewi wapi?

Yoda
 
Ccm haihitaji Mungu, hakuna cha Mungu akijalia.....alisikika kada mmoja.
 
Acheni kutishia watu na story za kutungwa...mshazoea kuamini story za bible za uwongo na kweli unadhani kila mtu ana akili ka zenu...ka mungu yupo ataonekana tu bila haja ya vitisho...mara cjui Brazil mara sijui Olympics mara sijui Kanisa..
Story za uwongo uwongo tu mnatumia wakristo huko FB na TikTok na kupumbaza wajinga sio huku...
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeruhusu kifo hata kimoja kisichotakiwa na mtu kitokee, kwa mtu yeyote.

Kusingekuwa na kilio wala masikitiko kutokana na kifo popote pale.

Ukiona mtu anasikitika, analia, anahuzunika, kutokana na kifo, huo ni ushahidi na uthibitisho kwamba Mungu huyo hayupo.

Watu wanakariri hadithi za uongo tu za mapokeo kwamba Mungu huyo yupo.

Yoda
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeruhusu kifo hata kimoja kisichotakiwa na mtu kitokee, kwa mtu yeyote.

Kusingekuwa na kilio wala masikitiko kutokana na kifo popote pale.

Ukjona mtu anasikitika, analia, anahuzunika, kutokana na kifo, huo ni ushahidi na uthibitisho kwamba Mungu huyo hayupo.

Watu wanakariri hadithi za uongo tu za mapokeo kwamba Mungu huyo yupo.
Wahuni tu Hawa...wakatoliki naonaga wanasemaga sijui ma apostles walikufa kwa shida sijui mwingine kawekwa kwenye mafuta sijui...ma story mengi ya uwongo hayana ushahidi wowote ni utoto tu...
Wakristo wananiboa wanajitungia ma story afu wanatumia kutishia watu
 
Meli kuzama na kuua watu wasiotaka kufa ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, meli isingezama na kuua watu wasiotaka kufa.

Mungu huyo si mkatili hivyo.

Huelewi wapi?

Yoda

Inawezekana una uwezo mdogo sana wa kufikiri.

Hivi ushawahi fikiria hii dunia bila watu kufa ingekuwaje? Yaani unataka watu wasife bro akati kuna mamilioni wanazaliwa?

I really doubt your sense of mind.
 
Wahuni tu Hawa...wakatoliki naonaga wanasemaga sijui ma apostles walikufa kwa shida sijui mwingine kawekwa kwenye mafuta sijui...ma story mengi ya uwongo hayana ushahidi wowote ni utoto tu...
Wakristo wananiboa wanajitungia ma story afu wanatumia kutishia watu
😀😀😀
 
Kwanza namshukuru sana Mungu kwa neema yake nimekuwa miongoni mwa binadamu ambao wameanza maisha rasmi,kwa ile maana maisha yanaanza ukiwa na miaka 40,kwani niko katika 40's

Nimegundua au kuyasikia mambo kadhaa ambayo pale mwanadamu anapo mdhihaki Mungu hadharani basi hakika majibu huja mapema mno

Mtengenezaji wa meli ya Titanic,kwa uhodari na tekinolojia waliyotumia kutengeneza,waliamini ni meli bora sana ambayo isingewaza kuzama,alipoulizwa umadhubuti wa meli hiyo na waandishi wa habari,alisema ni meli imara na bora sana hata Mungu hawezi kuizamisha.

Kilichotokea nadhani wote tunakijua,imebaki historia tu na watu wanapambana kila kukicha kwenda kuchunguza mabaki yake

View attachment 3127599

Kuna kipindi kilichopita wakati wa kampeni uchaguzi mkuu kati ya marehemu Magufuli na marehemu Lowasa akiwa upinzani,mwanasiasa maarufu mama Serina Kombani alisema Lowasa atakufa mda si mrefu kwa kuwa ni mgonjwa

Lakini kilichotokea nadhani wote tunakijua,alitangulia kufa yeye kwanza nadhani hazikupita wiki au moja akatungalia mbele ya haki

Kuna binti mmoja alikuwa anaenda matembezi au kwenda mji mwingine na gari yake,sikumbuki vizuri ni kama aliambiwa na mama yake amuombe Mungu afike salama,lakini alidhihaki,na nyuma ya gari kulikuwa na mayai,alipata ajali mbaya sana,lkn cha kushangaza hakuna hata yai moja lililo vunjika

Kuna binti mmoja nadhani kama sio Chanika basi mbagala ni mwaka jana tu,aliambiwa na mama yake,uswali swala ya isha kabla hujalala ni mida ya saa mbili usiku,akamjibu mama yake kama unaona kuswali ni muhimu basi swali wewe na Allah wako kilichotokea usiku huo hakuamka tena

Wasomaji wangu Mungu wetu ni mkubwa mno ni mwenye kusikia na kuona kila kitu,kuwa makini sana matamshi yako kwani hakika yeye halali wala hasinzii,anajua yaliyomo kizani na kwenye mwanga

NI hayo tu!

Ungesema maarab na mayahudi wanaouana huko mashariki ya kati wamemdhiki Muumba ningekubali. Maana wanauana kana kwamba hawana hisi ya hekima na busara. Pia huruma hata chembe
 
Kipindi fulani nilikuwa nafatilia sana mambo ya maritime moja ya ajali ambayo bado huwa inanipa ukakasi ni hiyo ya titanic. Nilisoma A night to remember nikaja fananisha na baadhi ya documentary fulani fulani na movie yao ile.

Kwanza kitu ambacho nilishangaa ni kitendo cha Mr. Bruce Ismay kuamrisha Captain Smith meli iweze kwenda Full Ahead hata baada ya kupewa taarifa na meli zilizokuwa jirani kuwa kulikuwa na hali mbaya ya barafu kwa usiku ule na captain Smith kupuuza ikiwa ameshafanya safari katika bahari hiyo kwa miaka 25.

Baada ya iceberg collision Captain Smith aliitisha cabinet kwa ajili ya kuweza kuokoa meli isizame ila baada ya aliyekuwa designer Mr Thomas Andrew kusema "No matter to do Titanic will founder" huyo chairman Mr. Bruce Ismay ndiyo alisema "But the Ship can't sink" ( ndo akimaanisha jambo hilo lililosemekana walinadi hiyo meli haitozama kamwe kwa namna ilivyojengwa) cha ajabu designer (Mr Thomas Andrew) alimjibu " she is made from iron Sir l assure you she can and she will it is mathematical certainty" akatulia na kuwa mpole.

Japo vyanzo vingine vinasema waliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi wa hiyo R.M.S Titanic ndiyo walisema hiyo kauli hivyo bado haina uhakika wa moja kwa moja.

Na kuna vyanzo vinadai uzamaji wake ulikuwa ni mchongo ambao ulipangwa kwa lengo hasa la kutekeleza swala moja kubwa sana kwa wakati huo.

All in all ni kweli usemalo ni vizuri sana kuchunga ulimi kwa tunayoyasema hata kujinenea wewe tu.
 
Back
Top Bottom