Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Wangehamia sayari nyingineInawezekana una uwezo mdogo sana wa kufikiri.
Hivi ushawahi fikiria hii dunia bila watu kufa ingekuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangehamia sayari nyingineInawezekana una uwezo mdogo sana wa kufikiri.
Hivi ushawahi fikiria hii dunia bila watu kufa ingekuwaje?
Kwa hiyo wewe unajua ajali ya Titanic na waliokufa katika hiyo ajali ilikuwa ni maamuzi yake kwa sababu walimdhihaki??Huenda Mungu anawapenda sana anawapa mda watubu,kumbuka yeye anafanya mambo yake katika namna anayojua yeye
Ikiachilia mbali kauli ya Kombani, Magu mwenyewe alipiga push up hadharani kwa lengo la kumkejeli Lowasa lkn Mungu kudhiirisha kuwa hakuna mbadala wake, Mr push up akaondoka yeye kwanza huku Mzee Lowasa akaendelea kugonga Mvinyo.Kwanza namshukuru sana Mungu kwa neema yake nimekuwa miongoni mwa binadamu ambao wameanza maisha rasmi,kwa ile maana maisha yanaanza ukiwa na miaka 40,kwani niko katika 40's
Nimegundua au kuyasikia mambo kadhaa ambayo pale mwanadamu anapo mdhihaki Mungu hadharani basi hakika majibu huja mapema mno
Mtengenezaji wa meli ya Titanic,kwa uhodari na tekinolojia waliyotumia kutengeneza,waliamini ni meli bora sana ambayo isingewaza kuzama,alipoulizwa umadhubuti wa meli hiyo na waandishi wa habari,alisema ni meli imara na bora sana hata Mungu hawezi kuizamisha.
Kilichotokea nadhani wote tunakijua,imebaki historia tu na watu wanapambana kila kukicha kwenda kuchunguza mabaki yake
View attachment 3127599
Kuna kipindi kilichopita wakati wa kampeni uchaguzi mkuu kati ya marehemu Magufuli na marehemu Lowasa akiwa upinzani,mwanasiasa maarufu mama Serina Kombani alisema Lowasa atakufa mda si mrefu kwa kuwa ni mgonjwa
Lakini kilichotokea nadhani wote tunakijua,alitangulia kufa yeye kwanza nadhani hazikupita wiki au moja akatungalia mbele ya haki
Kuna binti mmoja alikuwa anaenda matembezi au kwenda mji mwingine na gari yake,sikumbuki vizuri ni kama aliambiwa na mama yake amuombe Mungu afike salama,lakini alidhihaki,na nyuma ya gari kulikuwa na mayai,alipata ajali mbaya sana,lkn cha kushangaza hakuna hata yai moja lililo vunjika
Kuna binti mmoja nadhani kama sio Chanika basi mbagala ni mwaka jana tu,aliambiwa na mama yake,uswali swala ya isha kabla hujalala ni mida ya saa mbili usiku,akamjibu mama yake kama unaona kuswali ni muhimu basi swali wewe na Allah wako kilichotokea usiku huo hakuamka tena
Wasomaji wangu Mungu wetu ni mkubwa mno ni mwenye kusikia na kuona kila kitu,kuwa makini sana matamshi yako kwani hakika yeye halali wala hasinzii,anajua yaliyomo kizani na kwenye mwanga
NI hayo tu!
Meli kuzama sio huo ushahidi mkuu, vipi kama Deist god? Umewahi kujifunza lolote kuhusu Deism-God who does not intervene in the universe, and in particular, in the lives of people.??Meli kuzama na kuua watu wasiotaka kufa ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, meli isingezama na kuua watu wasiotaka kufa.
Mungu huyo si mkatili hivyo.
Huelewi wapi?
Yoda
Mbona Nape bado yupo wakati alimkejeli Lowassa??Ikiachilia mbali kauli ya Kombani, Magu mwenyewe alipiga push up hadharani kwa lengo la kumkejeli Lowasa lkn Mungu kudhiirisha kuwa hakuna mbadala wake, Mr push up akaondoka yeye kwanza huku Mzee Lowasa akaendelea kugonga Mvinyo.
Mungu kaamua ugovi.
Kwasababu ukiachana tu mambo ya kiimani kuna makosa makubwa sana ambayo aliyekuwa Captain wa meli ile alifanya, kwasababu kwa kipindi kirefu sana alipokea sana telegram zikiwasihi kupunguza kiasi cha mwendo kwasababu ya hali mbaya ya barafu.Unajuaje au unathibitisha vipi hao watu wa meli ya Titanic hawakufa kama walivyokufa wa meli ya MV bukoba au MV Spice Zanzibar bali ni kutokana na dhihaka??
Deism inahusu Mungu aliyeuumba ulimwengu na kuwaachia watu wapambane na hali zao. Huyo hana upendo wote.Meli kuzama sio huo ushahidi mkuu, vipi kama Deist god? Umewahi kujifunza lolote kuhusu Deism-God who does not intervene in the universe, and in particular, in the lives of people.??
