Ukimdhihaki Mungu hadharani majibu unayapata siku si nyingi

Huenda Mungu anawapenda sana anawapa mda watubu,kumbuka yeye anafanya mambo yake katika namna anayojua yeye
Kwa hiyo wewe unajua ajali ya Titanic na waliokufa katika hiyo ajali ilikuwa ni maamuzi yake kwa sababu walimdhihaki??
 
Ikiachilia mbali kauli ya Kombani, Magu mwenyewe alipiga push up hadharani kwa lengo la kumkejeli Lowasa lkn Mungu kudhiirisha kuwa hakuna mbadala wake, Mr push up akaondoka yeye kwanza huku Mzee Lowasa akaendelea kugonga Mvinyo.

Mungu kaamua ugovi.
 
Meli kuzama na kuua watu wasiotaka kufa ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, meli isingezama na kuua watu wasiotaka kufa.

Mungu huyo si mkatili hivyo.

Huelewi wapi?

Yoda
Meli kuzama sio huo ushahidi mkuu, vipi kama Deist god? Umewahi kujifunza lolote kuhusu Deism-God who does not intervene in the universe, and in particular, in the lives of people.??
 
Ikiachilia mbali kauli ya Kombani, Magu mwenyewe alipiga push up hadharani kwa lengo la kumkejeli Lowasa lkn Mungu kudhiirisha kuwa hakuna mbadala wake, Mr push up akaondoka yeye kwanza huku Mzee Lowasa akaendelea kugonga Mvinyo.

Mungu kaamua ugovi.
Mbona Nape bado yupo wakati alimkejeli Lowassa??
 
Unajuaje au unathibitisha vipi hao watu wa meli ya Titanic hawakufa kama walivyokufa wa meli ya MV bukoba au MV Spice Zanzibar bali ni kutokana na dhihaka??
Kwasababu ukiachana tu mambo ya kiimani kuna makosa makubwa sana ambayo aliyekuwa Captain wa meli ile alifanya, kwasababu kwa kipindi kirefu sana alipokea sana telegram zikiwasihi kupunguza kiasi cha mwendo kwasababu ya hali mbaya ya barafu.
Ila hawakufanya hivyo kitu kingine kizuri zaidi wakati wa majaribio ya meli ya titanic iliweza pimwa stopping distance yake wakati meli iki accelerate katika full speed ya 21 knots itatumia umbali gani kuweza kusimama wakati ume reverse engine (Full Astern) ilikuwa ni kama 777m Sasa waangalizi hadi wanakuja kugundua kuna mwamba wa barafu mbele ilikuwa tayari imevuka kiwango hicho kwahiyo kwa namna yoyote ilikuwa lazima itokee collision.
 
Meli kuzama sio huo ushahidi mkuu, vipi kama Deist god? Umewahi kujifunza lolote kuhusu Deism-God who does not intervene in the universe, and in particular, in the lives of people.??
Deism inahusu Mungu aliyeuumba ulimwengu na kuwaachia watu wapambane na hali zao. Huyo hana upendo wote.

Mimi nimekuwa very specific kumuongelea Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo hawezi kuwa Mungu wa Deists.

Kwa sababu Mungu wa Deists, in the abstract, kauuumba ulimwengu halafu kawaachia watu wapambane na hali zao. Mungu mwenye upendo wote hatakiwi kuumba mabaya halafu awaachie watu wapambane na haki zao bila ya kuwa na majibu ya kutatua matatizo yao.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote, kuumba ukimwengu unaiweza juwa na mabaya, ni cobtradiction, regardless ya kwamba ni Mungu wa theists ir deists.

Umeelewa?
 
Asante mleta mada...
Sisi wakristu wakatoliki... dhambi kubwa kabisa ambayo haisameheki ni kumkufuru Roho mtakatifu...
So maybe hizo ni roho zenyewe zilikua zinapitia kwa watu wengine kuwakumbusha na watu wakazidharau...
Hio Sheria mmewekewa ili msiulize maswali muende ka mambumbu ... Yaani mtu kaua kabaka anasamehewa ila mtu akisanuka bible uongo ndo hasemehewi..
Hizo ni mbinu za ki cult "don't question the master, do as I say"..
Watu washasanuka
 
Hio Sheria mmewekewa ili msiulize maswali muende ka mambumbu ... Yaani mtu kaua kabaka anasamehewa ila mtu akisanuka bible uongo ndo hasemehewi..
Hizo ni mbinu za ki cult "don't question the master, do as I say"..
Watu washasanuka
Nimeamua kufuta comment maana sipendi kubishana mambo ya imani...
 
Ni vizuri ku m bainisha wazi mungu wako ni yupi mtaje hapa
 
Inawezekana una uwezo mdogo sana wa kufikiri.

Hivi ushawahi fikiria hii dunia bila watu kufa ingekuwaje? Yaani unataka watu wasife bro akati kuna mamilioni wanazaliwa?

I really doubt your sense of mind.
Haiwezekani usiamini uwepo wa Mungu halafu huyo muhusika awe na Akili timamu hawa wote wanao mkana Mungu kama utapata Bahati ya kukaa nao utathibitisha maneno yangu.Anza kufuatilia hapo ulipo wenye mlengo huo utapata ushuhuda.
 
mungu fala tu haya kesho nipate milion 30 sijui atatoeje kikubwa nipate!! hapo ndio utagundua mungu mshenzi anajua kuweka kinyongo cha visas na ubaya kuliko wema mungu ni mweu sana anatabia za kike haiwezekan ukiomb kitu kibaya unakipata alafu chema hupat mungu mpuuz mwenye swali na aniulize,?
 
Uzi wangu unazungumzia dhihaka boss,hiyo ni topic nyingine kabisa
Gari ikapata ajali binti akafariki lakini mayai hayakupasuka!!!! hapo umeamua kutupa hadithi. Anyway nimeshuhudia watu wengi sana wakimdhihaki na kumtukana Mungu na hadi leo wapo wanadunda tu. Hiyo yako ni nadharia na ndio msingi wa ukristo kuwatia uoga watu walioamua kutokutumia fikra zao vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…