Ukimripoti mtu uhamiaji Marekani ambaye hana makaratasi unalipwa usd 750. Wakenya na Watanzania wanachongeana balaa

Nashawishika kuamini huyo anafanya vile hili kuwafurahisha wanachama na wafuasi wa chama chake(Conservative party) mind you moja ya ideologies za Conservatives duniani kote huwa ni kuwa anti-immigrants na ndio maana utakuta wanaongelea yale yale tu kama kusecure boarders, kuondoa wahamiaji haramu, kuweka mazingira magumu kupata uraia kwa wageni... wanafanya hivyo wakiamini ndio hatu ya kwanza ya kupreserve national interests.

Ukimwangalia body language huyu Olukemi Olufunto Adekoge Badenoch utaona kabisa hata nafsi yake inamsuta... hayo maneno anayosema yeye mwenyewe tu hayafurahii, ila inamlazimu kufanya hivyo.
 
Mje tarime tulime viazi mviringo na yale majani yaliyopigwa marufuku yenye vinasaba na bob marley
 
Kwani lazima umtaje adriz? 🤣
 
Tabia ya kuchongeana hiyo ilianzia tangu shuleni..ndiyo u-Afrika wenyewe.😀
 
Mtu kazaliwa UK unasemaje ni Mkimbizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…