Huyo Mungu wenu naye ana matatizo. Sasa aliyemdhihaki ni mmiliki wa TITANIC, kwa nini asingeizamisha kabla haijabeba abiria wasio na hatia, wakafa kwa maelfu. Mungu wa ajabu sijawahi kuonaSasa mfano wako unahusiana nini na andiko langu,unazungumzia mambo ya mazoea hapa
Boss naomba nikuache huwa sipendi porojo
Asante
Iligonga mwamba wa barafuSwali lako jepesi sana. MV bukoba ilizama sababu ya kuzidisha uzito ( technical reason ), yaani hawakufuata instructions za manufacturer. Haya niambie technical cause iliyosababisha Titanic kuzama?
Naomba nikuache boss
Asante
Eeeh sheikh🤔Asante kpnz changu
Mtibeli iko hivi, siku hizi najikuta sipendi sana mijadala ya kidini ambayo hatujadili kwa hoja,watu wengi wanaleta porojo kitu ambacho mimi sikipendiUnashindwa kutetea hoja yako.
Unajikuta ukijisalimisha mapema.
Ninyi ndîo mnafanya Mungu aonekane hamnazo Kwa sababu anatetewa na Watu wasio na hoja.
Umesema Mtu kimdhihaki Mungu anapata mapigo.
Hujaeleza NI Mungu yupi? Je ni Baali, Ashera, Dagon, Yahweh, Allah au mungu yupi?
Hujaeleza Wala kuweka Sheria za huyo Mungu zinazoonyesha Mtu akimdhihaki anampa adhabu, na NI adhabu gàni, na hiyo adhabu inampata baàda ya Muda gàni kama uthibitisho WA kuonyesha kuwa NI adhabu ya kumdhihaki mungu.
Umetaja kuhusu mwenye Meli ya Titanic, ukaulizwa hiyo ajali waliokufa je nao walimdhihaki Mungu?
Unambwela mbwela.
Unahoja nzuri lakini unashindwa kuitetea Kwa sababu unajadili kitu ambacho Huna uelewa nacho au unauelewa mdogo kuhusu mambo ya Mîungu
Siô ajabu Hapo utasema mungu NI mmoja
Mtibeli iko hivi, siku hizi najikuta sipendi sana mijadala ya kidini ambayo hatujadili kwa hoja,watu wengi wanaleta porojo kitu ambacho mimi sikipendi
Ndio maana nikiona kuna mwelekeo wa porojo basi mapema najikataa lkn sio kwamba nashindwa kusimamia hoja zangu
Mfano mtu anakuuliza je huyo ni Mungu gani? Hapa napo ni kipengele kwa upande wangu,kwasababu imani yangu inatambua uwepo wa Mungu mmoja,kwahiyo hapo moja kwa moja utaona kabisa mjadala lazima uwepo na porojo nyingi
Ndio maana siku hizi huwa nachagua wapi najidili na wapi niache
Asante
Sidhani hata kama unaelewa maana ya hoja ni nini.Mtibeli iko hivi, siku hizi najikuta sipendi sana mijadala ya kidini ambayo hatujadili kwa hoja,watu wengi wanaleta porojo kitu ambacho mimi sikipendi
Ndio maana nikiona kuna mwelekeo wa porojo basi mapema najikataa lkn sio kwamba nashindwa kusimamia hoja zangu
Mfano mtu anakuuliza je huyo ni Mungu gani? Hapa napo ni kipengele kwa upande wangu,kwasababu imani yangu inatambua uwepo wa Mungu mmoja,kwahiyo hapo moja kwa moja utaona kabisa mjadala lazima uwepo na porojo nyingi
Ndio maana siku hizi huwa nachagua wapi najidili na wapi niache
Uwelewa wako ni mdogo sana, kifo ni lazima mkuu hvo sisi sote tutakufa lakini ni tofauti Kati Mtu mwema na muovu, kifo cha muovu hua cha kidhariri, pia watu waovu wakati wa kufa roho zao zina tolewa kwa nguvu ndio ile mtu ana kufa Katoa macho,haja zote 2 , Allah (s.w) atujaalie mwisho mwema,Wanaokufa kwenye Tsunami, matetemeko na ajali nchi za Kiislamu wanakuwa wamemkosea nini Allah??
MtibeliMonotheist yàani wanaoamini Mungu ni Mmoja zîpo Dini nyingi mfano Dini ya kiyahudi wanaamini Mungu mmoja àmbaye anaitwa Yahweh Wakati Waislam wanaamini Mungu mmoja anayeitwa Allah.
.
Yahweh' na Allah ni mîungu wawili tofauti Kabisa
Sasa ndîo Watu watakuuliza kumdharau au kumkejeli mungu yupi ndio unapata mapigo?
Sijazungumzia udini au ubora wa Dini au miungu
Walokufa kwenye ajali ya meli ya MV Spice Zanzibar walikufa kifo gani?Uwelewa wako ni mdogo sana, kifo ni lazima mkuu hvo sisi sote tutakufa lakini ni tofauti Kati Mtu mwema na muovu, kifo cha muovu hua cha kidhariri, pia watu waovu wakati wa kufa roho zao zina tolewa kwa nguvu ndio ile mtu ana kufa Katoa macho,haja zote 2 , Allah (s.w) atujaalie mwisho mwema,
na watu wema wakati wa kufa roho zao zina tolewa kwa upole ndio maana hutokezea mtu kafa lakini ana tabasamu, kucheka nk
Mtibeli
Natambua maoni yako na uelewa wako na ufahamu wako juu ya Mungu kwa upande wako,naheshimu hilo kwani ni haki yako
Ila mimi kama muislamu siamini juu ya miungu wengi na sitakiwi kuamini juu ya kuwepo miungu wengine badala ya Allah,kufanya hivyo kwa mujibu wa imani yangu nitakufuru
Ndio maana unaweza kuona huwa kwanini nasalenda na kuamua kukaa kimya,najua tutabishana bila sababu ya msingi na kupotezeana mda tu
Kama hutojali naomba nikuache boss
Asante
Soma nilichoandika , kila kitu kipo clearly , sasa sijui unauliza nini?, Eti wame kufa kifo gani?, kwani nimesema tofauti ipo wapi?, ikiwa kuna ajari ya pikipiki watu wawili wamekufa papo hapo, 1 ni mwema na mwengine muovu (roho zao hutolewa tofauti), soma nilichoandikaWalokufa kwenye ajali ya meli ya MV Spice Zanzibar walikufa kifo gani?
Wewe unajuaje utofauti jinsi roho za watu zinavyotolewa??Soma nilichoandika , kila kitu kipo clearly , sasa sijui unauliza nini?, Eti wame kufa kifo gani?, kwani nimesema tofauti ipo wapi?, ikiwa kuna ajari ya pikipiki watu wawili wamekufa papo hapo, 1 ni mwema na mwengine muovu (roho zao hutolewa tofauti), soma nilichoandika
Siyo mimi mkuu huyo ni Allah (s.aw) kupitia Mtume Muhammad ( s.a.w) na quraanWewe unajuaje utofauti jinsi roho za watu zinavyotolewa??