We ulitakaje?Mbona Nape bado yupo wakati alimkejeli Lowassa??
Hio Sheria mmewekewa ili msiulize maswali muende ka mambumbu ... Yaani mtu kaua kabaka anasamehewa ila mtu akisanuka bible uongo ndo hasemehewi..Asante mleta mada...
Sisi wakristu wakatoliki... dhambi kubwa kabisa ambayo haisameheki ni kumkufuru Roho mtakatifu...
So maybe hizo ni roho zenyewe zilikua zinapitia kwa watu wengine kuwakumbusha na watu wakazidharau...
Nimeamua kufuta comment maana sipendi kubishana mambo ya imani...Hio Sheria mmewekewa ili msiulize maswali muende ka mambumbu ... Yaani mtu kaua kabaka anasamehewa ila mtu akisanuka bible uongo ndo hasemehewi..
Hizo ni mbinu za ki cult "don't question the master, do as I say"..
Watu washasanuka
Ni vizuri ku m bainisha wazi mungu wako ni yupi mtaje hapaKwanza namshukuru sana Mungu kwa neema yake nimekuwa miongoni mwa binadamu ambao wameanza maisha rasmi,kwa ile maana maisha yanaanza ukiwa na miaka 40,kwani niko katika 40's
Nimegundua au kuyasikia mambo kadhaa ambayo pale mwanadamu anapo mdhihaki Mungu hadharani basi hakika majibu huja mapema mno
Mtengenezaji wa meli ya Titanic,kwa uhodari na tekinolojia waliyotumia kutengeneza,waliamini ni meli bora sana ambayo isingewaza kuzama,alipoulizwa umadhubuti wa meli hiyo na waandishi wa habari,alisema ni meli imara na bora sana hata Mungu hawezi kuizamisha.
Kilichotokea nadhani wote tunakijua,imebaki historia tu na watu wanapambana kila kukicha kwenda kuchunguza mabaki yake
View attachment 3127599
Kuna kipindi kilichopita wakati wa kampeni uchaguzi mkuu kati ya marehemu Magufuli na marehemu Lowasa akiwa upinzani,mwanasiasa maarufu mama Serina Kombani alisema Lowasa atakufa mda si mrefu kwa kuwa ni mgonjwa
Lakini kilichotokea nadhani wote tunakijua,alitangulia kufa yeye kwanza nadhani hazikupita wiki au moja akatungalia mbele ya haki
Kuna binti mmoja alikuwa anaenda matembezi au kwenda mji mwingine na gari yake,sikumbuki vizuri ni kama aliambiwa na mama yake amuombe Mungu afike salama,lakini alidhihaki,na nyuma ya gari kulikuwa na mayai,alipata ajali mbaya sana,lkn cha kushangaza hakuna hata yai moja lililo vunjika
Kuna binti mmoja nadhani kama sio Chanika basi mbagala ni mwaka jana tu,aliambiwa na mama yake,uswali swala ya isha kabla hujalala ni mida ya saa mbili usiku,akamjibu mama yake kama unaona kuswali ni muhimu basi swali wewe na Allah wako kilichotokea usiku huo hakuamka tena
Wasomaji wangu Mungu wetu ni mkubwa mno ni mwenye kusikia na kuona kila kitu,kuwa makini sana matamshi yako kwani hakika yeye halali wala hasinzii,anajua yaliyomo kizani na kwenye mwanga
NI hayo tu!
Aka umeshindwa kuleta hojaNimeamua kufuta comment maana sipendi kubishana mambo ya imani...
Haiwezekani usiamini uwepo wa Mungu halafu huyo muhusika awe na Akili timamu hawa wote wanao mkana Mungu kama utapata Bahati ya kukaa nao utathibitisha maneno yangu.Anza kufuatilia hapo ulipo wenye mlengo huo utapata ushuhuda.Inawezekana una uwezo mdogo sana wa kufikiri.
Hivi ushawahi fikiria hii dunia bila watu kufa ingekuwaje? Yaani unataka watu wasife bro akati kuna mamilioni wanazaliwa?
I really doubt your sense of mind.
Nilitakaje nini?We ulitakaje?
na we mtoa mada tabia za kujipendekeza kwa mungu kana kwamba wewe ndio chawa wake ukome mwambie ajitokeze mwenyew😃😃
Gari ikapata ajali binti akafariki lakini mayai hayakupasuka!!!! hapo umeamua kutupa hadithi. Anyway nimeshuhudia watu wengi sana wakimdhihaki na kumtukana Mungu na hadi leo wapo wanadunda tu. Hiyo yako ni nadharia na ndio msingi wa ukristo kuwatia uoga watu walioamua kutokutumia fikra zao vizuriUzi wangu unazungumzia dhihaka boss,hiyo ni topic nyingine kabisa
Tatizo letu jingine kubwa ni kutaka kumpangia Mungu cha kufanyaUzi wangu unazungumzia dhihaka boss,hiyo ni topic nyingine kabisa