Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
-
- #21
Boss hivi umeelewa andiko langu au hujasoma na.kukomenti tu?Walioazama kwenye meli ya MV Bukoba walimdhihaki mungu??
Boss elewa kwanza uzi wangu unakusudia nini tafadhaliUnajuaje hao walipatwa na hayo kwa sababu ya dhihaka na sio kama Waislamu wengine wa Swala tano yanavyowakuta majanga na vifo tu??
Unajuaje au unathibitisha vipi hao watu wa meli ya Titanic hawakufa kama walivyokufa wa meli ya MV bukoba au MV Spice Zanzibar bali ni kutokana na dhihaka??Boss hivi umeelewa andiko langu au hujasoma na.kukomenti tu?
Je hao watu wa mv bukoba uliwasikia wakisema mv bukoba ni bora sana mungu hawezi kuizamisha
Apana alifanyaje kwanUnamjua Richard Dawkins?
😁😁Walioazama kwenye meli ya MV Bukoba walimdhihaki mungu??
Naomba nikuache bossUnajuaje au unathibitisha vipi hao watu wa meli ya Titanic hawakufa kama walivyokufa wa meli ya MV bukoba au MV Spice Zanzibar bali ni kutokana na dhihaka??
Asante bossKwahiyo mungu ana visasi kama magufuli? Kwahiyo mungu hana tofauti na binadamu, maana visasi ni hulka ya binadamu, lakini Mungu ni wa kusamehe1 au wasemaje
acha story za uongo wa watu wa dini kuwafanya muwe makondoo yao ya kuchuma hela za ure
Uzi wako una fallacy nyepesi sana ya kufikiri kila correlation ni sawa na causation, yani mfano kama kila siku asubuhi huwa unafanya mapenzi na mke wako au unambusu ndio uende kazini halafu ikatokea siku hukufanya hivyo ukapata ajali basi unasema sababu ni kwa sababu hukufanya mapenzi au kumbusu mkeo siku hiyo.Boss elewa kwanza uzi wangu unakusudia nini tafadhali
Asante
Hapana, usiniache, tuendelee tu tataelewana.Naomba nikuache boss
Asante
Sasa mfano wako unahusiana nini na andiko langu,unazungumzia mambo ya mazoea hapaUzi wako una fallacy nyepesi sana ya kufikiri kila correlation ni sawa na causation, yani mfano kama kila siku asubuhi huwa unafanya mapenzi na mke wako au unambusu ndio uende kazini halafu ikatokea siku hukufanya hivyo ukapata ajali basi unasema sababu ni kwa sababu hukufanya mapenzi au kumbusu mkeo siku.
Kwaiyo Mungu anaupendeleo. Wengine anawauwa wengine anawapa uhai mrefu ili watubie,. mbona vichekesho,😃Huenda Mungu anawapenda sana anawapa mda watubu,kumbuka yeye anafanya mambo yake katika namna anayojua yeye
Hivi hujiulizi kwanini wachawi na watu wabaya huwa wanapewa umri mrefu sana kuliko watu wema?
Kuna hekima kubwa sana hapo
Naona vichekesho ni kwako,kwasababu kwani hakuna atakaye kufa?Kwaiyo Mungu anaupendeleo. Wengine anawauwa wengine anawapa uhai mrefu ili watubie,. mbona vichekesho,😃
19. Na mtumishi wa Mungu alipoinuka akimwomba, wakakaribia kumwangukia kwa wingi.Mungu hataniwi jamani